SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

Nafurahi kuona watu mkitiririka juu ya show hii kali kuwahi kutokea

Aliyeona Season 6 Episode 4 Je unadhani tangu ianze Season 6 hii episode ndiyo bora zaidi na yenye kusisimua zaidi?
john snow alivyokutana na mdogo wake
 
Pamoja na sita zote mi naona ipo complex, vitu vingi vya kufuatilia kwa wakati mmoja. Naongea hivi kwa kuwa nimetazama episode zote hadi season 6 episode 3 iliyotoka juzi.
Pole, kama una kichwa chepesi itakupoteza mkuu.

Wanaoikumbuka Lost ina mchoro mpana na wa ajabu na uliwapoteza wengi naona na hii nayo inawapoteza pia
 
Jon Snow sio Stark bastard ni Targaryen atakuja kuoana na danny then watakalia kiti cha red keep.
Also Tyrion ni targaryen.
Wataoana ndugu sio[emoji15] [emoji15]

Namna inavyoelekea ndio hivyo ila usishangae mtunzi george r.r martin akabadili kisa mbele ya safari maana haishiwi na vituko
 
Ukiamua mbona unaweza,mi nlianza kuiangalia ipo season 5 mwanzoni ila sahivi nipo nayo level...novel huwa wanatoa after a season or before?
Mpaka sasa sijajua kama novel inatoka after season or before.. Ila mm nimesoma hadi ya tano... Nimejaribu kufuatilia wanasema George Martin anaandika ya sita...
Sasa kama jamaa anaandika ya sita this mean kwamba anatoa baada ya season kuisha...
Ndo nimeanza episode ya kwanza season 1, Huyu Ned kamkata jamaa kichwa daaaah...
[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]

Mara nyingi movies huwa zinatoka kwenye novel. Kwenye Movie huwa wanamodify kwa kupunguza baadhi ya contents lakini wakiboresha kwenye uwasilishaji wa msg. Ni kama hii drama imeadapt kutoka kwenye novel
 
Nampenda Tyrion,
Nampenda Daenerys,
Nampenda Jon Snow.

Nilifurahi sana Jofrey alivyokufa.

Aaaah, kale kajamaa nilikuwa sikapendi kwa ajili ya ubabe nnya wake, lakini sikupenda kalivyokufa mapema, na sipendi zaidi hasa huyu dogo mwingine alivyoweak.
 
Alikua too much katili,
Katoto kadogo kakoseshe watu usingizi,
Ila na yeye kafa kikatili duuh ile sumu sijui ilikua ya kuulia panya, [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapana, ile nafikiri ilikuwa ya kuulia nyangumi., kama alimezeshwa acid. Ila alideserve al that.
 
Pole, kama una kichwa chepesi itakupoteza mkuu.

Wanaoikumbuka Lost ina mchoro mpana na wa ajabu na uliwapoteza wengi naona na hii nayo inawapoteza pia
Aisee lost ilinichosha mapema sana wala sikupoteza nayo muda. Angalau kwenye game of thrones kuna upande huwa unanivutia na kuufuatilia kwa ukaribu

Sent from my YOGA Tablet 2-1050F using JamiiForums mobile app
 
wekeni na link basi na sie tuipakue wadau
Upakue Season zote au episode zinazotoka mkuu
Kama ni zinazotoka torrent itakufaa ila kama ni zote tafuta namna ya kuwasiliana na wadau wa hii kitu ambao watakua karibu na unapokaa ili wakuhamishie
 
Katika kitu sijakielewa maishani is why this series is famous. ...! I hv watched series nyingi sana nzur na zakaiwaida and sijawah forward kama nilivyofoward hii. Kwanza the series is too complicated with so many unnecessary scenes and so many unrealistic things. Ipo too slow kuabsorb matukio inayokulazim kwa mtu anaependa matukio ya haraka kufoward scenes zingine ambazo hazina msingi. Mwanzon nilikua sifoward maana nilisikia sifa zake but ilikua inaboa mbaya ... nikaanza kufoward ndo at least kidogo na grab matukio ya msingi tuu yanayoleta mwendeleo wa series. may be vidada vya uchi uchi na yale sex issues na mambo ya homosexual yaliopewa kipaumbele kwenye hii series ndo yainaipaiza hii series... kwel shetan anaiteka dunia na kwa kasi sana. sijawah kuona nasty tv drama kama hii. kama ndo inafanya ipendwe may be.
 
cha kushangaza ina season 6 ila akiambiwa mtu asamarise matukio ya msingi bila kupotea maudhui haitok hata session moja. kama una vijana wanao kua wanaokua.. make sure hawaangalii hii kitu... nguvu za shetan zina sambaa kwa nguvu sana yaan series the story line ya hii drama ni hamna kitu. na ndo maana mataifa ya magharib yanaipromote sana hii drama.... cause mauwaji ya kikatili, homosexual, group sex na ukahaba zimepewa nafasi ya kutosha kuliko any series niliyowah kuona my entire life. hii series am very sure ina nguvu za giza. sio kwa promo hio wanayoipa. I hv watched all the 5 seasons... bado sijaona ubora wa story wa kiiivyoooo.... so many good movies with politics and games za madaraka... usalit wa mapenz and so many... kwenye story nothing new...
 
Homeland na Hatufim "Prisoners of War" ndio mpango mzima...
 
Embu naomba unitajie series zako kali tushare wote
 
cha kushangaza ina season 6 ila akiambiwa mtu asamarise matukio ya msingi bila kupotea maudhui haitok hata session moja. kama una vijana wanao kua wanaokua.. make sure hawaangalii hii kitu... nguvu za shetan zina sambaa kwa nguvu sana yaan series the story line ya hii drama ni hamna kitu. na ndo maana mataifa ya magharib yanaipromote sana hii drama.... cause mauwaji ya kikatili, homosexual, group sex na ukahaba zimepewa nafasi ya kutosha kuliko any series niliyowah kuona my entire life. hii series am very sure ina nguvu za giza. sio kwa promo hio wanayoipa. I hv watched all the 5 seasons... bado sijaona ubora wa story wa kiiivyoooo.... so many good movies with politics and games za madaraka... usalit wa mapenz and so many... kwenye story nothing new...
Angalia na Spartacus
 
Hii series naisikia tu sijawah kuiangalia ila kama ina mambo ya Ushoga tena, ndio umenikata mzuka wa kuitafuta, ngoja niendelee na Korean drama tu
 
Back
Top Bottom