SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

GoT ina historia ya suprises ngumu kumeza, Yule Night King naona in the end anashinda na kukalia kiti bcuz ni nae ni Targaryen anaride Dragon lake, haungui na moto, ana uwezo wa kuua dragons, kubadili walio hai na kuamsha chochote kilichokufa. Au basi Jon Snow nae atapata powers za Night king amalize kazi za baba zake.

Wengi watakufa wachache watakaobaki watamalizwa pole pole na mazombie yale.

Twende kaziiii
Mbona historia ya Night king ni ya kitambo sana kuliko Targaryen.(miaka 1000)

Kuna theory inadai Night king wana damu Starks-toka kipindi cha brandon(the builder)
 
The Night King Ametumia more than 1000years kutengeneza jeshi lake la dead of army. Si kitu cha kushangaza kuona giants hata more than 3. Kuna possibilities nyingi kwenye miaka yote ile aliyotumia kupata hao ma-giant hata zaidi mkuu
Mkuu wewe ni mfuatiliaji mzuri.
Hapa pia upo sahihi.
Sasa nisaidie na hili.... baada ya castle black war... 2 giants died . John snow asked king Stanis to burn the bodies bcoz he knew the effect of not doing so .
Pia the third Giant died at winterfell kwenye the battle of the bastards . John asingeacha kuchoma zile maiti. Now at the end of season 7 you see the Night King with 3 giants !!!!! Aliwatoa wapi.??
 
Ni kweli suali uliloliulza lina changamoto kwa sisi wapenzi wa Got. Kwanza hili jeshi limetengenezwa kwa muda sana. Lakini pia magiant walikuwepo hapo nyuma zaidi ya 100, hao watatu ndiyo aliowapata mance rayder. Kama unakumbuka hii episode ya juzi Tormund anelezea kwanini anaitwa giantsbanes kwamba aliwahi kumuua giant, je alimchoma moto baadae? Lakini pia kuna theory zinasema zile zilikua ni vision za bran na sio kweli kwamba night king wana giants maana kuna mtu anaitwa Ygritte alionekana kwenye ile marching. Na kama unakumbuka huyu Ygritte alichomwa moto na jon snow mwenyewe. Me nahisi suali lako litajibiwa next week kwenye episode ya 3. Taarisha bando, mimi kusema ukweli naipenda sana hii series. Na wala sidownload zile episode za mb 300. Nadownload ya kuanzia 2.5Gb ile niipe haki yake.
 
Giant walipatikana pale Jon snow alipoungana na wilding na wakaenda kuwaamisha kama unakumbuka,white walker wakavamia na wakina Jon wakakimbia kwa kuvuva maji kuelekea castle black

Wilding wengi walikufa na hao giant wakageuka mazombie mpaka maza moja na watoto walionyeshwa
Mkuu wewe ni mfuatiliaji mzuri.
Hapa pia upo sahihi.
Sasa nisaidie na hili.... baada ya castle black war... 2 giants died . John snow asked king Stanis to burn the bodies bcoz he knew the effect of not doing so .
Pia the third Giant died at winterfell kwenye the battle of the bastards . John asingeacha kuchoma zile maiti. Now at the end of season 7 you see the Night King with 3 giants !!!!! Aliwatoa wapi.??
 
Ni kweli suali uliloliulza lina changamoto kwa sisi wapenzi wa Got. Kwanza hili jeshi limetengenezwa kwa muda sana. Lakini pia magiant walikuwepo hapo nyuma zaidi ya 100, hao watatu ndiyo aliowapata mance rayder. Kama unakumbuka hii episode ya juzi Tormund anelezea kwanini anaitwa giantsbanes kwamba aliwahi kumuua giant, je alimchoma moto baadae? Lakini pia kuna theory zinasema zile zilikua ni vision za bran na sio kweli kwamba night king wana giants maana kuna mtu anaitwa Ygritte alionekana kwenye ile marching. Na kama unakumbuka huyu Ygritte alichomwa moto na jon snow mwenyewe. Me nahisi suali lako litajibiwa next week kwenye episode ya 3. Taarisha bando, mimi kusema ukweli naipenda sana hii series. Na wala sidownload zile episode za mb 300. Nadownload ya kuanzia 2.5Gb ile niipe haki yake.
Kwne episode ya Hardhome.... Jon Snow alpoenda kwa wildlings wakavamiwa hamna giants walokufa na kufufuka pale??
 
M nasubiri zote zikamilike ndio nipakue mzigo nijifungie geto nicheki moja moja kwa utulivu.
 
Kwne episode ya Hardhome.... Jon Snow alpoenda kwa wildlings wakavamiwa hamna giants walokufa na kufufuka pale??
Magiant waliyooneshwa kwenye series ni wawili, kipindi jon alikua mateka kama unakumbuka alikodolea macho sana. Mmoja amekufa wakati wa vita ya night watch, walipokwenda kuhold the gate. Na mmoja amekufa wakati wa vita ya ramsey bolton na jon na alipopigwa mshale wa jicho la kulia ramsey. Gainty anaeonekana amefanana na wun wun ambae alikufa pale winterfel, jon lazima amchome kwa sababu effect ameshaijua. Masual ya kujiuliza kwa nini yule giant wa white walker amefanana na wun wun, na pia kwanini amejeruhiwa jicho moja kama alivojeruhiwa wun wun wakati alikufa winterfel, je night king alimpata wapi?
 
Night King sasa hiv mambo ya kupanda farasi kawaachia wale generals wake, anatembea na dragon angani huko. So kwny battle ya episode 3 either atakuja badae au asitokee kabisa.
Night king atatokea, maana anamfata bran na bran aliyaeleza hayo maneno. Uoga wangu bran kuachiwa kulindwa na theon na group lake la iron island. Bran alikua alindwe na some soldier of dothraki na watu kama grayworm, sir jorah moment, clogane, tormund, sir brian
 
dogo yule sidhan kama watamuacha alindwe na wakina theon peke yao

Back
Top Bottom