Hatimaye JK akabidhiwa ripoti ya madini

Hatimaye JK akabidhiwa ripoti ya madini

Sikujua kama wananchi hamna hiyo report! ulichonacho wewe ni nini mkuu?

Mimi na wananchi wengine hatuna kile wewe,Kikwete pamoja na wanakamati wa madini mnacho...!Ripoti amabayo findings zake ziko miaka na miaka kwenye mafail ya ccm!

Kamati yenyewe ilikuwa usanii tu na hivyo hiyo ripoti ilikuwa haina manufaa kwetu!
Hakuna mapendekezo ccm wasiyoyajua..NI UFUJAJI WA PESA ZA WANANCHI!
Na sasa SINCLAIR HUYO HUYO ALIAMBIWA MADINI YATAISHA 2028 NA SERIKALI YETU ILIYOKUWA IKIYAJUA HAYO KITAMBO SANA ILA HAIWAAMBII WANANCHI KWANI WENGI WAO WANA ELIMU YA MSINGI TU!
CCM MAJANGILI!
 
Na hapa sasa ndio itabidi ukubaliane nami kuwa ni vizuri kwa sasa watu makini waendelee kubaki ccm ili wavujishe hizi habari hapa JF kwa manufaa ya nchi yetu.

Kama vile watanzania walivyosubiri kwa karibu miezi mitatu kabla Dr Slaa hajamwaga razi kwenye skandali ya BoT, hii nayo inapangiwa muda maalumu ili watu walizwe kama kawaida.

Katika hili la CCM kuwa majangili naona umetumia neno hafifu, tafuta kali zaidi maana kinachofanywa huko na mafisadi ni zaidi ya ujangili.
 
reportleoikulu12ag2.jpg

JK akizungumza na waheshimiwa John Cheyo, Jaji Bomani, Iddi Simba na Zitto Kabwe mara baada ya kukabidhi Ripoti ya Madini ikulu leo jijini Dar es Salaam.

Picha na Geofrey Baluah wa Ikulu

Iddi SIMBA ALISHIRIKI KWENYE ISSUE YA MALEGESI NA LUKAZA KWENYE KUANZISHA MAKAMPUNI FEKI KWA NGUVU ZA ccm ILI KUCHOTA PESA ZA EPA KWA BARAKA ZA CHAMA!

Wakati huo Iddi Simba akiwa kama Mwenyekiti wa ccm WAZAZI NA ana uhusiano ama undugu na hao kina lukaza na malegesi amabo ndio maengineer wa ufisadi wa ccm kwenye sakata zima la EPA..!

Zitto hakujali...Akaingia humo!

cheyo naye alishirikiana nao kupitisha bajeti ya kifisadi!

Sasa kamati hii ya kisanii imeamua kusema kuwa mama Malecella ni shujaa wa kusikilizwa yeye na ccm yake!

Na sasa ripoti hiyo iko kwa SINCLAIR!

EPA NAYO NI PESA ZIRUDISHWE NA MAFISADI NI SAFI!
MUNGU YUPO!
 
Iddi SIMBA ALISHIRIKI KWENYE ISSUE YA MALEGESI NA LUKAZA KWENYE KUANZISHA MAKAMPUNI FEKI KWA NGUVU ZA ccm!
Zitto hakujali...Akaingia humo!
Sasa kamati hii ya kisanii imeamua kusema kuwa mama Malecella ni shujaa wa kusikilizwa yeye na ccm yake!
Na sasa ripoti hiyo iko kwa SINCLAIR!

Ukileta uthibitisho hapa wa ambapo hii kamati imesema kuwa Mama Malecela ni shujaa ingekuwa credit kubwa zaidi.

BTW, unaweza kuweka hapa JF ufisadi wa mama Malecela?
 
Mwafrika wa Kike,

Unajua ni heri hata kina Kada Mpinzani tunawajua wako upande gani, Mushi ni kukuru kakara nyingi, mara leo Zitto anashirikiana na Mafisadi, kesho Mama Killango ni Fisadi kwa kupitisha bajeti na juzi ilikuwa Ballali ni Daudi Kinyaga!
 
Kwi kwi kwi kwii,,

we acha tu, unajua kuna watu ambao hawakujua kuwa Mushi kafungiwa kwa kosa gani mwanzoni walidhani kuwa kaonewa.

kwanza alianza kupost post moja kwenye thread kibao tu hapa na huku akirudia rudia na wakati akijua kabisa kuwa ana flood forum - kitu ambacho ni kinyume na sheria za JF.

Na muda si mrefu, akaanza kutishia kuingia msituni na kumwaga damu kama yale anayotaka yeye hayatafanyika. Inasikitisha kwa mtu ambaye anajiita makini kufanya mambo ambayo anajua kabisa kuwa ni kinyume cha uendeshaji wa forum hii.

Nia ya mushi hapa JF itajulikana tu muda si mrefu. Kwa sasa sishangai kuwa kwake yeye kila mtu kuanzia Zitto na wapinzani bungeni, Kikwete, na wana JF ambao wengine wamekumbwa na matatizo makubwa sana wakijaribu kuleta habari nyeti za serikali hapa mtandaoni ni mafisadi.

Kwa standard yake, ni yeye tu ndiye ana solution kwa kile kitu. Nakumbuka ule ushauri uliompa kuwa asimuhusishe Kinyaga na Ballali lakini yeye akaendelea tu kabla hajakugeuzia kibao kuwa labda na wewe umefaidika na pesa za BoT.

Kuna kazi lakini nashukuru MUNGU kuwa mwanga wa JF bado upo.
 
Ukileta uthibitisho hapa wa ambapo hii kamati imesema kuwa Mama Malecela ni shujaa ingekuwa credit kubwa zaidi.

BTW, unaweza kuweka hapa JF ufisadi wa mama Malecela?

Tizama hiyo picha hapo juu..Hao watu wote hapo juu lao moja!
Na hao watu wanamsapoti Mama Killango!
Zitto ni swahiba wa kikwete wa kufa kufaana!
Hawezi kumgeuka tena!
Zitto anamsapoti kikwete na mama pia!
Mpaka hapo watakapoweka mambo wazi...Ndio tutaujua ukweli!
Hapo juu kwenye picha hiyo...Kuna IDI SIMBA ALIYESHIRIKI KWENYE CONNECTION YA CC-EPA!
Zitto aliyeingia kwenye kamati ya mafisadi!
Cheyo aliyepiga kura na mafisadi!
Pamoja na zitto huyo huo anayemsapoti mama!
Hapa kuna mchanganyiko...Mjadala uendele tutawapambanua mafisadi na wakweli!
 
Kwi kwi kwi kwii,,

we acha tu, unajua kuna watu ambao hawakujua kuwa Mushi kafungiwa kwa kosa gani mwanzoni walidhani kuwa kaonewa.

kwanza alianza kupost post moja kwenye thread kibao tu hapa na huku akirudia rudia na wakati akijua kabisa kuwa ana flood forum - kitu ambacho ni kinyume na sheria za JF.

Na muda si mrefu, akaanza kutishia kuingia msituni na kumwaga damu kama yale anayotaka yeye hayatafanyika. Inasikitisha kwa mtu ambaye anajiita makini kufanya mambo ambayo anajua kabisa kuwa ni kinyume cha uendeshaji wa forum hii.

Nia ya mushi hapa JF itajulikana tu muda si mrefu. Kwa sasa sishangai kuwa kwake yeye kila mtu kuanzia Zitto na wapinzani bungeni, Kikwete, na wana JF ambao wengine wamekumbwa na matatizo makubwa sana wakijaribu kuleta habari nyeti za serikali hapa mtandaoni ni mafisadi.

Kwa standard yake, ni yeye tu ndiye ana solution kwa kile kitu. Nakumbuka ule ushauri uliompa kuwa asimuhusishe Kinyaga na Ballali lakini yeye akaendelea tu kabla hajakugeuzia kibao kuwa labda na wewe umefaidika na pesa za BoT.

Kuna kazi lakini nashukuru MUNGU kuwa mwanga wa JF bado upo.

Naona mko kazini!
Sheria mpya ya kufungiwa hiyooo!
ZITTO ALITUMWA MAREKANI NA KIKWETE NA NDIYO MAANA ALISHINDWA KUMUULIZIA BALLALI?
Haya mambo ya ubepari bana!
 
Tizama hiyo picha hapo juu..Hao watu wote hapo juu lao moja!
Na hao watu wanamsapoti Mama Killango!
Zitto ni swahiba wa kikwete wa kufa kufaana!
Hawezi kumgeuka tena!
Zitto anamsapoti kikwete na mama pia!
Mpaka hapo watakapoweka mambo wazi...Ndio tutaujua ukweli!
Hapo juu kwenye picha hiyo...Kuna IDI SIMBA ALIYESHIRIKI KWENYE CONNECTION YA CC-EPA!
Zitto aliyeingia kwenye kamati ya mafisadi!
Cheyo aliyepiga kura na mafisadi!
Pamoja na zitto huyo huo anayemsapoti mama!
Hapa kuna mchanganyiko...Mjadala uendele tutawapambanua mafisadi na wakweli!

Nimekuomba ushahidi lakini naona wewe unaleta mawazo yako binafsi kuhusu Zitto. Sikushangai kwa hili, nitadhania kuwa swali langu limekosa jibu.
 
Naona mko kazini!
Sheria mpya ya kufungiwa hiyooo!
ZITTO ALITUMWA MAREKANI NA KIKWETE NA NDIYO MAANA ALISHINDWA KUMUULIZIA BALLALI?
Haya mambo ya ubepari bana!

kwi kwi kwi,

Hii sasa inakudhihirisha kuwa wewe ni nani!
Kwamba sasa unawaambia wana JF kuwa Zitto alitumwa Marekani na Kikwete?
 
mushi kazi kweli kweli. Mbona mashambulizi kwa askari walio upande wako? Kila kitu na wakati wake. We acha tu. Hata hiyo ya EPA ilipofika wakati wake si tuliipata?
 
Na hapa sasa ndio itabidi ukubaliane nami kuwa ni vizuri kwa sasa watu makini waendelee kubaki ccm ili wavujishe hizi habari hapa JF kwa manufaa ya nchi yetu.

Kama vile watanzania walivyosubiri kwa karibu miezi mitatu kabla Dr Slaa hajamwaga razi kwenye skandali ya BoT, hii nayo inapangiwa muda maalumu ili watu walizwe kama kawaida.

Katika hili la CCM kuwa majangili naona umetumia neno hafifu, tafuta kali zaidi maana kinachofanywa huko na mafisadi ni zaidi ya ujangili.

Tutasubiri na huku tukitoa changamoto...HUU NI WAKATI WA MUNGU AND NO STONE SHALL BE LEFT UN TURNED SAID GOD!
 
kwi kwi kwi,

Hii sasa inakudhihirisha kuwa wewe ni nani!
Kwamba sasa unawaambia wana JF kuwa Zitto alitumwa Marekani na Kikwete?

Kabla zitto hajaja marekani...Ulikuwa ukipiga sana kelele kuhusu kikwete...
Alipofika zitto...Ghafla ukatoa mwezi...Ballali akafa!
Na sasa bado tunafuatilia kwa makini kwani TAIFA LIMEGAWANYIKA!
 
Mhh,

Hili ndilo jibu la madai uliyotoa hapa kuwa Zitto alitumwa na Kikwete kuja Marekani?

Labda nikukumbushe kuwa nina hoja ambayo inaendelea hapa ambayo inamtaka Kikwete aresign haraka sana maana inaonekana huna muda wa kusoma threads zote.
 
mushi kazi kweli kweli. Mbona mashambulizi kwa askari walio upande wako? Kila kitu na wakati wake. We acha tu. Hata hiyo ya EPA ilipofika wakati wake si tuliipata?

Kuwa upande wa wazalendo si kumfagilia kikwete wala ccm kwa namna yoyote ile!
Na MWK alidai kikwete apewe muda..Lakini hasema kwanini....Ballali akafa!
Ok...Sasa anayepewa sapoti ni yule anayesema pesa zirudishwe badala ya MAFISADI WAKAMATWE!

HII ISSUE NI BLACK AND WHITE SASA..USHAHIDI ULIKUWEPO NA BADO UPO... WEMA KAMATA WATU ACHA SIASA!

Tutahakikisha mijadala inaendelea mpaka tujue kila kitu,nani ni nani,anataka nini na kwanini!
 
Mhh,

Hili ndilo jibu la madai uliyotoa hapa kuwa Zitto alitumwa na Kikwete kuja Marekani?

Labda nikukumbushe kuwa nina hoja ambayo inaendelea hapa ambayo inamtaka Kikwete aresign haraka sana maana inaonekana huna muda wa kusoma threads zote.

Kauli za kisiasa na za kiukweli zinajulikana!
Kusema kikwete ajiuzulu haina maana kwamba unakubali kuwa ni mtuhumiwa!
Lowassa alijiuzulu what happen?
Ama mmeshajichagulia viongozi wetu wajao kabla hatujajua nani ni nani?
Wewe pia kusema kubadili mawazo kuwa ballali kafa mara baada ya kupambana na wewe kwa hoja..Bado pia hakukufanyi wewe kuwa na ceridibility ya kusema mama killango anayesema pesa zirudi maybe kwasababu ya kauli ya kisiasa kuwa kupotea ama kufa kwa ballali ni mwishi wa kesi ya EPA ANA UWEZO WA KUPAMBANA NAO WAKATI HAKUNA DALILI ZOZOTE ZINAZOONYESHA HIVYO!
 
Kuwa upande wa wazalendo si kumfagilia kikwete wala ccm kwa namna yoyote ile!
Na MWK alidai kikwete apewe muda..Lakini hasema kwanini....Ballali akafa!
Ok...Sasa anayepewa sapoti ni yule anayesema pesa zirudishwe badala ya MAFISADI WAKAMATWE!

HII ISSUE NI BLACK AND WHITE SASA..USHAHIDI ULIKUWEPO NA BADO UPO... WEMA KAMATA WATU ACHA SIASA!

Tutahakikisha mijadala inaendelea mpaka tujue kila kitu,nani ni nani,anataka nini na kwanini!

Kama hujasoma nilichosema ni kuwa ninampa Kikwete muda na sikukutaka wewe au mwingine yoyote kumpa Kikwete muda. Cha kushangaza ni kuwa, toka nitoe muda kwa Kikwete hadi muda ule ukaisha, wewe bado mkuu uko kwenye kile kile ulichokuwa unadai muda ule.

Ni kwa muda gani utaendelea kudai the same thing ambacho hakijafanikiwa? Unaungana na mimi kumshinikiza Kikwete aresign?
 
Kauli za kisiasa na za kiukweli zinajulikana!
Kusema kikwete ajiuzulu haina maana kwamba unakubali kuwa ni mtuhumiwa!
Lowassa alijiuzulu what happen?
Ama mmeshajichagulia viongozi wetu wajao kabla hatujajua nani ni nani?
Wewe pia kusema kubadili mawazo kuwa ballali kafa mara baada ya kupambana na wewe kwa hoja..Bado pia hakukufanyi wewe kuwa na ceridibility ya kusema mama killango anayesema pesa zirudi maybe kwasababu ya kauli ya kisiasa kuwa kupotea ama kufa kwa ballali ni mwishi wa kesi ya EPA ANA UWEZO WA KUPAMBANA NAO WAKATI HAKUNA DALILI ZOZOTE ZINAZOONYESHA HIVYO!

Mushi,

wewe credibility yako hapa ni ipi?
 
Kama hujasoma nilichosema ni kuwa ninampa Kikwete muda na sikukutaka wewe au mwingine yoyote kumpa Kikwete muda. Cha kushangaza ni kuwa, toka nitoe muda kwa Kikwete hadi muda ule ukaisha, wewe bado mkuu uko kwenye kile kile ulichokuwa unadai muda ule.

Ni kwa muda gani utaendelea kudai the same thing ambacho hakijafanikiwa? Unaungana na mimi kumshinikiza Kikwete aresign?

Naona ilikuwa coincidence...Kwani mara baada ya mwezi kwisha na kabla hata hujasema ni kwanini uliona kuna kitu atafanya...Ballali AKATOWEKA...Kwanza ukabisha sana tu kuwa kafa...Baadae ukasema No hajafa!
Watu wakaanza kukusikiliza tena!
Haya watu wakusikilize ukisema killango atafanya mambo wakati anachosema ni tofauti!
Hayo mambo ya muda muda ni kichefu chefu..Hakuna MUDA TENA!
 
Naona umebadilika na husemi tena kuwa Ballali kafa!
 
Back
Top Bottom