SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

uko sahihi mkuu yani imepoa Lingine nilijua kipande ambacho kingefuata kuhusu hodo kingekuwa kikal kumbe ni kama story nyingine tena inataka kuanza HII EPISODE WAMECHEMKA NAFIKIR number 7 wataiachia haraka ili isafishe number 6
inatoka kila wiki mkuu,hadi jumatatu tena saa kumi na mbili asubuhi itakuwa mtaani...
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Wanaosema ep6 imeboa mmeanza kufwatilia thronea episode 6 nini?
Kuna matukio mengi sana hasa flashbacks za Bran.

Imejulikana historia ya Knight King, Benjen Stark kajulikana alikua wapi,Mad King kaonekana kwa mara ya kwanza na Jamie anavomuua,Uncle wa kina sansa(blackfish) ambae alinusurika kwenye red wedding massacre nae karudi(alikua ametekwa na freys),Arya amebadili msimamo,Brotherhood nao wametajwa(inasemakana mama yao kina sansa atakua yuko nao na mengine mengi...

Tatizo hizo storyline ziliachwa zamani sana mpaka watu wakazisahau sasa zimerudishwa tena.
 
Hivi huyu theon grejoy kwao ni winterfal? na ana uhuaiano kivipina winterfal
 
Du mambo yote e8 nimesheki hiyo j2 no kulala alafu ya kumi nasikia itakuwa ndio longest episode itatumia 69 min ndio kuna bustard battle du
 
Hivi huyu theon grejoy kwao ni winterfal? na ana uhuaiano kivipina winterfal
Kwao ni riverrun(kama sijachanganya na riverlands) wao ni watu wa majini.
Kuna kipindi yalitokea machafuko huko kwao Ned Stark akampeleka winterfell akaishi nae kama mwanae.
 
f9721dae9b590cf812c818de1037300c.jpg
 
Moja kati ya series bora from books adaptation. Kama kawaida episode 9 inakuwaga ni bad news na Battle of the Bastards hikudisappoint hata kigoma. The finale was also epic. Lakini s07 wnaxema inatakuwa na episode 13 while s08 itakuwa na episode 6.
 
Mkuu Zimebaki Episodes 13 Tu Jumla Hadi GoT Iishe.Season 7 Itakuwa Na Episodes 7 Na Season 8 Itakuwa Na Episodes 6. Ingawa Wanaweza OngezaKama Alivyonukuliwa;
“I think we’re down to our final 13 episodes after this season. We’re heading into the final lap,” said Benioff. “That’s the guess, though nothing is yet set in stone, but that’s what we’re looking at.”
 
Thanx mkuu 4 correction
 
Wakuu karibuni katika Tamthilia hii inayoendelea kuvunja records mbalimbali duniani

The biggest hit in HBO history — it has surpassed this list's No. 6 The Sopranos — keeps fans hooked with the bloodiest, most shocking cliffhangers

Kama inavyoandikwa na holywood reporter,no doubt imetugusa wengi Kwa spoilers discussions na mitazamo juu ya Show hii karibuni wadau.

The show, based on George R.R. Martin’s series of books, is the most downloaded show in TV history; for four years running TorrentFreak have named the show the most downloaded show, with estimates that the season four finale had 14.4 million downloads through BitTorrent.

That’s over double the second most downloaded show, The Walking Dead, which had 6.9 million.

Read more: The latest episode of Game Of Thrones has leaked - courtesy of HBO

Hold the Door
Hold the Door
Hold Door
Holdooor
Hodooor
Hodoor
HODOOOOR.

Episode 6

Mnasemaje wadau

Wakuu Season 6 Finale ndiyo hiyo imekua aired jana
Sijaiangalia bado najua kuna wengi hawajaiangalia bado pia
Leteni utamu wana Kings Landing,Dorne na Winterfell
"MY WATCH HAS ENDED"
1467474285347.jpg
 
Back
Top Bottom