Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,138
Muone wivu tu...!!!!!
Halafu wewe!
Ningekuwa na wivu ningeenda kumuita?
Muone wivu tu...!!!!!
Si ulikuwa hujui kitakachotokea......!!!!!!!
Wivu utakuua wewe
Utajichosha bure mtoto keshaingia line tayari....!!!!!!!!
Nimekuambia wivu utakuua...!!!!!!!!!
Sasa kuliko kuugulia kimya kimya si bora useme tu?
Haha ha haaaaaaa!Maandishi yako yanaonesha kuwa sio tu unakugonga bali unakaribia kuzimia kabisa....!!!!!!!!!!
Niache tena?
Sasa huo utakua usingizi gani mzuri?
Acha vituko bana!!!!!!