SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

Coz nakumbuka kama yule dragon anatapatapa na ikaishia bila kujua kama atakufa au amebaki kuwa majeruhi na episode ya 5 itatupatia majibu, ila nilitamani life lile lidragon nikaone kale kamdada kanaleta jeuri kwa jon snow eti kampigie magoti
Dragon amepata majeraha tu wala hajafa.
 
Coz nakumbuka kama yule dragon anatapatapa na ikaishia bila kujua kama atakufa au amebaki kuwa majeruhi na episode ya 5 itatupatia majibu, ila nilitamani life lile lidragon nikaone kale kamdada kanaleta jeuri kwa jon snow eti kampigie magoti
Ule mkuki sidhani kama ulimpata vizuri, kama unakumbuka maelekezo ya kumwua dragon ni kupigwa kichwani. Ila Bronn alimpiga karibu na mwanzo wa bawa lake...

Hapana shaka atapona, ila Mdada Deanerys somo kalipata...

Zaidi kuna issue ya gold za kulipwa ile bank... sijui kama zile gold zimepona kwa moto wa dragon... Hili ni pigo kwa Cersei..

Aidha nakubaliana nawe juu ya msimamo wa Jon Snow wa kutopiga goti..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwisho wa cersi umekaribia, nahisi arya stark atamuua cersi na mauchawi yake yale yakujibadirisha sura
 
Ule mkuki sidhani kama ulimpata vizuri, kama unakumbuka maelekezo ya kumwua dragon ni kupigwa kichwani. Ila Bronn alimpiga karibu na mwanzo wa bawa lake...

Hapana shaka atapona, ila Mdada Deanerys somo kalipata...

Zaidi kuna issue ya gold za kulipwa ile bank... sijui kama zile gold zimepona kwa moto wa dragon... Hili ni pigo kwa Cersei..

Aidha nakubaliana nawe juu ya msimamo wa Jon Snow wa kutopiga goti..

Sent using Jamii Forums mobile app
SPOILER ALERT!!!!!!!

Mtazamo wangu;

Dragon hafi, alafu sijui kwanini watu wengi mnamchukia Dany, yeye ana dragons kwanini asiwatumie.

SPOILER ALERT!!!!!!!!

Next ep, tunaona Dany anawaambia soldier wa Kings Landing kuwa they have to bend a knee or die. Kuh Dany anakuwa kama baba yake. Ana hasira sana. Fast forward Tyrion ataanxa kuwa mlevi tena, maana ilionekana anaambiwa you have to get hold of her, huku Tyrion anapiga mvinyo nywele ovyo. Sijajua kama walikuwa wanuongelea Cersei au Dany.

John Snow is had dragon blood. Tuliona pia John akiwa na Dragon karibu, Dany was surprised kwanini John hakuwa afraid. She might get jealous too. John Snow ataenda beyond the wall kumkamata whight walker ili aconvice watu wa south kuwa they have a real enemy. Huko aliomba msaada wa Dany na Dragons wake. Dany akaja kumuokoa. Mbaya dragon mmona alichomwa na spear na The Knight walker, then dragon atadondoka. The dragon will be turned into an Ice dragon.

Huu mtazamo wangu tu. Kitu kinazidi kuwa interesting. Am glad kuna threads kama hizi, sio Kila siku Korean Drama[emoji3] [emoji3] [emoji3] .

-callmeGhost
 
SPOILER ALERT!!!!!!!

Mtazamo wangu;

Dragon hafi, alafu sijui kwanini watu wengi mnamchukia Dany, yeye ana dragons kwanini asiwatumie. [emoji3] [emoji3] [emoji3] .

-callmeGhost
Huyo Daenerys ni vema akubali kuwatumia dragons wake dhidi ya White Walkers na sio venginevyo... Tumeona hapo awali kuwa moto ndio njia rahisi ya kupambana na White Walkers....

Hivyo aunganishe majeshi na Jon dhidi ya hao wanga weupe.
 
Vile vile John Snow ndio the right King of Kings landing. In Westeros mwanaume ndio the right one to be the king. John Snow ni true Tageryen(however that is spelled). So ufalme ni wa John sio Dany. Sasa sijui Dany atajisikiaje akijua John ni the true King. Anyway, Mimi ningependa John ammarry Dany[emoji3] .

Swali, je ile Dagger little finger aliyompa Brann, ni ya nani hasa?

Intentions za huyu jamaa sijazielewa kabisa. He is always smart. Mi ninavyoona Little Finger atawachonganisha Arya na Sansa.

-callmeGhost
 
Dah hapa nipo namalizia ku download episode ya 9 na 10 season 5 na kuangalia nipo episode ya 7 sasa... Nasikitika kusikia LORD COMMANDER JOHN SNOW atakufa daaaah........ but still kuna kale ka Stark kabinti ka Arya Stark nako kanaonekana katakuja kuwa kamtu kamaana huko mbeleni...
Nipe link mkuu
 
Swali, je ile Dagger little finger aliyompa Brann, ni ya nani hasa?

Intentions za huyu jamaa sijazielewa kabisa. He is always smart. Mi ninavyoona Little Finger atawachonganisha Arya na Sansa.

-callmeGhost
Ile dagger ni ya Jaime Lannister, ndio ilitumika katika jaribio la kumuua Bran Stark, na Littlefinger alijua mchongo wote.

Kama ulivyo sema hapo juu, Littlefinger ni mtu wa plans na siku zote ni plan kwa faida yake. Hata hivyo baada ya uchonganishi wake uliopelekea vita kati ya Wafalme Watano, sasa amejikuta hana jipya.

Si ajabu kwake kuanza kutengeneza ugomvi kati ya Arya na Sansa, kwani sio siri tena ujio wa Arya na Bran katika Winterfall ni pigo kwake.

Asichojua ni kuwa Arya hampendi, Bran anajua siri zake na ameshapoteza ushawishi kwa Sansa. Hivyo plan yoyote atakayopanga haina budi kuidhoofisha ukoo wa Stark. Hapa ni pagumu kwa sasa kwani ukoo mzima kama unamkimbia.
 
John will bend the knee soon maana ameshasema akisaidiwa atapiga magoti sasa battle ya kule beyond the wall atazidiwa na kuja kuokolewa na Daenerys Stormborn a.k.a Queen of the Andals, the Rhoynar and the First Men (claimant),Protector of the Realm (claimant), Queen of Meereen, Khaleesi of the Great Grass Sea, Mother of Dragons,The Unburnt, Breaker of Chains and Princess of Dragonstone
 
daaaah series kali kinoma ila watu wa humu noma mnatak series iende kama mnavyodhani haitakuwa ivyo bhna😀😀😀😀😀😀
 
Kama kichwa kinavojieleza wadau na wapenzi wote wa series hii tukutane hapa..

Valar Morghulis...

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Mods naomba mfute hii thread kumbe ipo..

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Ep6 imevuja, naona tayari ishawekwa kwa mtandao ni kupakua tu.
 
Back
Top Bottom