Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,241
- 138,764
Daaaah
Binafsi nilitamani mpira usiishe, wakiukamata mpira wachezaji wa Misri unaona kuna dalili ya goli, wakiukamata mpira wachezaji wa RSA unaona dalili ya goli. Mechi isiyoisha hamu kuitazamaHuyu refa kapewa hongo??
Dakika ya 100 sasa