South Africa msije Sio kuzuri

Mimi siku nachangia hapa kumshauri huyu ndugu asiende huko nilitukanwa sana na Mfalme wa Kiha! Sasa nyoko zake yamemshukaaaa!!
 
Fact.
 
Ungeweka insimple word tu kuwa " MASIKINI WASIJE KWA KABURU"
 
Nafikiria naweza kkusaidia nauli km unaitaji kurudi nyumbani nicheck pm au kazi km utaitaji kuishi hapa bado. nipo East London
 

Osha na vyoo pmj na kuwatawaza wtt matako yao
Kiherehere gani kilichokupeleka huko??
Mapumbavu mnooo haya yanayo penda kukopy na kupaste kustol away
Nini umekosa kwenu wewe?? Hadi unajiripua ukiwa huna elimu hujaingia officially nchini kwa watu maisha gani utakayoishi huko,,,
Manji au bakhresa au Mengi wakiambiwa wapewe passport ya America ili wakane uraia wa Tz hawatakubali Ng'oooo!!!
Kwasbb wanajua wazi hakuna kama Tz
Ije kua kapuku wewe unapakimbia kwenu??nabado kazibue na karo ya choo ya hao makaburu
 
Kuteseka ni hatua ya kwanza ya kufikia mafanikio, pambana utatoboa tu.
Uko Tz nako kila mtu analalama maisha magumu.
Mkuu ni heri kulala njaa nyumbani kuliko ugenini.Si kila mateso unayoyapitia ni hatua ya kuelekea kwenye mafanikio.Mafanikio ni suala mtambuka na tajiriba ya mtu binafsi.Huyo jamaa arudi nyumbani aje choma ata miongo anaweza tusua.
 
unkown killers, hit men etc.
 
rudi bhana uje utusimulie story za "jobegi"....mi huwa napenda kusikiliza story za mabaharia.
 
Mkuu ungepambana kidogo. Tafuta watu wa jamii za kitanzania wanapatikana wakuoneshe michongo ila iwe ya kihalali. Ila kama ushafanya yote na ime bounce basi rudisha mpira kwa kipa Tz. Ujipange tena.
asije akayavaa huko maana hawachelewi kukataana
 
Mkuu huku kwenyewe vyuma vimekaza si masihara,komaa huko huko dizonga mkuu
 
Sio kweli haupo SA umepata rand sehemu na kuzipiga Picha wewe kila nyuzi zako ni kutunga uongo tuu hiyo rand 200 unapata Simu ya kuparaza wewe hauna Simu...endelea kudanganya Simu utahitaji msaada utakosa kwa mambo yako hayo..
Mkuu south unapata simu ya touch kwa R200? Basi maisha mepesi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…