Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Kesho, Morocco wakiingia na pressure tunawapiga fresh tu
 
Jamaa mwenye ukumbi,amekuja ameweka game ya simba na muembe makumbi eti ameanza kuchangisha, nimetoka bora nikasikilize redioni hii afcon. Siwezi kutoa pesa yangu kuiangalia simba au yanga.
 
Kwa mawazo yako Morocco kwa uzoefu wa michezo mikubwa ya kimataifa na kwa quality ya wachezaji walionao ndio wakuingia kwa presha dhidi ya timu iliyofuzu kwa point 2? Haupo serious mkuu, wale ni level nyingine kwa Africa
 
🤣🤣🤣🤣 Upo kijiji gani mkuu?
 
Kwa mawazo yako Morocco kwa uzoefu wa michezo mikubwa ya kimataifa na kwa quality ya wachezaji walionao ndio wakuingia kwa presha dhidi ya timu iliyofuzu kwa point 2? Haupo serious mkuu, wale ni level nyingine kwa Africa
Nakubaliana na wewe lakini mpira unadunda na mguu wowote unaweza kuupiga.
Ni swala la muda tu tutaona miujiza.
 
Niliwaambia huyu mlinzi wa Sudan, tena Captain ni shati haswa...
 
Moto unapelekwa kwa Sudan balaa
 
Sudan wamekata pumzi kabisa...
Wanaomba game iishe tu
 
Sudan wamefanya counter .imeshindikana kona
 
1000489010.jpg
 
1000489008.jpg

Hii timu inamuunganiko mzuri sana.
Tatizo liko kati ya Sangare na Sinayoko.
Wanahitaji utulivu wa hali ya juu sana kwa kweli!!

Best of Lucky to Mali 🇲🇱
 
Back
Top Bottom