Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Zambia ndani ya Box wanaingia hadi nane kuzuia.
What a defensive game...
 
Comoros wanaanza kuelemewa dakika za jioni kabisa
 
Dakika ya 77
Zambia 0
Comoros 0
Mpira unaendelea, Zambia wameamka kidogo.
 
Dakika ya 81
Comoros 0
Zambia 0

Comoros ile game yao na Morocco haionekani leo.
Wanakosa game fitness dakika za mwisho mwisho
 
1000469623.jpg
 
Dakika ya 14
Morocco 0
Mali 0

Mpira unaendelea, na ni mkali kidogo.
Timu zote zinacheza kwa tahadhari
 
Dakika ya 20
Morocco 0
Mali 0

Timu zinashambuliana sana

Mali bado wanahitaji utulivu, mipira yao mingi inapotea.
 
Back
Top Bottom