SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

ila kuna kisanga cha nani atachukua throne kati ya Dan au Jon.
 
ila kuna kisanga cha nani atachukua throne kati ya Dan au Jon.
Wakioana wanamaliza kesi...mmoja king mwingine queen. Jon anakubalika vibaya mno.
Ila sitoshangaa throne kuchuliwa na mtu asiyetalajiwa kabisa
 
Kama unafikiri GOT itakuwa na mwisho mzuri, basi rudi kaanze kuangalia season 1.

Duuh kumbe Qyburn alisaidiwa na Robb stark pamoja na Talisa Stark,
 
wakuu kuna theory inasema kuwa Daenerys ni Dragon
 
Back
Top Bottom