instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,604
- 19,793
Ameplay part nzr Sana kwenye movie.na mdogo kabisaU like that girl
Ameplay part nzr Sana kwenye movie.na mdogo kabisaU like that girl
Sema deanery hajafurahia. Angekua cersie angemtafuta jeshi amuue jon snowKinachuumiza zaidi mule Kila unaempenda ndio anakufa mapema tu roho inauma kinyama
Hahahaha kweli Mkuu....hasa zile eunich na dwarf jokes zakeKingereza hawakielewi. Yule Tyrion akiongea Yule kama hujui kingereza utaambulia patupu
Tyrion anamwambia Jaime "I made a mistake common to clever people, I underestimated my opponents."Hahahaha kweli Mkuu....hasa zile eunich na dwarf jokes zake
Episode ijayo ambayo ndo inahusisha 'Battle of winterfell' unaambiwa itakua ni zaidi ya 1hr. Aisee naona Jumapili ni mbaliHatarii unaambiwa hiyo battle ita last for 55 minutes kama sijakosea the longest battle in history[emoji91][emoji91].
Btw ni winterfell sio fall[emoji6]
“Never forget what you are, the rest of the world will not. Wear it like armor and it can never be used to hurt you.”Tyrion anamwambia Jaime "I made a mistake common to clever people, I underestimated my opponents."
Theon sidhani kama atapona,labda Brienne of Tarth.Episode ya tatu nna mashaka na Brienne of Tarth, Grey Worm, Theon Greyjoy...hawa possibility yao kupona kwne hii vita aisee
Anaenda kumlinda Bran wakat mnyama night king anamfata huyo huyoTheon sidhani kama atapona,labda Brienne of Tarth.
Ila kina John na Daenerys (pamoja na dragons) wamesema watakua karibu na Bran pia kumsubiri Night KingAnaenda kumlinda Bran wakat mnyama night king anamfata huyo huyo
White walkers wanatisha mkuu...
nina wasiwasi kwamba house itakayokuja kukaa kwenye iron throne sio targaryen . lannister wala stark either kina samweli of tary au yule dogo wa kike kiongozi aliyemchana jana snow.
alafu hivi lady merisandre aliishia wapi nimesahau part yake alikufa au ilikuaje?
Ila kina John na Daenerys (pamoja na dragons) wamesema watakua karibu na Bran pia kumsubiri Night King
Nisaidieni nawezaje kuzipata episodes1&2.Anaenda kumlinda Bran wakat mnyama night king anamfata huyo huyo
Hata Arya piaEpisode ya tatu nna mashaka na Brienne of Tarth, Grey Worm, Theon Greyjoy...hawa possibility yao kupona kwne hii vita aisee
02 TV series .comNisaidieni nawezaje kuzipata episodes1&2.