SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

Yule ceraie atakufa vibaya hamjui mother of dragon
kuna kitu hakijaelewa kwenye hii epsd04, nahisi kama Rhaegal(dragon aliepigwa mishale) hajafa ila atakua amejeruhiwa tu. Ndio maana ukiangalia kwenye inayofuata Euron anaonekana kama ametoa jicho la kuogopa. Hii ina maana kwamba alifikiri dragon amekufa kumbe ni mzima, ila atakua amejeruhiwa vibaya tu. Pia tukiongelea swala la mda hii epsd04 kuna vitu vimerukishwa mno hatujavielewa imekuaje kuaje, mfano alivyotekwa missandei hatujaoneshwa wameonesha amefikishwa kingslanding.
 
Screenshot_2019-05-06-23-50-35_1.jpeg
 
mother of dragon kichwa chake empty , John hafai kuwa kiongozi na hataki.
 
Anaenda kingslanding baada ya kusikia kwamba atauliwa. Jaime anampenda cersie. Wengi wetu tunamchukia cersie lakini kwa upande mwengine tukiangalia kosa alilofanya cersie ni lipi hatulioni. Cersie hakuamuru lord stark auliwe, ni kweli cersie alikua anatembea na kaka ake lakini mnauona uovu aliokua akiufanya robert, kuingiza wanawake ndani ya chumbani mnacholala mke na mume halafu mke anakuona sio fair kabisa. Mimi binafsi sijauona uovu alioufanya cersie. Labda wenzangu nielezeni.
Cersie hakumrusha bran kwenye window
Cersie hakumuua lord stark
Cersie hajamtesa sansa wala arya
Cersie hajamuua baba ake
Cersie hajamsentence tyrion kuuliwa. Anachofanya ni kulinda ufalme wake tu
Mama wa the walk of shame
Ila Jaime aisee....kapita na bikra ya Brienne afu kaamsha zake[emoji23][emoji23]
 
Ukiangalia next ya ep05.. utaona kuna jinsi Euron ameangalia juu.Kuna huyu Dragon aliyesemekana amekufa kitambo mno(Balerion ). Sidhani..ni predictions tu za sisi wapenda Dragons, jamaa ni kama ameshtuka sana baada ya kusikia zile kelele angani.Na refer jinsi Misande alivyosema Burn them All..sidhani kama ni yule Dragon mmoja..it might be something bigger..
Ila Balerion fuvu lake c lipo kule king's landing....nahisi nae aliuawa Kwa ile mishale mikubwa
Unakuta mshangao wa Euron labda amempata na Drogon[emoji4][emoji4]
 
Bomu kalipua kulipiza kisasi kwa wale high sparrow na kumbuka walimtembeza akiwa uchi mji mzima. Hebu jaalia wewe leo mtu akuvue nguo zote halafu akutembeze hapo k.koo tu. Hasira zako utamfanya nini. Pili wale tyrels walikua wanataka kumpindua, walijua kwamba ni rahisi kumteka tommen. Ili kuhakikisha kua familia ya lannister inasonga mbele ni lazima high sparrow na tyrel waende na maji
Lakn Cersie ndo aloanza kuwatafta kna High sparrow ili wamfunge Margaery....kibao tuu kilimgeukia
Halaf ata yule high sparrow nae alikua na hamu ya madaraka
 
She told Jaime before Jaime pushed Bran.... “he saw us” two times I think and Jamie said I heard you then he pushed the poor boy. Power of women (cersie )
Wanted the imp her own brother to be killed while he did not commit any crime. She orchestrated the death of her husband King Robert .
Aliempush bran sio cersie bali ni jaime, aliyemsentence to death tyrion ni baba ake na sio cersie. Alichokua anafanya cersie ni kulinda mwanawe, unaijua power of children. Cersie hakujua kua tyrion sio mkosa. Aliyejua ni jaime, varys na tywin. Lakini pia ukiangalia tyrion alishamtanguliza mtoro wa cersie kule dorn na wale ni maadui wao. Sasa unafikiri nini unategemea kitatokea. Ikiwa mtoto wako wa mwanzo amepelekwa kwa maadui na ikapelekea baadae wakamuu, mtoto wako wa pili amekufa mbele ya macho ya watu kwa kifo cha utatanishi lakini pia kwenye kikombe ulimchomtilia wewe wine. What would you expect to do? Tusiangalie mchezo kama mchezo lakini tuangalie in real life
 
Lakn Cersie ndo aloanza kuwatafta kna High sparrow ili wamfunge Margaery....kibao tuu kilimgeukia
Halaf ata yule high sparrow nae alikua na hamu ya madaraka
High sparrow walipata nguvu kutoka kwa king tommen na sio cersie. King tommen, na kam ingeendelea cersie asingekua na nguvu yoyote na high sparrow wangetawala.
 
kuna kitu hakijaelewa kwenye hii epsd04, nahisi kama Rhaegal(dragon aliepigwa mishale) hajafa ila atakua amejeruhiwa tu. Ndio maana ukiangalia kwenye inayofuata Euron anaonekana kama ametoa jicho la kuogopa. Hii ina maana kwamba alifikiri dragon amekufa kumbe ni mzima, ila atakua amejeruhiwa vibaya tu. Pia tukiongelea swala la mda hii epsd04 kuna vitu vimerukishwa mno hatujavielewa imekuaje kuaje, mfano alivyotekwa missandei hatujaoneshwa wameonesha amefikishwa kingslanding.

Mkuu angalia tena... lile limshale limeungia katikati ya shingo na kutokea upande wa pili.
 
Lakini amewatibua baada ya kuua misandei .na huyo grey worm sijui atafanya nini
Wasipokua makini na uyo dragon aliyebakia atamalizwa, dragon akifa ujue ushindi ni ngumu kuupata. We umeona vila vifaa vya quybern, kwanza sio kimoja kama kipindi kile cha vita ya mwanzo. Wamezizamisha boat mita 800 kuoka walipo, mshale umepita kwenye shingo ya dragon kama unavopita kwenye mbuzi. Jeshi la daenery jingi limepotea north, dortraki karibu wote wamekufa kule north na ndiyo jeshi linaloogopwa sana kwenye vita. Sema hii ni muvi tu ina staring na adui. Lakini in real life tukiangalia basi daenery ameshashindwa
 
High sparrow walipata nguvu kutoka kwa king tommen na sio cersie. King tommen, na kam ingeendelea cersie asingekua na nguvu yoyote na high sparrow wangetawala.
Bhasi Cersie ndo aliewapaa Nguvu walee sparrow kama hujuii...!! Yeye ndo alishauri wao wawee na uwezo wa Kujudge watu kwa Misingi ya gods waoo ili mradi yule Queen demu wake Jofrey akamatwe kwa kosa la kuficha uovu wa kaka yake Yule shogaaa... Coz alikuwa anamchukia sema Sparrow nao wakamgeukiaa na yeye...!!
 
Wasipokua makini na uyo dragon aliyebakia atamalizwa, dragon akifa ujue ushindi ni ngumu kuupata. We umeona vila vifaa vya quybern, kwanza sio kimoja kama kipindi kile cha vita ya mwanzo. Wamezizamisha boat mita 800 kuoka walipo, mshale umepita kwenye shingo ya dragon kama unavopita kwenye mbuzi. Jeshi la daenery jingi limepotea north, dortraki karibu wote wamekufa kule north na ndiyo jeshi linaloogopwa sana kwenye vita. Sema hii ni muvi tu ina staring na adui. Lakini in real life tukiangalia basi daenery ameshashindwa
Kuna kitu Starks watafanya either Arya ama sansa.

Hebu tusubirie tuone
 
Aliempush bran sio cersie bali ni jaime, aliyemsentence to death tyrion ni baba ake na sio cersie. Alichokua anafanya cersie ni kulinda mwanawe, unaijua power of children. Cersie hakujua kua tyrion sio mkosa. Aliyejua ni jaime, varys na tywin. Lakini pia ukiangalia tyrion alishamtanguliza mtoro wa cersie kule dorn na wale ni maadui wao. Sasa unafikiri nini unategemea kitatokea. Ikiwa mtoto wako wa mwanzo amepelekwa kwa maadui na ikapelekea baadae wakamuu, mtoto wako wa pili amekufa mbele ya macho ya watu kwa kifo cha utatanishi lakini pia kwenye kikombe ulimchomtilia wewe wine. What would you expect to do? Tusiangalie mchezo kama mchezo lakini tuangalie in real life
Unamtetea Cersie sana ,

But she is one of the worst person in the show.
Mfano show inaanza anamcheat king Robert kwa kusex na twin wake.
Anashawishi bran asukumwe .

Cersie aliomba yule wolf mdogo auawe, yule wolf aliyemrukia jofrey wakati anataka kumuua Arya.

Cersie alipelekea kifo cha king robert. Baada ya king kufariki akaikataa will ya king Robert ,kwamba Ned stark awe "protector of the realm"
Cersie kaua sana sema afanyi direct,

Au hapo episode ya 4 mwishoni , umeona Cersi anafanya nini? Si kamuua missandei.
 
Cersei anafanya mauaji yake kwa calculations.....anamuua mtu si kwa kushka kisu yeye ila anabariki mauaji hayo
Kama saivi anawaweka watu wa the red keep kwne open space ili Daenerys ajichanganye aue innocent people atapovamia mji....watakaosurvive hawatamtaka Daenerys hata akshnda, nae Dany alvo na hamu na madaraka ataingia huu mtego
 
Na Daenerys alivyo na akili chache ataua watu bureee.
 
Ila Balerion fuvu lake c lipo kule king's landing....nahisi nae aliuawa Kwa ile mishale mikubwa
Unakuta mshangao wa Euron labda amempata na Drogon[emoji4][emoji4]
Inaweza kuwa kuna akiba ya yale madude si kwa mshangao ule aiseee...mother of Dragon then yawe matatu tu.Hahaha ukute kule yaliko kuwa yanafungiwa fungiwa kuna kazi ipo..mtazamo tu wa kunogesha.Mana naona mbaali ya 5
 
Ila Balerion fuvu lake c lipo kule king's landing....nahisi nae aliuawa Kwa ile mishale mikubwa
Unakuta mshangao wa Euron labda amempata na Drogon[emoji4][emoji4]
Ngoja tujipoze na Into the Badlands ..nako kumenoga mbaaya.S03Ep16 imetoka...
 
Back
Top Bottom