Special dedication to JF ladies[MMU] from .......

Special dedication to JF ladies[MMU] from .......

Hivi nyie wanaume mmesikia au mmesoma hii makitu hapo juu.
Twataka mapenzi moto moto atiii.
 
Hey ladies out there
Mko poa?

Ni muda nwingine tena jumapili njema kabisa hii nikiamini mko poa kama kuna mwenye tatizo pole sana
Ni jumapili ya mwisho kabisa ya mwaka huu wa 2013

Ningependa mwakani muwe na mahusiano imara sana na wenza wenu
Muwapende nao wawapende
Tumieni muda huu wa mwisho wa mwaka kutafakari mahusiano yenu kuboresha mahusiano hayo pia

Leo nakuja na ujumbe kutoka kwa mwandani wako [sio mimi] yoyote yule aliyeko kwenye mahusiano naomba ajue ujumbe huu haujatoka kwa Eiyer bali kwa mwenza wako

Nachukua nafasi hii kwa niaba ya wenza wenu kuwakumbusha kuwa hakuna kama huyo
Huyo ndie anaekufanya wewe kuwa malkia duniani
Huyo ndie anaekufanya uwe na thamani duniani

Wengine wanaotamani kuyavunja mahusiano yenu hawafai
Achana na hao wamendeaji wa kwenye PM,hawana lolote hao
Ni waharibifu wa mahusiano tu

Msikilize uliye nae
Mheshimu uliye nae
Mkubali uliye nae
Mjali uliye nae
Kwani huyo ndie mwanaume pekee atakaeweza kutimiza ndoto zako

Kwa wale tulio single wanaume wenzangu na wale dadaz msikonde maisha bado yanaendelea tu
Wacha tuwafanye walioko kwenye mahusiano wayafurahie ili nasi siku moja tukiingia tuyafurahie

Nawatakieni Jumapili njema na huu wimbo hapa ni kwaajili yenu kutoka kwa wenza/wapenzi wenu

Burudika hapa:Tank - One Man [OFFICIAL HQ] - YouTube

TANK -ONE MAN LYRICS

A walk in the park
Or late night TV
I'm a kind of simple man
I need you to understand

A car and a dog
An apartment uptown
I don't have much but me
But I'd give it all it we could be

Girl, I'm only one man
Doin' what I can
To give you everything you need
To be everything that I can be

I'm only one man
Doin' what I can (Mmm, mmm)
To give you everything you need
To be everything that I can be (Yeah)

A job and a dream (Whoa)
Keep me off the streets
But sometimes I wanna go
So I can buy you fancy clothes and feed you

I pray that some day
My dreams will come true
And the first thing that I'm gonna do
Is promise eternal love to you

Girl, I'm only one man
Doin' what I can (Mmm, mmm)
To give you everything you need
To be everything that I can be

I'm only one man
Doin' what I can
To give you everything you need
To be everything that I can be

I'mma just sing it (Whoa, whoa, whoa, whoa)
A second time (Whoa, whoa, whoa, whoa)
If you're mine (Whoa, whoa, whoa, whoa)
I'mma just take my time (Whoa, whoa, whoa, whoa)

So (Whoa, whoa, whoa, whoa)
Oh (Whoa, whoa, whoa, whoa)
Whoa, whoa (Whoa, whoa, whoa, whoa)
Whoa, whoa (Whoa, whoa, whoa, whoa)

Girl, I'm only one man
Doin' what I can
To give you everything you need
To be everything that I can be

Girl, I'm only one man
Doin' what I can
To give you everything you need
To be everything that I can be

Girl, you know I'm only one man
Tryin' to do the best I can
Girl, you know I'm only one man
Tryin' to do the best I can

Girl, you know I'm only one man
Tryin' to do the best I can
Girl, you know I'm only one man

Jumapili njema na maandalizi mema ya kuumaliza mwaka....!!!!!!!!!!!!!!!!!
umenena!ni mambo ya msingi.Mungu.akujalie kupata ubavu soon
 
Shukrn mungu hazd kukubrk
 
Asante Eiyer na wewe pia practice hayo kwa mwenza wako
 
Last edited by a moderator:
kama yeye hawezi onesha kwangu mambo haya uliyoorodhesha hapa hata nami siwezi fanya hivyo

nimepaste:

Msikilize uliye nae - KAMA NAYE HATANISIKILIZA
Mheshimu uliye nae KAMA NAYE HATANIHESHIMU
Mkubali uliye nae - KAMA NAYE HATANIKUBALI JINSI NILIVYO YANINI IWE TAABU NAYE NI KUACHANA NAYE TU
Mjali uliye nae - KAMA NAYE HATANIJALI NA MI SITAMZINGATIA KABISA
Kwani huyo ndie mwanaume pekee atakaeweza kutimiza ndoto zako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom