Special dedication to JF ladies[MMU] from .......

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,267
2,000
Hey ladies out there
Mko poa?

Ni muda nwingine tena jumapili njema kabisa hii nikiamini mko poa kama kuna mwenye tatizo pole sana
Ni jumapili ya mwisho kabisa ya mwaka huu wa 2013

Ningependa mwakani muwe na mahusiano imara sana na wenza wenu
Muwapende nao wawapende
Tumieni muda huu wa mwisho wa mwaka kutafakari mahusiano yenu kuboresha mahusiano hayo pia

Leo nakuja na ujumbe kutoka kwa mwandani wako [sio mimi] yoyote yule aliyeko kwenye mahusiano naomba ajue ujumbe huu haujatoka kwa Eiyer bali kwa mwenza wako

Nachukua nafasi hii kwa niaba ya wenza wenu kuwakumbusha kuwa hakuna kama huyo
Huyo ndie anaekufanya wewe kuwa malkia duniani
Huyo ndie anaekufanya uwe na thamani duniani

Wengine wanaotamani kuyavunja mahusiano yenu hawafai
Achana na hao wamendeaji wa kwenye PM,hawana lolote hao
Ni waharibifu wa mahusiano tu

Msikilize uliye nae
Mheshimu uliye nae
Mkubali uliye nae
Mjali uliye nae
Kwani huyo ndie mwanaume pekee atakaeweza kutimiza ndoto zako

Kwa wale tulio single wanaume wenzangu na wale dadaz msikonde maisha bado yanaendelea tu
Wacha tuwafanye walioko kwenye mahusiano wayafurahie ili nasi siku moja tukiingia tuyafurahie


Nawatakieni Jumapili njema na huu wimbo hapa ni kwaajili yenu kutoka kwa wenza/wapenzi wenu

Burudika hapa:Tank - One Man [OFFICIAL HQ] - YouTube

TANK -ONE MAN LYRICS

A walk in the park
Or late night TV
I'm a kind of simple man
I need you to understand

A car and a dog
An apartment uptown
I don't have much but me
But I'd give it all it we could be

Girl, I'm only one man
Doin' what I can
To give you everything you need
To be everything that I can be

I'm only one man
Doin' what I can (Mmm, mmm)
To give you everything you need
To be everything that I can be (Yeah)

A job and a dream (Whoa)
Keep me off the streets
But sometimes I wanna go
So I can buy you fancy clothes and feed you

I pray that some day
My dreams will come true
And the first thing that I'm gonna do
Is promise eternal love to you

Girl, I'm only one man
Doin' what I can (Mmm, mmm)
To give you everything you need
To be everything that I can be

I'm only one man
Doin' what I can
To give you everything you need
To be everything that I can be

I'mma just sing it (Whoa, whoa, whoa, whoa)
A second time (Whoa, whoa, whoa, whoa)
If you're mine (Whoa, whoa, whoa, whoa)
I'mma just take my time (Whoa, whoa, whoa, whoa)

So (Whoa, whoa, whoa, whoa)
Oh (Whoa, whoa, whoa, whoa)
Whoa, whoa (Whoa, whoa, whoa, whoa)
Whoa, whoa (Whoa, whoa, whoa, whoa)

Girl, I'm only one man
Doin' what I can
To give you everything you need
To be everything that I can be

Girl, I'm only one man
Doin' what I can
To give you everything you need
To be everything that I can be

Girl, you know I'm only one man
Tryin' to do the best I can
Girl, you know I'm only one man
Tryin' to do the best I can

Girl, you know I'm only one man
Tryin' to do the best I can
Girl, you know I'm only one man


Jumapili njema na maandalizi mema ya kuumaliza mwaka....!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,267
2,000
Mhhhhhhhhhh

asante baba Paroko ila kuna baadhi ya wanaume jaamani hata uwafanyie

nini hawakai waridhike

Kila binadamu ana ridhiko lake
Kama haridhiki kaa nae chini mjadiliane

Kumuacha sio dawa!!

Umepotelea wapi wewe??
Hebu mtafite Ennie kuna jambo atakueleza la parokiani!!!
 
Last edited by a moderator:

Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
6,842
2,000
Asante kwa ushauri mzuri,basi wengine tuendelee kusubiri lakini tufanyeje kama waliomo kwenye ndoa wanatusumbua tulio single wakitaka raha za huku wakt na wao wana raha zao huko ndoani,ww mwenyewe unajua muda mwingine ni ngumu kuwakatalia maana wanakuja na mlolongo wa maelezo wa yaliyowasibu huko ndoani wakihitaji faraja, maana wengine mpaka wanatamani kuwa na wake wengi lakini unakuta kifungo kinambana anabaki kutapatapa na wanawake wamekuja juu na kisingizio cha kutoridhishwa basi imekuwa tabu tu mtaani hebu mwaga ushauri zaidi...................
 

Ennie

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
7,140
2,000
Shukran Baba Paroko kwa kuleta ujumbe kwa niaba yao,naomba nami nikutume ....
Waambie wakitamka na kuonyesha kuwa wao ndio watakaotimiza ndoto zetu italeta maana zaidi.
Kuna wanaume hawajigusi hata!!! Heaven on Earth usisome hapa nimeongea kwa niaba tu.
 
Last edited by a moderator:

Ennie

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
7,140
2,000
Kila binadamu ana ridhiko lake
Kama haridhiki kaa nae chini mjadiliane

Kumuacha sio dawa!!

Umepotelea wapi wewe??
Hebu mtafite Ennie kuna jambo atakueleza la parokiani!!!

Nitamueleza tukikutana kwenye jumuia.
Huchomoki safari hii baba Paroko
 

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,267
2,000
Asante kwa ushauri mzuri,basi wengine tuendelee kusubiri lakini tufanyeje kama waliomo kwenye ndoa wanatusumbua tulio single wakitaka raha za huku wakt na wao wana raha zao huko ndoani,ww mwenyewe unajua muda mwingine ni ngumu kuwakatalia maana wanakuja na mlolongo wa maelezo wa yaliyowasibu huko ndoani wakihitaji faraja, maana wengine mpaka wanatamani kuwa na wake wengi lakini unakuta kifungo kinambana anabaki kutapatapa na wanawake wamekuja juu na kisingizio cha kutoridhishwa basi imekuwa tabu tu mtaani hebu mwaga ushauri zaidi...................

Mkuu
Hao wanakuwa hawajui tu

Ukweli ni kuwa hakuna kosa linalosahihishwa na kosa
Wakija unawapa msaada wa ushauri ili mahusiano yao na ndoa zao ziwe imara!!
 

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,267
2,000
Shukran Baba Paroko kwa kuleta ujumbe kwa niaba yao,naomba nami nikutume ....
Waambie wakitamka na kuonyesha kuwa wao ndio watakaotimiza ndoto zetu italeta maana zaidi.
Kuna wanaume hawajigusi hata!!! Heaven on Earth usisome hapa nimeongea kwa niaba tu.

Usijali ujumbe umefika
Kazi ya baba paroko ni kurekebisha na sio kuharibu!!
 

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,267
2,000
Nitamueleza tukikutana kwenye jumuia.
Huchomoki safari hii baba Paroko

Nimekusaidia kukusanya wanajumuia na wanaumoja wa wanawake jimboni ili niwaoneshe kuwa mimi sikupewa uparoko kwa bahati mbaya

Utanitambua kikaoni ....!!!!!!!
 

Ennie

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
7,140
2,000
Nimekusaidia kukusanya wanajumuia na wanaumoja wa wanawake jimboni ili niwaoneshe kuwa mimi sikupewa uparoko kwa bahati mbaya

Utanitambua kikaoni ....!!!!!!!
Nitafika wa kwanza!
Uje vizuri maana nasi tumejipanga hasa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom