Game ya jana walishikilia sana bomba.Kivipi??
Hamna kitu pale mashabiki zao Kila siku wanapandwa na visukari wanakwambia timu ni ile ilikuwa na kina obi Mikael Moses vikta enyeama vicentiKina Oshi?? Wanayo bhanaa.
Yule mzee ile timu kaipandisha sana viwangoKocha wa kikosi cha South Africa anatimiza mechi yake ya 50 leo
Kuna vitoto vya mamelodi mule vinaupiga mwingi sana muleSana na amejaza wazawa ndani
Mchezaji wa ndoto yenu wana Simba ππYeah!! Ni game nzuri sana.
Mabululu anataka kuunguruma...
Ngoja nikuwekee hapa.Sijapentraaaa!! Mnioneshe team nzima ya south, huenda nikajipatia tumizi langu la kwa bed.
πππππ
ππ Tatizo huyo ni miyeyusho ukipanga ukutane nae sehemu aji unaishia kusubiria hadi unachokaNgoja nikuwekee hapa.
Ila nakushauri usichukue utawala binafsi kujilipua wakati kina Vincenzo Jr wako vizuri na available
Ni mzee wa ndoto zenuKabisa, Wale Walibya walimuongezea pesa
Mbona kuna mchezaji niliona picha yake jana hapa sijamuona, hapa anayenivutia ni Mudau na Mokoena.
πππππ Dildo ni mkombozi wangu.Basi milipuo binafsi ishaharibu akili yake sasa.
Ananunua sana matango πββοΈ πββοΈ
Aaaah wapiiiUtaona, kama jana Comoros walliweza kuwakazia wale jamaa, hata sisi hatutashindwa kumkaba Osimhen