Soul ties au vifungo vya nafsi

Soul ties au vifungo vya nafsi

Dhehebu gani hilo

My dear dhehebu lina a lot to do with human founder. Hii ni kwa wakristu, I mean wafuasi wa Yesu Kristu na wale ambao Yesu Kristu mwenyewe kawachagua hata kama hawajawa wafuasi wake bado.
 
hapo kwa kwenda na list nahisi wengine nitakua nimewasahau au unaniruhusu kila nikija siku ya maombi niwe na update list software?
Believe me kuna ambao niliwasahau, nimeomba usiku nimekumbuka 2. Lkn kuna mmoja siwezi mkumbuka kabisa. Lkn Mungu anamjua.
 
Hii ya kulist watu ndio inanitia shaka,Mungu si anajua msululu nilioduu nao,by the way ni MSULULU 😂😂😂😂😂😂😉😉😉😉😉😉,sasa kwa nini niandike tena??..hii inakuwa km ritual fulani,lol....ila seriously km nitapata msaada wa kuacha kuangalia porn nitashukuru sana mwe!

Kumuachia Mungu ni uvivu na uzembe. Do your part. Ni therapeutic kulist itakupa nia ya kuacha.

Porn mimi niliacha baada ya kufunga kwaresma na kuclean laptop na kumuomba Invisible aniondoe jukwaa la wakubwa
 
Last edited by a moderator:
Kumuachia Mungu ni uvivu na uzembe. Do your part. Ni therapeutic kulist itakupa nia ya kuacha.

Porn mimi niliacha baada ya kufunga kwaresma na kuclean laptop na kumuomba Invisible aniondoe jukwaa la wakubwa

Porn mimi niliacha wala haikunipa shida, ila michepuko ndio shida! Maana kila ukionesha nia ndio inakuwa kama unakaribisha majaribu
 
Last edited by a moderator:
Hello!

Asante kwa taarifa.

Nami naomba niseme kitu hapo. Ila si kwa mtazamo wa kidini. Kwanza kabisa nakiri, hicho ulichoita "soul ties" kipo na kinaishi. Hata hivyo hayo yote ni matokeo ya kuzoesha mawazo yetu kuwaza hivyo na si kufungwa na yoyote yule au kitu chochote kile. Kama mtu amejifunga na jambo fulani basi ni yeye mwenyewe. Nafahamu watu wa dini wanaona hii kitu kama vile yale mawazo ya kusema "blame the victim".

Ngoja nikuambie kitu.

Mawazo ya mwanadamu ni very powerful, lolote analowaza akilini mwake, tena kwa kipindi kirefu sana, huadhiri subconscious mind kiasi kwamba maamuzi yake huegemea upande mmoja tu. Ndio maana watu wote wanaojinyonga wanapitia kwanza hali ya "insanity" kabla ya ku-commit suicide. Maamuzi yao yanaendeshwa na kile wanachodhani ni sahihi tu, tena katika hali kuu ya msongo wa mawazo. Hawaoni alternative nyingine yakushinda hali mbaya wanayokabili. Hii yote ni kazi ya MEDULA OBLONGATA. Nasikitika I used to have a friend she killed herself. Her family believed there was something behind the death of their daughter. Yes there was reasons. Their daughter was sick. She was experienced the so called Psychological Trauma. I learnt a great deal from that experience.

Kitu kingine.

Watu wanapaswa kuelewa kitu, tena hapa wala sijaribu kutoa ujumbe watu wasiende kwenye mikutano ya namna hiyo.La hasha, waende tu, ni vizuri watu wakikutanika angalau kuwaona watu wengine na kuzungumza pamoja. Ila lipo jambo la wazi, mambo haya ya mahusiano, ambayo yanapelekea hadi watu kufanya mambo ya kujitoa uhai yanasababishwa na kufungwa kwa "Bongo" zetu kwa sababu ya kukosa maarifa katika mahusiano. Au pengine ni rahisishe kuwa na matarajio yasiyo na uhalisia. Hapa ndio patamu.

Kuna hiki kitu hapa Character Ethic vs Personality Ethic. Hiyo ya kwanza maana yake ni wale watu waliotengeneza maisha yao katika misingi ya nidhamu, amani na uaminifu. Vitu hivi kuvijenda, haihitaji siku mbili au nne za maombi. Ni life long process. Tofauti na hapo ni ile naita "quick fix solutions" kwa matatizo mazito. Hiyo ya pili, ndio hii naiita "quick fix solution". Ndio maana siku hizi watu hawaishi katika ile "kweli iliyo ndani ya kila mmoja wetu". Wanatuwanaambiwa eti if you want to impress a man/woman you have to smile and act decently when you meet them. Oh yeah maybe that is fine but I tell you one thing you won't keep this man unless you upgrade your Character Ethic not the art of Personality Ethic you fake in order to impress others.

Number three.
. Wachache tu ndio wanafanikiwa kutosanaswa na hali hii. Lakini hawapo salama daima. Kila siku wanapaswa kujifunza na kuishi maisha ya kiasi.
Watu wasiogope kuachana na wapenzi wao. Kwanini uogope? Hiyo hofu uliyonayo ndio adui Mkuu. Tena tena yule mwenye sumu iuayo haraka.

Hata hivyo nafahamu, watu wataendelea kuogopa tu. Na pia wataendelea kujiua na kuona wapo kifungoni. Na hakika wapo kifungoni kwani wanawaza hivyo. Bongo zao tayari zimejinasa zenyewe.

Huwa nawaza, jamii inaishi ndani ya wazo fulani na wazo hii ndilo limetufunga. Jamii ni wewe na mimi na namana yetu vile tunawaza

Ukitaka kuona ukweli wowote ule jaribu kuangalia kwa hicho la Upendo
 
Kuna wakati nashindwa kabisa kufikiri sijui kwanini ......

Ngoja niendelee tu kufikiri na nitaweza kukielewa ninachotaka kukielewa
Samaritan uko wapi mkuu?

Nipo mkuu, nakushukuru sana kwa kuniwezesha kupata fursa ya kuja kuupitia huu ujumbe muhimu.
Kwa upande mwingine nimshukuru Kaunga kwa kuleta huu uzi weye lengo la kuleta uponyaji.
Amekua mkweli kwa kutoa mifano yake binafsi halisi huku akiwasihi wengi walio kwenye vifungo vya aina hiyo wanaweza kupataje uhuru.

Naomba tu nimtie moyo kwamba, hata wale ambao hawatabahatika kufika kwenye hiyo semina/maombezi bado kwa bandiko hili amewafungua wengi ambao wamepata fursa ya kutambua chanzo cha matatizo yao na nna imani wakiamini na kumwendea Bwana Yesu atawafungua, vilevile najua ataendelea kuleta hapa kile kitakachofanyika huko ili kua kama sehemu ya kuchukua hatua kwa wale wanaotaka kupona.......

Kuna vitu viwili ambavyo vinanguvu sana na vinaweza kuendesha maisha yetu bila hata sisi wenyewe kujua...
1. Ulimi (Maneno)
“Mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi; Na wao waupendao watakula matunda yake.”
Mithali 18:21

2. Hilo la kufungwa na kila unayekutana nae kimwili.
“Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.”
1 Wakoritho 6:16

Nafikiri tunaweza kuona ni kwa nini siku hizi hili jambo linazidi kuonekana kama vile ni la kawaida, ni kwamvile madhara yake ni makubwa na ya muda mrefu.
 
Last edited by a moderator:
Hili somo kwangu ni gumu sana. Naamini naweza kukaa na kutumia akili yangu kufungua hivyo vifungo...i don't think those spirits require devine power to be untied, akili yatosha tu...
 
Hili somo kwangu ni gumu sana. Naamini naweza kukaa na kutumia akili yangu kufungua hivyo vifungo...i don't think those spirits require devine power to be untied, akili yatosha tu...

Mkuu,salama?

Mkuu hili jambo nilikuwa nalifikiria hata mimi

Kimsingi nadhani kuna haja ya kuelekezwa namna watu watakavyoweza kujifungua kwenye vifungo hivi wao wenyewe huko waliko na sio kulazimika kwenda kwenye hii semina

Hebu chukulia mfano watu ambao hawapo Dar,inakuwaje sasa? Wapo wale ambao wapo Dar lakini hawawezi kufika hapo,inakuwaje?

Kama hii ni elimu basi ni vyema watu wakaelekezwa namna ya kufanya na huu ndio utakuiwa msaada halisi na sio kuwaambia watu waende mahali fulani,naomba nisieleweke kwamba nasema Kaunga amefanya jambo baya hapana,ila ninacholenga hapa ni kuboresha zaidi jambo ambalo amelileta hapa
Samaritan nimekusoma mkuu

Namkaribisha pia Ishmael na Mkuu wa chuo wapitie pande hizi kutoa elimu zaidi!
 
Last edited by a moderator:
Hili somo kwangu ni gumu sana. Naamini naweza kukaa na kutumia akili yangu kufungua hivyo vifungo...i don't think those spirits require devine power to be untied, akili yatosha tu...

Nakubaliana na wewe kwa kiwango kikubwa sana mkuu, hata huko wanakoenda kufanyiwa maombi/huduma ya kufunguliwa wanatakiwa waende watu wenye akili timamu wanaojitambua na wanajua wanataka nini.

Kama umeshindwa kujizuia ukaingia kwenye hivyo vifungo hasa vya mahusiano, ina maana kuna nguvu ambayo ilikushinda kwa akili zako ndio maana ukajikuta umeingia huko, hivyo hivyo inahitajika nguvu kubwa kuliko wewe ili kukusaidia kukunasua. Siweki kando umuhimu wa mtu binafsi kutumia akili yake hapo, ila nasisitiza kwamba akili inayosababisha tatizo haiwezi kulitatua kwa kiwango kilekile cha uwezo iliyosababisha tatizo!
 
Mkuu,salama?

Mkuu hili jambo nilikuwa nalifikiria hata mimi

Kimsingi nadhani kuna haja ya kuelekezwa namna watu watakavyoweza kujifungua kwenye vifungo hivi wao wenyewe huko waliko na sio kulazimika kwenda kwenye hii semina

Hebu chukulia mfano watu ambao hawapo Dar,inakuwaje sasa? Wapo wale ambao wapo Dar lakini hawawezi kufika hapo,inakuwaje?

Kama hii ni elimu basi ni vyema watu wakaelekezwa namna ya kufanya na huu ndio utakuiwa msaada halisi na sio kuwaambia watu waende mahali fulani,naomba nisieleweke kwamba nasema Kaunga amefanya jambo baya hapana,ila ninacholenga hapa ni kuboresha zaidi jambo ambalo amelileta hapa
Samaritan nimekusoma mkuu

Namkaribisha pia Ishmael na Mkuu wa chuo wapitie pande hizi kutoa elimu zaidi!

Na hapo ndio linapokuja suala la umuhimu na thamani ya kazi ya msalaba iliyofanywa na Yesu Kristo pale msalabani. Alipokua hapa duniani, ilibidi watu wamtafute alipokua, ndio maana ilibidi aondoke na Msaidizi wake aje ili uwezo na nguvu zake ziwafikie watu wote wenye kuhitaji kokote walipo! Ubarikiwe sana kwa kuboresha mjadala mkuu.
 
Na hapo ndio linapokuja suala la umuhimu na thamani ya kazi ya msalaba iliyofanywa na Yesu Kristo pale msalabani. Alipokua hapa duniani, ilibidi watu wamtafute alipokua, ndio maana ilibidi aondoke na Msaidizi wake aje ili uwezo na nguvu zake ziwafikie watu wote wenye kuhitaji kokote walipo! Ubarikiwe sana kwa kuboresha mjadala mkuu.
Nimekupata mkuu ....

Kimsingi Yesu alikuwa anafundisha watu wajisimamie kwa maana ya kujua kufanya yanayohitajika kufanywa hata atakapoondoka na pia kuweza kufundisha mahali pengine bila yeye kuwepo

Roho Mtakatifu anakuja kuongeza nguvu na maarifa kwenye kile tunachojifunza na kuki practice

Barikiwa mkuu!
 
Wapendwa wana MMU.

Kumekuwa kukisemwa mara kadhaa kuwa ukifanya mapenzi na mtu mnatengeneza muunganiko fulani ambao unakuathiri kwa namna moja au nyingine.

Wengi wetu tulivyoambiwa tulibaki na mshangao ulioambatana na tafakari yenye kukata tamaa sababu tunajua misururu tuliyofungama nayo.

Na kwa kiasi kikubwa hatujui cha kufanya. Habari njema ni kwamba kuna jinsi ya kujifungua au kufunguliwa najaribu kutohubiri injili sana ili nipate wasomaji wengi.

Vifungo vingine ni vile vinavyofanyika tunapoenda kwa waganga wa kishirikina. Chale tulizochanjwa, dawa tulizooga,dawa tulizokunywa, hirizi tulizozika majumbani mwetu kwenye biashara maofisini.

Kifupi we have sold our souls to the devil. Maana nafsi zetu zimeunganika na nguvu au power behind the charms, chale, concoction au chochote tulichofanya.

Maneno na ahadi za kipindi cha mapenzi hapa nakumbuka kuna mpenzi wangu mmoja aliniambia niseme kuwa sitamuacha mpaka kufa.

Kuna meingine nilimwambia 'nitamsubiri hata ikiwa ni life time kweli natakiwa nibadilishe hizo kauli cause I guess I am still waiting for him.

Mwisho ni porn. Hii huleta uzezeta,uzembe,umaskini, infedality, ndoa kuvunjika, kupunguza umakini katika chumba cha ndoa etc.

So guys I have said hapo juu. Kama unajiona in a way nafsi yako imefungamana na nyingine. Au kuna vitu hupendi kufanya ila unajikuta huwezi acha kufanya basi kwa walioko Dar.

Jumamosi pale emaus center Ubungo kuna ibada kali ya kujifungua na hivyo vifungo ili tuwe huru. Note the word kujifungua ni kuwa wewe unayo nguvu na mamlaka ya kujifungua.

Mradi tu ujue unachokifanya na uwe na imani kuwa kwa Damu ya Yesu ambayo inatosha huitaji kuchinja mbuzi au kuku basi all chains hata kama ni za diamond zinayeyuka.

Nenda na majina ya watu wote uliosex nao kama unataka kutoka katika vifungo nao. Usisahau kujifungua na matambiko na waganga wote.

Kama una addiction ya porn basi unatolewa ushauri pamoja na maombi ya kufunguliwa. Ibada inaanza saa nane mchana,leo pia ipo kwa wenye muda.

Mbarikiwe sana.Cc: Ngotty for clarification. Kongosho for critic na wemgine wote.
Karibuni.

Ujumbe mzuri.
Sijaelewa mantiki ya hapo red.

Sirias kabisa unaanza kutaja msururu wa watu waliokupak.ua/uliowapakua mbele za watu??!!!!!!!

How if wengine huwajui majina yao?
Ndio umalizie "wengine nimesahau majina yao" Isnt it?

How if wengine umewasahau?

How if miongoni mwa niliowapakua mmoja ni mtoto wa mchungaji????????

How if nilizini na ng'ombe?

Wangapi wanaanika uchafu wao makanisani baada ya siku mbili tatu wanarudia yale yale????????
 
Asante Samaritan kwa kuielezea vizuri kuliko nilivyofanya mimi. Kwangu ilikuwa kuwaambia watu fursa iliyokuwepo katika healing camp Ubungo, ila hata kama ningeleta hili somo bado nisingeliweka vizuri kama ulivyoliweka. Ubarikiwe sana.

Updates ni kwamba healing camp iliyoanza 30th Jan imeisha jana 15 Feb. Wengi tumefunguliwa na kubarikiwa sana kwa huduma na mafunzo hayo. Zoezi la kuorodhesha idadi ya wapenzi kwa wengi wetu limetusaidia sana kuchunguza mienendo yetu na hata kwa akili za kawaida kama baadhi ya watu wanaotetea imetufanya tuazimie kuwa na maisha mapya. I talk to some people. My fiance who was not in Dar send me a list na niliipeleka pia. Any way, Eiyer kama ulisoma post yangu moja niliyomjibu Preta nilimwambia distance is not a barrier kwa nguvu za Kimungu kama zilivyo za upande wa giza. Sasa tufanyaje? Kikubwa ni ujue una fight nini na uchukue silaha gani.

Unaweza sema sijawahi toa mimba, au sijawahi enda kwa mganga au sijawahi mwaga damu isiyo na hatia. Ushahidi wa maandiko na hata ukichunguza kwa makini unaona madhara ya dhambi za wazazi wetu zinatupata hata sisi. Note the word MADHARA na sio dhambi per se. Hivyo waweza tubu dhambj ikaondolewa lkn madhara ya dhambi yakaendelea kwa kizazi. Mf halisi umezini ukapata ukimwi na ukamrithisha mwanao ukimwi. Hiyo ni physical example, lkn kiroho ni worse zaidi. Hivyo kinachofanywa ni kuvunja hizo madhara ya dhambi za wazazi wetu na dhambi zetu.

katika kuvunja make sure umevunja
1. Madhabahu zilizofanyika hizo agano
2. Dhabihu zilizotolewa
3. Maneno yaliyotamkwa
4. Ahadi zilizotolewa
5. Maagizo na masharti
6. Siku na saa ambapo maagano hayo yaliyofanywa
7. Nenda kinyume na power behind hiyo agano
8. Huyo kuhani aliyesimama badala ya shetani.

do that kwa kila agano. Kwa madhabahu au altare inaweza kuwa mti, mto, kaburi, njia panda etc.
 
Last edited by a moderator:
Kuna vitabu ambavyo vipo kwenye series ya Uponyaji wa Mti wa Familia (Family Tree)
1. Kuvunja laana ya vizazi (generation curses)
2. Kuvunja ushirikina matambiko na ibada za kishetani
3. Kuvunja laana ya kutoa mimba
4. Laana ya maagano ya nafsi madhara ya vifungo vya nafsi

Vimeandikwa na Rev.Fr John Ofosu-Mireku ni padre toka Ghana.
jkomireku@yahoo.com
+233 243 165 893
 
Kuna vitabu ambavyo vipo kwenye series ya Uponyaji wa Mti wa Familia (Family Tree)
1. Kuvunja laana ya vizazi (generation curses)
2. Kuvunja ushirikina matambiko na ibada za kishetani
3. Kuvunja laana ya kutoa mimba
4. Laana ya maagano ya nafsi madhara ya vifungo vya nafsi

Vimeandikwa na Rev.Fr John Ofosu-Mireku ni padre toka Ghana.
jkomireku@yahoo.com
+233 243 165 893

Ngoja nikuulize kitu kwasababu kuna mambo siyaelewi hapa,

Hiyo laana ya wazazi unayoizungumzia hapo ni ipi? Je, ni zile ambazo mtu anaweza kupewa na mzazi au ni baadhi ya maaganoi ambayo wazazi wanakuwa wameyafanya huko nyuma? Pia je,hapa unazungumzia madhara au kitu gani?,Lakini pia hapa unazungumzia madhara ya kimwili au ya kiroho?

Namba mbili naielewa

Hiyo namba tatu,kuna laana gani kwenye kutoa mimba?

Hiyo namba nne ina tofauti gani na namba mbili?
 
Amina
Kusema ukweli few years back ungeniambia habari za ulimwengu wa kiroho ni heshima yangu tu ya imani za watu zingenishanya nisikujibu kunya. I was totally ignorant traditional catholic.
Open mindedness yangu ndio ilinifanya nisikilize mahubiri ya wapentekoste na sasa kikundi cha karismatiki. Yaani nimeachwa na effect ya 'wow, ala kumbe, ndio maana.....' na vitu kama hivyo.

Nimefurahi na I have this sense of freedom inside yaani nimei claim back soul yangu kutoka kwa shetani and boy.. this feels so good..
hapo pa kwenda na majina ya wanawake tuliosex nao ndio mtihani kuwakumbuka majina utakumbukaje majina 140
 
Back
Top Bottom