SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

Moja kati ya series bora from books adaptation. Kama kawaida episode 9 inakuwaga ni bad news na Battle of the Bastards hikudisappoint hata kigoma. The finale was also epic. Lakini s07 wnaxema inatakuwa na episode 13 while s08 itakuwa na episode 6.
season 7 inaweza kuwa na episode 7 tu na probably itakuwa series finale
 
The king in the north...
The king in the north...
The king in the north...
The king in the north...
 
94293170bd678254a69de59fd46e40f5.jpg
Family tree ya house mbili muhimu kwenye GoT

kwa hiyo John snow ni mpwa wa Ned stark na sio mwanae wa Nje??? na Daenerys wazazi wake ni Rhaeger na Elia??
 
Plus Daenery ni shangaz wa Jon snow........ it's crazy huh...!!!??
 
The king in the north...
The king in the north...
The king in the north...
The king in the north...
Imenikumbusha Ile episode wana mproclaim Rob Stark kama King In The North
Young Wolf
Rob alikua king material
 
Wakati nasubiri hio season 7, nimeanza kusoma vitabu vyake kuanzia na song of ice and cold
 
Jamani fans wa Got mkae mkao wa kula season seven inaliziwa kupikwa it's on the way na Leo wameachia teaser ya picha ya White walker aki ride dragon
1477501718977.jpg
 
To all fans of Game of Thrones....tukutane humu kudiscuss this greatest series of all time. Power games, sex, politics etc...could it get better? Targaryens, Lannisters, Martells, Starks, Baratheons, Tyrells etc...like a wheel....
Kama bado hujaanza kuiangalia aisee you dont know what you're missing!

Wapenzi wa Game Of Thrones tujiandae na mambo mazuri msimu unaokuja, ule msemo wa WINTER IS COMMING umebadilika sasa na kua WINTER HAS COME. kuna masual mengi ya kujiuliza pasipo kua na majibu, hebu angalia tips zifuatazo
1) Arya stark amerudia kwa kishindo na maujanja yote, atachukua hatua gani atakapokuatana na sansa?
2) kuna trailar imeonesha arya anaongea na jon snow, je snow nae atamfanya nini sansa kwa taarifa atakazopewa na arya juu ya kifo cha stark
3) jon snow atalipiza kisasi kwa waliomuua lord stark, hand of the king?
4) kuna uhusiano kati ya tyrion (mzee wa akili) na mother of dragon, lakini pia kuna uhusiano wa damu kati ya jon snow na mother of dragon. Mother of dragon ataweza kuja kuijua hii siri? Na je ataijua wakati gani?
5) kuna visasi vingi mpaka sasa havijalipwa, je vitaendelea
6) hodoor amekufa, bran o na safari, ataweza kukutana na jon snow?
7) kuna picha zinaonesha white walker wakiwa juu ya dragon, hizi picha zina maana gani?
Mach ifike mapema tu, can't wait and must see
 
Back
Top Bottom