Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

𝗛𝗜𝗩𝗜 𝗛𝗔𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗚𝗔𝗡𝗗𝗔 𝗛𝗨𝗪𝗔 𝗛𝗔𝗪𝗔𝗭𝗘𝗘𝗞𝗜?

💥𝗠𝘇𝗲𝗲 𝗺𝘂7 𝘆𝘂𝗺𝗼

💥𝗠𝘇𝗲𝗲 𝗢𝗻𝘆𝗮𝗻𝗴𝗼 𝗴𝗼𝗹𝗶𝗸𝗶𝗽𝗮 𝘆𝘂𝗽𝗼

💥 𝗠𝘇𝗲𝗲 𝗼𝗸𝘄𝗶
 
Wanaruhusu sana mashambulizi.
Ni kama vile wamewaacha Uganda Wacheze
Tukiendelea kuamini kuwa mpira ni kipaji, hatutafika popote. Wachezaji unawaona kabisa kuwa wana low brain computation. Mpira ni mchezo wa maamuzi ya haraka, no way ukafanya maamuzi hayo kama brain yako ndogo. Mpira una mathematics na physics zake kutoka kwenye kujipanga, (positioning), kuupokea hadi kutoa pasi. Wachezaji wengi wa Tanzania wanaangukia kwenye shida hiyo. Matokeo yake wanakimbia kimbia tu. WAFUNGWE TU
 
𝗛𝗜𝗩𝗜 𝗛𝗔𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗚𝗔𝗡𝗗𝗔 𝗛𝗨𝗪𝗔 𝗛𝗔𝗪𝗔𝗭𝗘𝗘𝗞𝗜?

💥𝗠𝘇𝗲𝗲 𝗺𝘂7 𝘆𝘂𝗺𝗼

💥𝗠𝘇𝗲𝗲 𝗢𝗻𝘆𝗮𝗻𝗴𝗼 𝗴𝗼𝗹𝗶𝗸𝗶𝗽𝗮 𝘆𝘂𝗽𝗼

💥 𝗠𝘇𝗲𝗲 𝗼𝗸𝘄𝗶
Onyango ana 40
 
Back
Top Bottom