Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

kwenye pita pita nimekutana na hii
Screenshot_20251222-233457.png
 
Dakika ya 45
Misri 0
Zimbabwe 1
Game on..
 
HT
Misri 0
Zimbabwe 1
 
Dah jamaa wanajua kukaba kwa umoja aisee, wanakuja wawili wawili. Waarabu hawaamini hiki kipindi cha kwanza kilichotokea. Ngoja tuone approach ya kipindi cha pili kwa timu zote mbili
 
Back
Top Bottom