Ila kipa nae alikuwa na nafasi ya kuuwahi ule mpira kabla ya mchezaji wa RSA. Kafanya uzembeInawezekana sio kipa.
Ni back passes imeleta shida
Usiseme hvyoZimbabwe watulie pale kwenye ushambuliaji.
Natamani sana Sauz watolewe
Mungu kalipa, 2-2 tuanze upya kumtafuta mshindi.Alichelewa kufanya maamuzi.
Wamefungwa magoli ya ajabu tu.
Magoli yao wanahusika wenyewe!!
Sauzi wamejifunga???Go go go Zimbabwe...
Kila la kheri AngolaAngola wakipata goli tu.
Kwishaaa
Na hili goli la tatu wana husika wao wenyewe ni mkwaju wa penatiAlichelewa kufanya maamuzi.
Wamefungwa magoli ya ajabu tu.
Magoli yao wanahusika wenyewe!!