kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,489
- 18,379
Apewe kesi ya uhaini 😀😀Jamaa mwenye ukumbi,amekuja ameweka game ya simba na muembe makumbi eti ameanza kuchangisha, nimetoka bora nikasikilize redioni hii afcon. Siwezi kutoa pesa yangu kuiangalia simba au yanga.