SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

[emoji23] [emoji23] Kipindi tuko chuo nilikuwa na rafiki yangu alikuwa na movie ya wakorea series imeunganishwa imekuwa kama single movie ina masaa kumi na moja ukiwa unaangalia hata uki skip kidogo inakurusha mbali mpaka huelewi ilikuaje. Ilibidi jamaa aiangalie masaa yote kumi na moja usiku na mchana bila kurusha hata sekunde moja mpaka anaimaliza hiyo movie aliumwa kiuno, mgongo, kichwa na malaria kali mpaka alikonda na tangu siku hiyo hakuangalia tena wakorea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ikawa mwisho na mwanzo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndo mambo ya Globalization mkuu... Utaachwa mzee baba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana asee, yaani imefikia hatua watu wameshikwa hadi ukisema hukipendi kitu flani ni lazma watu wakushangae

Mimi binafsi yangu vitu historical napenda lakini viwe real.Sio mtu anakaa anatunga kitu halafu anaongeza na vitu vingi imaginary.. kuna series inaitwa ROMAN EMPIRE reign of blood niliikubali maana kwa kiasi flani ipo real. Game of thrones nilikuwa nayo ila nikaona uvivu wa kuanza kuiangalia maana niliona nipo nyuma sana
 
Yaah mkuu ina kisa kizuri ila me nishazoea battlefield sana kwenye movie kama hizi sasa hizo battlefield naona hawazioneshi yanii chenga chenga tu
Kuna Ile battle field ya kugombana ni mizimu( white walkers) ni shida.unagombana na waliokufa ?

Sio hayo Tu GOT kuna vita vibaya na madragons yanahusishwa pia .Hebu endelea nayo ufike season 5 utanipa mrejesho
 
Yaah mkuu ina kisa kizuri ila me nishazoea battlefield sana kwenye movie kama hizi sasa hizo battlefield naona hawazioneshi yanii chenga chenga tu
Hahhah kila movie na maudhui yake inaelekea wew ni mtu Wafujo sana
Jirani yako akae mbali na wew[emoji23] [emoji23] kidding
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Unakuta wabongo washakurahisishia kwa kuifanya single movie unateleza tu[emoji23][emoji23]
 
GOT

Ni best series of all the time, lazima utulize akili ili uweze kuielewa.Kama wewe ni mpenzi wa Korean movies hapa lazima utoke mweupee,Kama interest yako ni mapanga tu pia utapata taabu sana kwakuwa hapa unaweza kuwa na interest na star flan na ukashangaa anauliwa katika battle field.
Masihara masihara Jon Snow ilikuwa apotee.Naisaka the Final season maana iliishia Jon Snow kamtafuna mother dragon afu kumbe ni dada ake..!!

Kwa wote msioipenda hii kitu poleni, mnakosa kilicho bora hakika..!!
 
Kuna Ile battle field ya kugombana ni mizimu( white walkers) ni shida.unagombana na waliokufa ?

Sio hayo Tu GOT kuna vita vibaya na madragons yanahusishwa pia .Hebu endelea nayo ufike season 5 utanipa mrejesho
Yaani mimi hapa ndo huwa sielewi..
Hizi fiction mimi huwa sina interest za kuziangalia yaani huwa naona kama vitu imaginary halafu siwezi kuconnect navyo. Zamani nilijitahidi kidogo kuangalia legend of the seeker nayo sikuimaliza

Hollywood kwa sasa ni full fiction na imewateka watu sana.. Ila naheshimu kila anachokipenda mtu
 
Kuna moja niliiangalia jana jina silikumbuki maana mm siyo mpenzi sana wa Movie, ilikuwa na mkono na machine mwanzo mwisho hadi nikajihisi kama vile nipo Lebanon
 
Hahhah kila movie na maudhui yake inaelekea wew ni mtu Wafujo sana
Jirani yako akae mbali na wew[emoji23] [emoji23] kidding
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatari sanaa
 
Kuna moja niliiangalia jana jina silikumbuki maana mm siyo mpenzi sana wa Movie, ilikuwa na mkono na machine mwanzo mwisho hadi nikajihisi kama vile nipo Lebanon
Kuna movie zina balaa...!! Kuna moja inaitwa Die fighting aisee unaweza Ikimbia tv manaa ni hatariiii
 
Hatarii unaambiwa hiyo battle ita last for 55 minutes kama sijakosea the longest battle in history[emoji91][emoji91].

Btw ni winterfell sio fall[emoji6]
Aisee ngoja niwe mvumilivu bhasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Maana bila battlefield inakuwa imepoa kama Mkojo wa ngedereee...
 
GOT

Ni best series of all the time, lazima utulize akili ili uweze kuielewa.Kama wewe ni mpenzi wa Korean movies hapa lazima utoke mweupee,Kama interest yako ni mapanga tu pia utapata taabu sana kwakuwa hapa unaweza kuwa na interest na star flan na ukashangaa anauliwa katika battle field.
Masihara masihara Jon Snow ilikuwa apotee.Naisaka the Final season maana iliishia Jon Snow kamtafuta mother dragon afu kumbe ni dada ake..!!

Kwa wote msioipenda hii kitu poleni, mnakosa kilicho bora hakika..!!
Mimi huwa sibagui series za kuangalia ili mradi ifikie zile criteria zangu....

Korean zile historical huwa naangalia na sio hizi za town .. Zile za kizamani huongelea historia za kale ambazo ziliandikwa kipindi hicho. Kiukweli kwa mtu anayependa politics, knowledge ya maisha au tu strategist yoyote. Hizi ni series za kuangalia maana zinaelezea vitu vilivyotokea ambao kwa kiasi kikubwa strategies hutumika na falsafa nyingi tu..

Moja ya vitabu maarufu duniani kwa strategies ni ART OF WAR ambacho kiliandikwa na jamaa wa pande hizo hizo na knowledge yake utaikuta katika hizo series...

"UKIANGALIA KAMA SERIES UTATOKA KAPA ILA UKIANGALIA KWA KUJIFUNZA, TRUST ME HIZO HOLLYWOOD MOVIE HAZIWEZI KUKUPA KNOWLEDGE ZILIZOMO MULE"...
 
Hahhah kila movie na maudhui yake inaelekea wew ni mtu Wafujo sana
Jirani yako akae mbali na wew[emoji23] [emoji23] kidding
Kazoea bongo movies za kubinua misambwanda! Off coarse lazima uchanganyikiwe kuitizama GoT kutoka season one mpaka ya mwisho kama mtu ana kichwa cha panzi.

Episode to episode, plot to plot, season to season... unapagawa!! Hasa kama ni mtu wa kupepesa pepesa macho na kuruka ruka.

Unahitaji utulivu na umakini.. lakini zaidi unahitaji akili nyepesi kung'amua matukio na kuyapa maudhui yake sahihi.
 
Yaani mimi hapa ndo huwa sielewi..
Hizi fiction mimi huwa sina interest za kuziangalia yaani huwa naona kama vitu imaginary halafu siwezi kuconnect navyo. Zamani nilijitahidi kidogo kuangalia legend of the seeker nayo sikuimaliza

Hollywood kwa sasa ni full fiction na imewateka watu sana.. Ila naheshimu kila anachokipenda mtu
Mie Kwa movie na series za kutishia Dunia ndo napenda .Napenda hiyo mizimu inavyogombana bila kuchoka huku ikiongozwa na mfalme mmoja

Vikings,Into the badlands, Spartacus,100, na single movie ya bird box nazipenda kama nini
 
Kazoea bongo movies za kubinua misambwanda! Off coarse lazima uchanganyikiwe kuitizama GoT form season one to the last kama mtu ana kichwa cha panzi.

Episode to episode, plot to plot, season to season... unapagawa!! Hasa kama ni mtu wa kupepesa pepesa macho na kuruka ruka.

Unahitaji utulivu na umakini.. lakini zaidi unahitaji akili nyepesi kung'amua matukio na kuyapa maudhui yake sahihi.
Yani ukichezsa simu tu ukirudi inabdi utumie akili sana kuelewa nini kimeendelea...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Maana kila sekunde ni point aisee[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hatarii unaambiwa hiyo battle ita last for 55 minutes kama sijakosea the longest battle in history[emoji91][emoji91].

Btw ni winterfell sio fall[emoji6]
Episode ya tatu inaonekana itakuwa bomba
 
Back
Top Bottom