natumia Azam sports ila kwenye pita pita nimemuona TBCTumia SuperSport au Azam, its better
Diarra yupo anawatuliza...😅Bado Mali wanahitaji utulivu sana
wote ni butu kwenye umaliziaji🤣🤣 wakiruhusu haya mashambulizi watalizwa muda sio mrefu.
Wao wakienda kushambulia unaona kabisa hawana mpango unaoeleweka.