Alimpiga usoniHuu ni uonevu, haikutosha kuwa penalty ile.
Ndio dizain alimbamiza madole usoniAlimpiga usoni
Ni purukushani ya kawaida, hata Salah alikuwa sawa kabisa hadi alipoona uwezekano wa penalty akaanza kufikicha jicho.Alimpiga usoni
Clear penalty mkuu, beki unaacha mpira unaenda kumparua mtu machoni..Huu ni uonevu, haikutosha kuwa penalty ile.