Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,950
- 2,149
Tulikueleza yote yako katika uzi wako ila ukawa unatuona mazwazwa labda tunakuonea wivu sijui utatusua.. South usiende kama huna cha kufanya utaishia kuwa punda tuNi Siku nyingi Sana sijakuja hapa kuleta mrejesho,
Ndugu zangu South Africa, Sio kabisa msoto ni mkuu,
Sina muda wa kusema Mengi Ila point yangu kuu km huna mtu Huku, km huna mtaji Pls watanzania wenzangu msije
Nimemaliza sim hii nimeazima japo tu niwasalim na kuwapa tahadhari,
Vijana wengi hasa wa Tanzania wanateseka Jamani
Sijui nisemeje, asie Sikia la mkuu basi azamie tu. View attachment 569601View attachment 569602
Wapo walio sema nimekufa Ila Mimi najichanga nirudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mku kuna home centre ilikuwaga hapo mitaa ya Donfontain ambayo imewasaidia sana watuPole sana, hakuna sehemu iliyobarikiwa Afrika kama South Africa brother. Maandalizi ya kuzamia ndiyo huleta image ya huko unakoenda. Soma uzi wangu na nijulishe ulipo South Africa, mtu yoyote anayetaka kuja South Africa kitu cha kwanza awe na uhakika wa sehemu ya kula na kulala mengine yatajishoosha yenyewe
Mku hiyo ilinipa maisha kipindi hicho yaani kulala na Rand Elfu tatu kwa siku sio hatari.Zile ishu ziliisha kitambo sana.telkom walivoshusha bei ya international call ndio ukawa mwisho wa game..daa kitambo
Teh teh teh teh teh tehNakupongeza Sana Kutoa Mrejesho Tena Yakiwa Yamesemwa Mengi Sana
Tanzania Iko Poa Hakuna Milima Wala Mabonde
Nchi Ya Asali Na Maziwa 😵
Yaani jua linawaka mpaka mifukoni!
Tulikwambia....shibekijijin....baki shamba ule Dona kwa aman....ukabisha.....komaaa mwanaume natesoooooo.......matesooooooooo......kuangaikaaaaaaa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Napingana sana na mawazo yenu kwa kuangalia upande mmoja wa ndugu yetu, mimi maandalizi niliyafanya kwa muda mrefu sana. Mambo muhimu niliyoyafanyia uhakiki kabla ya safari ni haya:Shibe Kijijini, uliondoka kwa mbwembe na Majigambo mengi, nakumbuka ulisema ni Bora kuwa Mfungwa South kuliko kuishi Bongo, vipi majigambo yamekwisha na leo umepakumbuka Nyumbani.....!!
Amaa kweli nimeamini msemo wa Wazungu usemao HOME SWEET HOME...!! Ama.. Go East go West but home is the Best...!!
Bongo bahati mbaya....huku nako KIMENUKA....!!
Bora ubaki huko huko...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugumu unakuja sababu vijana weng waliopo south weng wao hawajasoma wameishia std 7 sasa usitegemee kupata kaz ya maana sana sana utaambulia kubeba mizigo angalau kidogo uwe unakipaji labda fundi ..kingne kinachowaalibu watz weng hawana mioyo ya kusaidiana wanachukiana wenyewe kwa wenyewe hawasaidian kama raia wa nchi zingne pia wamezid kuvuta bangi sana na kuziuza na usela umezid ...maisha kote magumu usiwakatishe wengne moyo Maisha ni kujaribuNi Siku nyingi Sana sijakuja hapa kuleta mrejesho,
Ndugu zangu South Africa, Sio kabisa msoto ni mkuu,
Sina muda wa kusema Mengi Ila point yangu kuu km huna mtu Huku, km huna mtaji Pls watanzania wenzangu msije
Nimemaliza sim hii nimeazima japo tu niwasalim na kuwapa tahadhari,
Vijana wengi hasa wa Tanzania wanateseka Jamani
Sijui nisemeje, asie Sikia la mkuu basi azamie tu. View attachment 569601View attachment 569602
Wapo walio sema nimekufa Ila Mimi najichanga nirudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hatuji wewe rudi tunakusubiriNi Siku nyingi Sana sijakuja hapa kuleta mrejesho,