loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,274
- 5,214
Huyu referee Mtutsi wa Burundi hajui anachofanya. Maamuz yake ya hovyo.Kadi nyekundu Misri
Huyu referee Mtutsi wa Burundi hajui anachofanya. Maamuz yake ya hovyo.Kadi nyekundu Misri
TANESCO Mungu awazidishieGame imechangamka
Kila nikiangalia sioni sababu ya kushawishi kuwa penati. Sijui kwenye VAR kaenda akiwa amelewa.Huu ni uonevu, haikutosha kuwa penalty ile.
Maamuzi sahihi yaleHuyu referee Mtutsi wa Burundi hajui anachofanya. Maamuz yake ya hovyo.
Wana ng'ang'ania foul nje ya box iweNaona mwarabu anataka kubebwa kama kawaida