Final zikutane Senegal na Moroco tu enjoy sokaKali sana!!
Una laki 2 hapo tubet kuhusu hili?Hatalibeba
Wana safu butu butu butu ya ushambuliajiMali ana wachezaji kibao wanacheza ulaya lakini anasumbuliwa na watoto kila siku
Nahitaji mali aongoze goli moja tu nimalizane na mhindi lakini analuka luka tu halafu hii ni game muhimuakifungwa anatolewaWana safu butu butu butu ya ushambuliaji
hata mim namsubiri maliNahitaji mali aongoze goli moja tu nimalizane na mhindi lakini analuka luka tu halafu hii ni game muhimuakifungwa anatolewa