Dahhhhh!! Sio poaa kabisaMtu kashakula umeme
Mkubwa sana!Mlima kwa Mali umekuwa mkubwa sasa
All the bests Mali.. Diarra ana kazi ngumu balaaMchezo mgumu
Siku ya leo bado sijaona game ya kukatana shoka ngoja nisubiri ya Barcelona au AtalantaNguvu imekuwa kubwa sana
Naogopa matuta bora 90' zimalizeDakika zinasonga.
Bado ni 0-0