wekeni na link basi na sie tuipakue wadau
Kwa aliye Mbeya au Swax na ana Game Of Thrones kuanzia season 4 na kuendelea please
tumia uc browser afu ingia www.o2tvseries.com utapata hyo series na nyingine nyingi ... Naitumia sana tena lea simu tu
Asante mkuutumia uc browser afu ingia www.o2tvseries.com utapata hyo series na nyingine nyingi ... Naitumia sana tena lea simu tu
Dah huyo jamaa namuelewa sana!!!Tehe tehe, mkuu huyo jamaa sijaona mnyankusi wa wanyambisi kama huyo. Ana roho mbaya kama kale ka mfalme jofrey kalikouawa na sumu
Hata White Walker huwataki kuwaona...Hivi Tyrion Lannister ana mpango gani maana hatabiriki,what about Arya Stark?,kule alipokwepo wanafanywa nn and why are they training her?,and what for?...naombeni majibu tafadhali [emoji39][emoji39]
Sometimes natamani episode yote waonyeshe two sides tu,kwa Jon Snow na Khaleesi [emoji12][emoji12][emoji12]
Hata White Walker huwataki kuwaona...
Vikings mpaka mwakani tenaNasubiri iishe yote ndio nianze kuitazama... Sema hadi sasa vikings ndio inaninyima amani kabisa sijui lini wanaendelea maana saiv wapo mid season break
Napenda sana kuwaona white Walker maanake shughuli yao hatari na utakuta kila season wanaonekana episode moja tuTatizo white walkers wanawabania sana,wanaonyeshwa very few times hadi wanakera
Wamesema itaendelea badae mwaka huu ila hawajasema ni mwezi ganiVikings mpaka mwakani tena