Speaker Makinda so is this "Wanawake Wakiwezeshwa Wanaweza?"

Speaker Makinda so is this "Wanawake Wakiwezeshwa Wanaweza?"

Ah box I missed your lame comments, where were you? Suala hapa si mimi kumjua, you are missing the point as usual. Huyu Mama ni dhaifu tena wa kutupwa na kwa vyovyote vile huyu hawezi kupewa tena uspika, she's just not fit enough, just like you. Imagine wewe unapewa uspika na hivyo ulivyo, we unafikiri bunge litakuwaje. Si wabunge watapena malavi davi hadharani huku ukishabikia?

Mkereketwa huyu,
Hakuna haja ya kupeana mitusi mikubwa. Naamini hata yeye sasa anajua alipokosea.
 
Ndugu zanguni nazungumza hili kwa uchungu sana. Mh spika amejikita kwenye kupindisha haki bungeni na kuitetea serikali huku jimbo lake likiwa hoi bin taabani.Nianze na hospitali ya kibena ambayo ni tegemeo kwa wanyonge wengi haina majokofu ya kuhifadhia maiti ktk chumba cha kuhifadhia maiti, hivyo ndugu zetu wakifa unalazimika kuzika faster otherwise majanga. Pia huduma ya maji ktk mji wa njombe ni tatizo kubwa sana nduguzanguni, maji sehemu nyingi hazina na wanaopata walio wengi ni kwa wiki mara moja au nil kabisa.Hivyo naomba uje utatue hizi kero mapema,sio unakuwa mbabe bungeni,ubabe huo ulete maendeleo huku.Angalizo ulichaguliwa na wananchi.

I hope mpendwa Natalia amesoma na hili pia. Hakuna mtu mwenye chuki na Makinda binafsi. Ni utekelezaji wa majukumu yake ndiyo unatukwaza kwa kuwa unakiuka miiko na kushindwa kuwapa haki sthili wanachi wa Tanzania
 
Makinda uwezo wake ni mdogo hivyo ni makosa kuamini kuwa kushindwa kwake ni mfano mzuri wa uwezo wa wanawake katika kuongoza.

Ndugu Afwe,

Napenda uanze kuamini kuwa Makinda ana uwezo mzuri tu wa kuongoza. Kwa nafasi yake alipaswa kufuata kanuni za Bunge, bila kuathiri katiba ya nchi kwa namna yoyote, hilo tu basi..Tayari anaongoza bunge sawia!. Tatizo ni yeye kukubali kufanya kazi kwa kushinikizwa na chama chake.

Na tena Wanawake siyo wote wana matatizo. ila Makinda amewawakilisha vibaya wenzake.

Hayo ndiyo niliyojaribu kusema
 
Mkereketwa huyu,
Hakuna haja ya kupeana mitusi mikubwa. Naamini hata yeye sasa anajua alipokosea.

Si kama namktukana, nilikuwa namuelimisha tu. Huyu demu is always like that....anapenda sana kutoka out of the point kuleta mambo ya hajabu. Utamuuliza moja jumlisha moja ngapi badala ya kukupa jibu, atakuuliza kwani Kikwete anaishi wapi?
 
Aaaa Mkereketwa Huyu bana!
Shikamoo Naweza kukurudishia kama utaidai kwa nguvu..... Kuhusu Imani yangu nilimaanisha kidogo nina imani na Wanajeshi wetu kama watachukua dola. Sikumaanisha CCM. Sidhani kama CCM ninaweza kuwaelewa hata wakiongea lugha ipi!

Ahaaaa, hapa nimekupata...basi kaa nayo hiyo shikamooo na pia ninakuongezea nyingine X2.
 
Si kama namktukana, nilikuwa namuelimisha tu. Huyu demu is always like that....anapenda sana kutoka out of the point kuleta mambo ya hajabu. Utamuuliza moja jumlisha moja ngapi badala ya kukupa jibu, atakuuliza kwani Kikwete anaishi wapi?

Mkereketwa_Huyu,
Kwa mara ya kwanza tangu leo asubuhi nimecheka kutoka moyoni!
Ila nimeangalia mambo machache nikagundua amechukulia personal. Is like yule ni mzazi wake so anajisikia vibaya kuona mama yake anasemwa vile. But I hope akitulia na kusoma posti zote toka mwanzo atagundua issue siyo Makinda either, ni style yake ya uongozi ndiyo inam-disgrace!
 
Umeona, enheeee. Sasa subiri ipo siku naye atakuja kukuingilia kwa maswali ya hajabu mpaka utashangaa yametoka wapi. Mark my words.
 
Ah box I missed your lame comments, where were you? Suala hapa si mimi kumjua, you are missing the point as usual. Huyu Mama ni dhaifu tena wa kutupwa na kwa vyovyote vile huyu hawezi kupewa tena uspika, she's just not fit enough, just like you. Imagine wewe unapewa uspika na hivyo ulivyo, we unafikiri bunge litakuwaje. Si wabunge watapena malavi davi hadharani huku ukishabikia?
Wewe mama ako anafanya nini ?muuza mkaa Eeh
 
Wewe mama ako anafanya nini ?muuza mkaa Eeh

Tena bora auze mkaa maana atakuwa anajituma kwa kutumia nguvu zake ila si kukaa tu na kuongea porojo ili mradi mtu umeongea. Naomba unitajie hii ifuatayo kwa uelewa wako: #@**|~!
 
Sure! ni kweli wote hao siyo wanawake kama ulivyosema. Nilichokuwa nasema hasa ni kuwa Spika huyu kama political figure amekuwa mfano mbovu kabisa wa jinsi wanawake wanavyowakilishwa. Siyo tu kuwa anakatisha tamaa, anatia aibu pia hasa kwa kuwa nilitegemea yeye awe mfano kwenye harakati za kumkomboa mwanamke! Kwa haraka ni kuwa ametumia nafasi yake VIBAYA hasa kwa vile tulidhani "Wakiwezeshwa Wanaweza!"

Na kama nilivyosema tatizo siyo kuwa mwanamke. Tatizo ni kuacha kufanya wajibu wake kama spika wa bunge, kubwaga majukumu ya kuwakomboa kinamama wenzie kama vila hayamhusu na kujitwika bila haya kazi ya kutetea CCM, jambo ambalo kwa nafasi yake hakupaswa kabisa kulifanya. And that my dear.., is a shame!

Nikisema Mkuu wa kaya kawaabisha wanaume nitakuwa nimekosea?????
 
Nikisema Mkuu wa kaya kawaabisha wanaume nitakuwa nimekosea?????

!Na yeye jumlisha kwa wenzake.. hana nafuu hata kidogo! As kama wanaCCM wote walivyo!
 
Ukiangali bunge na hasa namna Spika wa bunge,mama Makinda,namna anavyoendesha bunge bila shaka utagundua kuwa spika Makinda amejipanga kwa hali na mali kuhakikisha serikali haikwami bungeni!Mifano ya namna gani anatumia kiti cha spika kuzima hoja za wabunge wanaoibana serikali na kuitaka iwajibike ni mingi na bila shaka hali hii itaendelea kwani licha ya spika kusemwa mara kwa mara katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii haonyeshi kubadilika waka kujisahihisha.

Ni wazi spika anafahamu wajibu wa bunge ni kuisimamia na kuishauri serikali.Sasa spika anapofanya kinyume na wajibu wake tumueleweje?

Hii juhudi ya huyu mama si ya bure bila shaka ina mkono kutoka kwa waliomuweka hapo.Sasa Kikwete tueleze huyu mama mlimuahidi nini?
 
Wana JF

Nafikiri sote tunajua jinsi ambavyo spika wa bunge letu kiti chake kinavyopwaya, baada ya watu wengi kuongea juu ya kupwaya kwa kiti chake, Spika alichokifanya ni yeye kupunguza tu ile jazba aliyokuwa nayo lakini ninachoweza kusema ni kwamba amekuwa mbaya kuliko hata alivyokuwa hapo mwanzo

Muogope sana mtu anayeweza kukuua huku anaendelea kukuchekea, Spika wetu amekuwa ni spika wa kuilinda CCM na serikali yake badala ya kuisimamia serikali, ameshindwa kabisa kujua kwa nini mihimili mitatu ya serikali ipo na kazi zake pia, yanayoendelea bungeni ya kuziba vinywa vya wabunge ili wasiikosoe na kuisimamia serikali ni matumizi mabaya ya fedha za watanzania ,

Kuna haja gani ya kuendelea kukaa vikao vya bunge ambavyo havina masilahi kwa taifa ? Ili suala linawaumiza Watanzania walio wengi
 
Hivi kuna mtu kweli na alikuwa ana expect Makinda afanye vema?

wala hawezi kufanya vizuri zaidi ya anavyofanya sasa, after all qualification ya kuchaguliwa katika ccm ni kwanza uwe 'ovyo' kama we si ovyo huwezi pata post kwenye hiyo chama. kwa hiyo anna ameperform as per ccm requirements
 
Hivi zile nafasi za upendeleo wanazopewaga wanawake zina tija kwa maendeleo ya taifa letu? Nadhani wakati umefika sasa hizo nafasi za upendeleo kwa wanawazi zitupiliwe mbali na kwa 'mwanamke' anayeweza uongozi na kujali maslahi ya Watanzania akagombee na wanaume huko majimboni na kama anafaa basi atatoka kidedea kama hafai tupa kule!!
 
Huyo mama
ni wakuja kumkaranga km samaki kamongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom