Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Refaree Dehane wa Mauritania refarii wa Yanga na Simba, Tena refarii aliepangwa awali walimkataa Morocco alkuwa kutoka Misri...
Ndo hivyo Kwa Afrika Mcheza kwao hutunzwa, wasije kosa mashabiki na viingilio uwanjani Mpira ni biashara.. japo ni kweli Morocco wapo vizuri na wapo juu rank za fifa lakn refarii kazingua kiasi chake mechi ya Leo Morocco na Cameroon...
Na endapo Algeria akishinda mechi yake robo fainali dhidi Nigeria it means nusu fainali ni Morocco Vs Algeria, Hawa jamaa ni wahasimu wakubwa sana Wana migigoro Yao ktka nyanja kisiasa km tuonavyo USA vs Venezuela/Iran, Israel Vs Palestine, Russia vs Ukraine so itakuwa nusu fainali ya aina yake yenye vitu vingi pia nje ya uwanja.
 
Nigeria atampasua Algeria na huyo Morocco vizuri kabisa.
 
1000504161.jpg
 
Back
Top Bottom