SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

Wapi nimelazimisha?

Nimekuja kwakona kukukataza usiangalie show unayotaka?

Mbona unakuwa na mawazo dhaifu ya kuona mtu akiponda unachopenda wewe unamuona analazimisha usipende?

Mbona mimisijasemamnanilazimisha kuangalia Game of Thrones?

Mtu anawezaje kumlazimisha mwingine kuangalia show hapa? Are you that much of a weakling kwamba mtu anaweza kukulazimisha usiangalie show kwa kuichana mtandaoni?
sasa ni nini kuja kutapika hapa na kuwafananisha wenzako na watoto wadogo bora ungepita kimya kimya tu sio kila post lazima uchangie

sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
 
achana na hizo za kifalme na kichawi

naomba mnitajie za kijasusi/kipelelezi au zenye mkono wa maana hapa

zisizo na chembe ya supernatural powers.
NB nimesha tizama zifuatazo.
24
prison break
blindspot

tafadhalini naomba majina ya series za aina hiyo
Mkuu upo kama mimi. Nikishaona movie ina mambo ya kichawi au miujiza inani put off kabisa siwezi kuitizama
 
sasa ni nini kuja kutapika hapa na kuwafananisha wenzako na watoto wadogo bora ungepita kimya kimya tu sio kila post lazima uchangie

sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
Wewe huwezi kunipangia post ya kuchangia.

Na hilolinaonyesha umezoea kuishi jamiizenye self censorship.

Hatupo hapa kuimba kwaya kwamba kila mtu atatafuta harmony.

Juu pameandikwa kaulimbiu "Where We Dare To Talk Openly".

Kamahuelewi theme ya "conflict" ilivyo constant katika maisha, nina shaka hata hiyo "Game of Thrones" kama unaielewa.

Maana inawezekana kabisa unapenda wanavyokaa uchi na kuuana tu bilakuelewa story.
 
Mwenzako anaendelea kunihoji kwa hiyo inaelekea nipo sana hapa bado.

Huwa sina utamaduni wa kuacha hojaji ikielea elea tu bila kujibiwa.

Hilary Mantel kamaliza residency yake BBC Reith Lectures 2017.

Nilikuwa namsikiliza anaulizwa maswali na watu wanaopenda creative writing.

Moja ya vitu alivyokandia ni hizi habari za hadithi yenye characters mia moja na plots mia mbili na subplots 1000.

But I don't expect you to know her, so, I don't expect you to care about that.
Hahahhhaha[emoji23] very good princple for you...
Abt Hilary...you are right, i dont know her so i dont care what she did or did not[emoji41]
 
Good for you. That's why you watch lowbrow shows.
 
Wewe huwezi kunipangia post ya kuchangia.

Na hilolinaonyesha umezoea kuishi jamiizenye self censorship.

Hatupo hapa kuimba kwaya kwamba kila mtu atatafuta harmony.

Juu pameandikwa kaulimbiu "Where We Dare To Talk Openly".

Kamahuelewi theme ya "conflict" ilivyo constant katika maisha, nina shaka hata hiyo "Game of Thrones" kama unaielewa.

Maana inawezekana kabisa unapenda wanavyokaa uchi na kuuana tu bilakuelewa story.
[emoji2] [emoji2] hivi game of thrones wanakaa uchi??? ushaangalia hizo movie mnazo penda ambazo hazina fantasy kama spartacus??????
series kama GOT tunaangalia tukiwa na muda wa ziada tu sio kila muda tunaangalia series za kutumia akili nyingii

sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
 
Wewe huwezi kunipangia post ya kuchangia.

Na hilolinaonyesha umezoea kuishi jamiizenye self censorship.

Hatupo hapa kuimba kwaya kwamba kila mtu atatafuta harmony.

Juu pameandikwa kaulimbiu "Where We Dare To Talk Openly".

Kamahuelewi theme ya "conflict" ilivyo constant katika maisha, nina shaka hata hiyo "Game of Thrones" kama unaielewa.

Maana inawezekana kabisa unapenda wanavyokaa uchi na kuuana tu bilakuelewa story.
GOT sio nimeangalia series tu nimeshasoma na vitabu vyake almost vyote siku nyingi sana, kama sehemu ya ku refresh akili[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mkuu vipi tenaa
 
GOT sio nimeangalia series tu nimeshasoma na vitabu vyake almost vyote siku nyingi sana, kama sehemu ya ku refresh akili[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]

sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
Unaweza kusoma hata White Stag ukitaka. Still lowbrow is lowbrow.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] haya mkuu umeshinda maana tunaweza bisha hadi kesho hapa......

hebu tutajie hizo highbrow niongezee kwenye list yangu [emoji4] [emoji4] [emoji4]

sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] haya mkuu umeshinda maana tunaweza bisha hadi kesho hapa......

hebu tutajie hizo highbrow niongezee kwenye list yangu [emoji4] [emoji4] [emoji4]

sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
Hutazielewa zitakuboa kama mimi Game of Thrones inavyoniboa.

Hazina ma dragon wala fantasy maps.
 
Hutazielewa zitakuboa kama mimi Game of Thrones inavyoniboa.
hapana mkuu sijawahi chagua series mimi naangalia series zote nzuri.... kasoro za kihindi na kibongo ndo siwezi angalia
nikikuonyesha list ya series nilizoona utashangaa

sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
 
[emoji2] [emoji2] hivi game of thrones wanakaa uchi??? ushaangalia hizo movie mnazo penda ambazo hazina fantasy kama spartacus??????
series kama GOT tunaangalia tukiwa na muda wa ziada tu sio kila muda tunaangalia series za kutumia akili nyingii

sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
Sasa unanichagulia series? Unajitekenya mwenyewe halafu unacheka mwenyewe?
 
hapana mkuu sijawahi chagua series mimi naangalia series zote nzuri.... kasoro za kihindi na kibongo ndo siwezi angalia
nikikuonyesha list ya series nilizoona utashangaa

sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
Mimi sijashangaa CERN ilivyogundua a particle without a double dose of charm majuzi hapa kwa sababu niliisoma kwa Dr. Murray Gell-Mann, nitashangaa list yako ya series?
 
Back
Top Bottom