Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

1000471683.jpg
 
Dakika ya 50
Uganda 0
Tanzania 0
Mpira unaendelea sasa
 
😅😅😅

Tanzania tuko vizuri mkuu wala sio kwamba Uganda ni wagonjwa

Hata tucheze na Spain bado mtasema Spain wagonjwa kama mlivyosema kwa Nigeria 😅

Kabla ya mechi mna kelele sana ila baada ya kuona hali halisi mnabadilika sasa ila binadamu 😅😅😅
Ungekuwa unajua mpira wala hata usingeshangazwa na matokeo dhidi ya Nigeria kwa aina ya uchezaji wao, timu inashambulia bila attacking pattern zaidi kutegemea individual brilliance, ndio ikapiga mashuti mengi golini ila magoli waliyopata ni mawili.

Angalia hawa waganda chance walizopata mpaka hivi sasa, ni upuuzi mtupu wala hata hawajatulia..

Wewe ni miongoni mwa watu ambao mnapima ubora wa timu yenu kwa ubutu wa mpinzani, kama tu vile media zenu zinavyowadanganya.
 
Una point,
 
Dakika ya 59
Tunapata penati.
Yuko nyuma ya mpira Msuvaaaa...
Goooooooal
 
Back
Top Bottom