Bora boli limetoka golini kwa mali aseeInapigwa ingine
Eeendiwo! Nipo upande wa Diarra 💪🕺Tunisia apigwe?
WanalindaWasiwasi mwingi.
Mali wanajaa golini mpira hautaondoka hapo
Mtunis keshajidondosha ndani ya box la penati hukoCoulibaly kadi yake imewapunguza nguvu sana
YeahNo impact
Mpaka hapo mali wamejitahidi!!Muda unatembea tu