Chick_tz
JF-Expert Member
- Mar 2, 2025
- 2,447
- 3,300
Wamerudisha bonge la goriWamechapwa cha mapema sana aisee
Wamerudisha bonge la goriWamechapwa cha mapema sana aisee
Hii mechi tamu timu zote mbili zina nafasi ya kusonga mbele, RSA wanaweza kuaga leo wasipoangalia maana Zimbabwe toka mechi ya kwanza wameonesha ni timu hatariSihami tena hapa.
Nilichungulia Egypt vs Angola kidogo
mech ya kukamianaSihami tena hapa.
Nilichungulia Egypt vs Angola kidogo
Zimbabwe watulie pale kwenye ushambuliaji.Hii mechi tamu timu zote mbili zina nafasi ya kusonga mbele, RSA wanaweza kuaga leo wasipoangalia maana Zimbabwe toka mechi ya kwanza wameonesha ni timu hatari