SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

Watu goi goi na wenye mtindio wa ubongo wanaopenda katuni za tom and jerry au bongo movies za akina 'nsyuka' na matakataka mengine 'rahisi rahisi' lazima waione Game of thrones chungu sana.

Game of thrones ni series yenye kubeba maudhui mazito yanayoturudisha karne nyingi zilizopita katika nyakati za kifalme. Unahitaji kuwa na utulivu wa akili wa hali ya juu kuifwatilia ile series.

Fasihi ya Game of thrones ni the best ambayo haiwezi kulinganishwa na series yoyote ile chini ya jua.

I recommend you to watch it carefully from season one to five.
Unjua huyu hakuelewa iyo vita aliyoiyongelea. Mimi nahisi ni ile vita ya kusucrifice jeshi ili waende kumkamata kingslayer, sirjayme wakati rob alitumia mbinu ili amkamate na kuwekwa mateka. Hii ndo vita anaeleza mtoa mada.
 
Kihistoria napenda sana tuu.. yani yenye muendelezo ya matukio mkuu mfano Vikings...the 100... Hizi za Kiintelegencia huwaga naanza nazo vizuri ila sijui why huwa nashindwa kuendelea nazo sijui sababu ya Kila episode ni mission nyingne hakuna mwendelezo au vip[emoji22][emoji22]
Za kiintelligencia ni nzuri nazo sema zinazokwaza watu wengi ni kuwa kila episode unakuta na mission yake
 
Mnaodhani ishu ni kingereza noo labda kama Hujaangalia GOT kama umeiangalia utaelewa ishu ya Battle field kutooneshwa...
rikiboy eti lugha yaweza kuwa tatizo kwako?
Mkuu zina subtitle bhana...
1555951696547.jpeg
 
Kama kuna watu ambao ningependa kukutana nao ni hawa

1. Aliyewaaminisha watu kuwa mpira ni uanaume maana kaweka soko lake vizuri kwa miaka yote. Yani ana uhakika wa kupata soko la uhakika maana vizazi na vizazi vinarithishana.

2. Aliyewaaminisha watu kuangalia movie imaginary ni kuwa powerful and superior kuliko watu wanaoangalia movie za aina nyingine .. hii heko nawapa hollywood maana wamewashika watu kama mazuzu..kitu kinaweza kuwa overhyped hadi watu wakakisaka ili tu waonekana wapo updated. Yaani huyu kawakamata watu na kuhakikisha flow ya soko lake

3. Aliyewaaminisha watu kuhusu trends na fashion .. Yaani siku hizi kuna colour of the year mara sijui vitu gani vya ajabu ajabu.. lakini huyu ni genius maana anatengeneza soko la uhakika hata katika bidhaa za kipuuzi na watu wanazinunua. Saa hii watu wanavaa majeans yamekatwa kama vichaa na watu wapo ok.. Hapa niwape helo fashionista wote duniani
 
Alafu utakuta watu wanaoangalia GoT wanawaponda ambao hawaiangalii eti hawaielewi sababu vichwa vizito.

Yani nielewe complicated series kama Black list alafu nishindwe kuelewa hiyo ya madragon, like serious?
Black List bonge season mkuu
 
Kama kuna watu ambao ningependa kukutana nao ni hawa

1. Aliyewaaminisha watu kuwa mpira ni uanaume maana kaweka soko lake vizuri kwa miaka yote. Yani ana uhakika wa kupata soko la uhakika maana vizazi na vizazi vinarithishana.

2. Aliyewaaminisha watu kuangalia movie imaginary ni kuwa powerful and superior kuliko watu wanaoangalia movie za aina nyingine .. hii heko nawapa hollywood maana wamewashika watu kama mazuzu..kitu kinaweza kuwa overhyped hadi watu wakakisaka ili tu waonekana wapo updated. Yaani huyu kawakamata watu na kuhakikisha flow ya soko lake

3. Aliyewaaminisha watu kuhusu trends na fashion .. Yaani siku hizi kuna colour of the year mara sijui vitu gani vya ajabu ajabu.. lakini huyu ni genius maana anatengeneza soko la uhakika hata katika bidhaa za kipuuzi na watu wanazinunua. Saa hii watu wanavaa majeans yamekatwa kama vichaa na watu wapo ok.. Hapa niwape helo fashionista wote duniani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndo mambo ya Globalization mkuu... Utaachwa mzee baba
 
Kama unapenda na movie za drugs trafficking ipo moja inaitwa queen of the south jaribu kufatilia kali sana
Mkuu hii nayo niliona kama chenga tuu yani matukio yanaenda mpaka najua nini kinafataa baada ya hichi... Niliiacha nayoo japo ni nzuri sanaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Series kama Prison Break yani inapoishia mzee kichwa kinakuuma kufikiri what next...
 
Mbona naiona nzur tu ndio kwanza season 1
Yaah mkuu ina kisa kizuri ila me nishazoea battlefield sana kwenye movie kama hizi sasa hizo battlefield naona hawazioneshi yanii chenga chenga tu
 
Kihistoria napenda sana tuu.. yani yenye muendelezo ya matukio mkuu mfano Vikings...the 100... Hizi za Kiintelegencia huwaga naanza nazo vizuri ila sijui why huwa nashindwa kuendelea nazo sijui sababu ya Kila episode ni mission nyingne hakuna mwendelezo au vip[emoji22][emoji22]
Sio interest yako labda .kila mtu ana interest yake .Hata vikings inapendwa Sana nadhani ni ya pili baada ya GOT .watu tunasubiria season 6 Ivar atafanya nini

GOT mie napenda yale miwhite walkers
Ushoga unaonyeshwa pamoja na sex kibao lakini kuna solutions mfano mashoga walilipuliwa na cersi
GOT utamu wake unaanzia jofrey akifariki na Baba Arya kukatwa kichwa
 
Maliza mpaka season ya mwisho ndo urudi tena hapa.
Yani nilikuwa nasikia Game of throne series kali nikasema ngoja niifatilie ilaa Kiukweli hakuna kitu hapaaa ni Upuuzi tu hasa jambo moja Limenikera mno..!! wanaonesha watu wanajiandaa kupigana vita kati ya pande mbilii alafu ghafla unasikia tu makelele huoni watu wakipiganaa then Vuuuu vita imeishaa...????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Serious???? Hadi season ya Pili Hakuna battlefield imeoneshwa... Huu ni ungeseeeee nilijua inatokea mara mojaa ila mpaka sasa nipo Season ya pili sijaona vita between kingdoms naonyeshwa utumboo tu hapaa... Mara 100 Vikings unaona mkonoo woteee... GOT ni ungeseee naacha kuiangaliaa[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji2959][emoji2959][emoji2959]
 
Sio interest yako labda .kila mtu ana interest yake .Hata vikings inapendwa Sana nadhani ni ya pili baada ya GOT .watu tunasubiria season 6 Ivar atafanya nini

GOT mie napenda yale miwhite walkers
Ushoga unaonyeshwa pamoja na sex kibao lakini kuna solutions mfano mashoga walilipuliwa na cersi
GOT utamu wake unaanzia jofrey akifariki na Baba Arya kukatwa kichwa
Ahaa ngoja niwe mpole mkuu.. Ila suala la battlefield kutooneshwa limenikera sanaa
 
Yaah ni kweli mkuu sema nao wale computer imezidii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeanza kuizoea hainishtua sanaa kiukwelii... Vikings ni best series kwangu mpaka leoo hii... IVAR THE BONELESS...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Vikings nayo ni tamu aisee
 
Wakorea series za mabeki tatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] Kipindi tuko chuo nilikuwa na rafiki yangu alikuwa na movie ya wakorea series imeunganishwa imekuwa kama single movie ina masaa kumi na moja ukiwa unaangalia hata uki skip kidogo inakurusha mbali mpaka huelewi ilikuaje. Ilibidi jamaa aiangalie masaa yote kumi na moja usiku na mchana bila kurusha hata sekunde moja mpaka anaimaliza hiyo movie aliumwa kiuno, mgongo, kichwa na malaria kali mpaka alikonda na tangu siku hiyo hakuangalia tena wakorea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ikawa mwisho na mwanzo!
 
Back
Top Bottom