Haha Ramsey mzee wa "my father was killed by our enemies with poison"Tehe tehe, mkuu huyo jamaa sijaona mnyankusi wa wanyambisi kama huyo. Ana roho mbaya kama kale ka mfalme jofrey kalikouawa na sumu
Tyrion utamuelewa baadae kule alipo,inasemekana nae ni same blood na lady dragon ndio maana aliwafungulia wale dragon na hawakumfanya kitu,arya kule kwa many faces anakula training ili akafanye revenge kwa kina lannisters kwa ukatili walioufanya kwa familia yake,nae pia atakuwa na many faces kwaio atakuwa anaingia popote bila kujulikana...kitu tamu hii,never stop to watch until it ends..Hivi Tyrion Lannister ana mpango gani maana hatabiriki,what about Arya Stark?,kule alipokwepo wanafanywa nn and why are they training her?,and what for?...naombeni majibu tafadhali [emoji39][emoji39]
Sometimes natamani episode yote waonyeshe two sides tu,kwa Jon Snow na Khaleesi [emoji12][emoji12][emoji12]
Ep ya 6 ya nini mkuu?Wameachia episode number 6 iko poa sana
ni episode namba 5 session 6 Game of thronesEp ya 6 ya nini mkuu?
Dah aisee basi huko mbele itakua shida [emoji108][emoji108][emoji108]Tyrion utamuelewa baadae kule alipo,inasemekana nae ni same blood na lady dragon ndio maana aliwafungulia wale dragon na hawakumfanya kitu,arya kule kwa many faces anakula training ili akafanye revenge kwa kina lannisters kwa ukatili walioufanya kwa familia yake,nae pia atakuwa na many faces kwaio atakuwa anaingia popote bila kujulikana...kitu tamu hii,never stop to watch until it ends..
Pamoja na sita zote mi naona ipo complex, vitu vingi vya kufuatilia kwa wakati mmoja. Naongea hivi kwa kuwa nimetazama episode zote hadi season 6 episode 3 iliyotoka juzi.
Mbona huku mwz mwisho season ya 2 tu.nimetafuta mji mzima.nyie mmeipatia wapi.maana YouTube nimeiona vipande vipande
ha ha ha haaa umenikumbusha yule demu alikuwa ana msemo wake "YOU KNOW NOTHING JON SNOW"hii series weka mbali na watoto,yaani kama una njaa usiingalie,huenda ukafa na kusahau kula. Ninaowakubali
Jon snow na yule dem aliyeliwa na jon snow ijapokua alikufa kwenye ile vita
Tyrion lanister
arya
na samuel tally mzee wa kusoma vitabu
Kuna waka jon snow alimjibu. I know how to *** youha ha ha haaa umenikumbusha yule demu alikuwa ana msemo wake "YOU KNOW NOTHING JON SNOW"
Tamthilia bora kuliko zote nilizowahi kuona..ina fundisha maisha kwelikweli, hapa ndo utajua siasa,urafiki,usaliti,tamaa ya madaraka,tamaa ya fedha,uongo,mapenzi ya kweli na kila kitu katika maisha ya mwanadamu...namuhurumia sana ambae hajawahi kuona the game of thrones
ya leo imeboa flani haina msisimko,hebu tusubiri Ep 07...episode number 6 imetoka ni nzur saaana
sababu ya john snow[emoji1] [emoji1]ya leo imeboa flani haina msisimko,hebu tusubiri Ep 07...
hapana nimeona kama hii ya 6 matukio mengi yanakusanywa kwa pamoja,afu sam kawa muoga zaidi ya ninavyomfahamu humu,anamuogopa sana mshua wake,halafu before sikujua kama ni wa kishua vile imgawa mzee wake anamdharau sababu ya ule ubonge anamuona mzembe,arya nae kama kazingua pale house of many faces maana kachukua needle yake means atasepa at first light,kule winterfell naona lannisters wanazidi kupoteana maana jammie amejaribu kulea ubabe kwa high sept ili amuokoe yule queen lkn kashangaa kuona kale kafalme kapo upande wa yule mzee high sept,events za leo hazipo too meangfull....sababu ya john snow[emoji1] [emoji1]
uko sahihi mkuu yani imepoa Lingine nilijua kipande ambacho kingefuata kuhusu hodo kingekuwa kikal kumbe ni kama story nyingine tena inataka kuanza HII EPISODE WAMECHEMKA NAFIKIR number 7 wataiachia haraka ili isafishe number 6hapana nimeona kama hii ya 6 matukio mengi yanakusanywa kwa pamoja,afu sam kawa muoga zaidi ya ninavyomfahamu humu,anamuogopa sana mshua wake,halafu before sikujua kama ni wa kishua vile imgawa mzee wake anamdharau sababu ya ule ubonge anamuona mzembe,arya nae kama kazingua pale house of many faces maana kachukua needle yake means atasepa at first light,kule winterfell naona lannisters wanazidi kupoteana maana jammie amejaribu kulea ubabe kwa high sept ili amuokoe yule queen lkn kashangaa kuona kale kafalme kapo upande wa yule mzee high sept,events za leo hazipo too meangfull....