SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

Aisee ngoja niwe mvumilivu bhasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Maana bila battlefield inakuwa imepoa kama Mkojo wa ngedereee...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]GOT iko vizuri usiiangalie tu kwa papara taratiibu utaelewa kuwa ni zaidi ya battlefield[emoji6]
 
Mie Kwa movie na series za kutishia Dunia ndo napenda .Napenda hiyo mizimu inavyogombana bila kuchoka huku ikiongozwa na mfalme mmoja

Vikings,Into the badlands, Spartacus,100, na single movie ya bird box nazipenda kama nini
Mkuu me na wewe tunafanana sanaa...! the 100 nao season ya 5 nkaona kama mapicha picha yameanza...
 
Mie Kwa movie na series za kutishia Dunia ndo napenda .Napenda hiyo mizimu inavyogombana bila kuchoka huku ikiongozwa na mfalme mmoja

Vikings,Into the badlands, Spartacus,100, na single movie ya bird box nazipenda kama nini
Umeona sasa..kila mtu ana interest zake, hizo series zote zimepita kwenye machine yangu ila spartcus ndo nimeiangalia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Spartcus hii sijui kwa nini yani
 
Hatarii unaambiwa hiyo battle ita last for 55 minutes kama sijakosea the longest battle in history[emoji91][emoji91].

Btw ni winterfell sio fall[emoji6]
Na bado battle na cersi. nasikia anahitaji jeshi la elephants sijui angombane na Dragons? Au vip simuelewi Yule mwanamke na mimba yake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]GOT iko vizuri usiiangalie tu kwa papara taratiibu utaelewa kuwa ni zaidi ya battlefield[emoji6]
Unajua ukishaangalia Vikings zile battle na huku naona maandalizi ya battle ikifika Batttle naonyeshwa gizaa alafu vuuup vita imeishaa khaaa inakuwa ngumu kumezaa...
 
Na bado battle na cersi. nasikia anahitaji jeshi la elephants sijui angombane na Dragons? Au vip simuelewi Yule mwanamke na mimba yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nataka kujua wale dragons walioibwa itakuwajee... Kisasi cha kina Bran kuuliwa baba yaooo na Theon...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hatarii unaambiwa hiyo battle ita last for 55 minutes kama sijakosea the longest battle in history[emoji91][emoji91].

Btw ni winterfell sio fall[emoji6]
Sio ita last for 55 mins ilishutiwa ndani ya 55 days ndo the longest battle kwenye hustory ya GOT ikifuatiwa na battle of the bastards iliyochukua siku 25.
 
Sanaaaa, ila watu wengi nahisi watakufa
Ndo maana wengine wanafanya sex mapema ili waonje utamu.# Arya stark [emoji39][emoji39][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mods mmeamua muunhanishe Uzi wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mmeona nafaidi sanaa etiii[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Umeona sasa..kila mtu ana interest zake, hizo series zote zimepita kwenye machine yangu ila spartcus ndo nimeiangalia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Spartcus hii sijui kwa nini yani
Spartacus haitulii ni battle mwanzo mwisho.ila inakupasa uwe above 18
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nataka kujua wale dragons walioibwa itakuwajee... Kisasi cha kina Bran kuuliwa baba yaooo na Theon...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23]Napenda Sura za walioiba Dragons.vule vuzee sijui vukoje Ila anyway midragon hayohayo ndo yataua wezi.
 
GOT

Ni best series of all the time, lazima utulize akili ili uweze kuielewa.Kama wewe ni mpenzi wa Korean movies hapa lazima utoke mweupee,Kama interest yako ni mapanga tu pia utapata taabu sana kwakuwa hapa unaweza kuwa na interest na star flan na ukashangaa anauliwa katika battle field.
Masihara masihara Jon Snow ilikuwa apotee.Naisaka the Final season maana iliishia Jon Snow kamtafuna mother dragon afu kumbe ni dada ake..!!

Kwa wote msioipenda hii kitu poleni, mnakosa kilicho bora hakika..!!
Kama John snow asingefufuliwa yaani na mimi ndio ungekuwa mwisho wa kuangalia hii series. Na ikitokea Arya akafa pia nitakuwa disappointed
 
Back
Top Bottom