Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 228
- 933
Rage ajengewe sanamu, hoja ya hongo imetoka wapi hapo!?Eleweni hiyo kauli ya " Rais wa Yanga ni kama baba, najua alichofanya kwangu na kutengeneza maisha yangu....."
Nilisema kipindi kileee uto walimuhonga huyu jamaa ikiwemo ahadi ya kusajiliwa watu wakabisha. Huwa najua ninachokiongea 99.999%
Swali gumu lipe muda utapata majibu.
Kwaiyo team kumsajili mchezaji ni hongoEleweni hiyo kauli ya " Rais wa Yanga ni kama baba, najua alichofanya kwangu na kutengeneza maisha yangu....."
Nilisema kipindi kileee uto walimuhonga huyu jamaa ikiwemo ahadi ya kusajiliwa watu wakabisha. Huwa najua ninachokiongea 99.999%
Swali gumu lipe muda utapata majibu.
Rage ajengewe sanamu, hoja ya hongo imetoka wapi hapo!?
Nendeni ofisi za TAKUKURU watawapa somo jinsi mazingira ya hongo na rushwa yanavyoweza kutengenezwa.Kwaiyo team kumsajili mchezaji ni hongo
Kweli Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
Anza wewe kwanza TAKUKURU ukashtaki kuwa umeona mazingira ya hongo na rushwa na una ushahidi wa kutosha.Nendeni ofisi za TAKUKURU watawapa somo jinsi mazingira ya hongo na rushwa yanavyoweza kutengenezwa.
Wewe utakuwa ni Meneja wa Steven Mukwala na Joshua Mutale bila shaka. Siyo kwa povu hili.Baada ya kufeli libya singida wakaliokota kapi hilo jonathan sowa. Angekuwa na uwezo asingecheza singida hata siku moja.
Wote hawa uliowataja ni magarasa yaani hamna kitu.Wewe utakuwa ni Meneja wa Steven Mukwala na Joshua Mutale bila shaka. Siyo kwa povu hili.