SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

Ila Balerion fuvu lake c lipo kule king's landing....nahisi nae aliuawa Kwa ile mishale mikubwa
Unakuta mshangao wa Euron labda amempata na Drogon[emoji4][emoji4]
Ngoja tujipoze na Into the Badlands ..nako kumenoga mbaaya.S03Ep16 imetoka...
 
Inaweza kuwa kuna akiba ya yale madude si kwa mshangao ule aiseee...mother of Dragon then yawe matatu tu.Hahaha ukute kule yaliko kuwa yanafungiwa fungiwa kuna kazi ipo..mtazamo tu wa kunogesha.Mana naona mbaali ya 5
Cersie haponi ana roho mbaya sanaa
 
bongo movie pekee ndio mtakayoweza kuitabiri na kuipatia kwa 100%. Ila kule lazima uende chaka. Ngoja tuone hiyo episode 5.
 
Cersie anachukiwa saana, people zina machungu nae balaa, ameitendea haki character yake aliyoicheza. Kwa upande wangu She is the best Actor.
Ila mpaka Episode 4 ya Season 8 naona Jon snow hajapewa nafasi kubwa sana na waandaaji wa hii series labda Kuna kitu wanakiandaa, sitashangaa sana tukimpoteza Jon snow.
 
Episode 4 mim naona Daeneris ndo chanzo kikubwa cha kifo cha yule dragon na Missandei....kama angemsikiliza Sansa kwamba wasubiri wanasheji wao na zile dragons zipone, wasingekufa kizembe vile
 
Episode 4 mim naona Daeneris ndo chanzo kikubwa cha kifo cha yule dragon na Missandei....kama angemsikiliza Sansa kwamba wasubiri wanasheji wao na zile dragons zipone, wasingekufa kizembe vile
Daenerys anamchukia Sansa kwahyo alkua anaona ka atamchelewesha maksudi
Afu tabia za babaake zmeanza kumwingia Dany...the mad queen
 
Usije kikuta kuna dragon wengine walizaliwa season 4 sahivi wanakuja kuamsha maana inasemekana episode 5 ni balaa
 
Kuna visa vingi sana kwa hii kitu ila kama hupendi mapanga mapanga bado kuna visa vingi vya kusisimua kama The Red Wedding na vingine vingi.Binafsi nilikaa nayo siku niliposema ngoja niangalie.Hahaha...
Nitafanya hivyo
 
Nitafanya hivyo
Jaribu tu Mkuu..nilipewa huo mzigo nikaauacha kwa muda saana.Nilipoanza kuucheki hahah.Ni kama Break Bad nilikaa nayo sana..mwanzoni iliniboa sana.Ila kuna vitu nilipoaanza kuvielewa elewa hahaha...
 
Back
Top Bottom