SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

lakini Arya mbabe lile game jamaa kama kabakwa yeye maana demu alikua anampa command take of your closes now , how many women have you been with , just give me the number dont you remember!!! haaah!!
 
nina wasiwasi kwamba house itakayokuja kukaa kwenye iron throne sio targaryen . lannister wala stark either kina samweli of tary au yule dogo wa kike kiongozi aliyemchana jana snow.

alafu hivi lady merisandre aliishia wapi nimesahau part yake alikufa au ilikuaje?
Mkuu john snow lazima awe king kumbuka yeye hawezi tena kufa,maana alisha kufa-ila nahisi samweli ndio atakuwa msaidizi wake
 
Daenerys atakufa
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepata hii list naDownload wapi hapo?
Screenshot_2019-04-23-18-57-22.png
 
Arya keshatembezewa moto....bado Sansa
Bifu la chinichini kat ya Sansa na Daenerys....Sansa hataki kuachia the North kzembe
Yeah, ni kweli lakini pia daenary hataki kugombana na sansa kwa sababu ya jon snow. Angalia sir jayme alipokua yupo mbele, waliomhoji ni daenary na sansa. Lakini aliyetoa maamuzi ni sansa na sio daenary. Sasa nani alistahiki kutoa maamuzi. Jon mwenyewe vita ya sansa na daenary hajui aisolve vipi
 
nina wasiwasi kwamba house itakayokuja kukaa kwenye iron throne sio targaryen . lannister wala stark either kina samweli of tary au yule dogo wa kike kiongozi aliyemchana jana snow.

alafu hivi lady merisandre aliishia wapi nimesahau part yake alikufa au ilikuaje?
Atakuja bado yupo westerous, atakufa huko huko nafkiri ni kwenye vita ya cersie. Maana alimueleza varys I have to die in this strange country, as you do kwa iyo varys atakufa
 
White walkers wanatisha mkuu...
Arya anaona kama ni masuali ya kusadikika mpaka anamuuliza gendry face yao ikoje, wanatembeaje ili apate kufanya yale mambo yake ya facelace men. Lakini anajibiwa bad tu
 
lakini Arya mbabe lile game jamaa kama kabakwa yeye maana demu alikua anampa command take of your closes now , how many women have you been with , just give me the number dont you remember!!! haaah!!
Show ya kibabee [emoji19] [emoji19] [emoji19]
Ila unashangaa katiwa mimba dahhh
 
Mkuu john snow lazima awe king kumbuka yeye hawezi tena kufa,maana alisha kufa-ila nahisi samweli ndio atakuwa msaidizi wake
Kufa lazima afe tu...kumbuka hio movie ma star wote wanakufaga tu. Halafu kapitia mengi yule jamaaa
Sema tu jon snow ndo mrithi halali wa ufalme wa 7 kingdoms sio tena daenerys.
 
Back
Top Bottom