Mimi sielewi hata wanachocheza uwanjani naona mapicha picha tuWanaruhusu sana mashambulizi.
Ni kama vile wamewaacha Uganda Wacheze
Hii timu ni mbovu hata aje kocha ganiGamondi mbona kama amewaacha Uganda wacheze?
Mimi naangalia tu mpira yakifungwa kwangu sawa tuTuwape muda, hii mbinu ya leo kufungua code ni ngumu sana
Sidhani kama mechi hii ataweza kumalizaFoba majeruhi
Anavuja sana upande wake kwa ufupi timu nzima hata mbele haiendiHii ngoma mbichi.
Bacca anamchosha sana Foba
Akiingia yeye sub ya kipa inakuwa hamnaMasalanga ataingia