Soul ties au vifungo vya nafsi

Soul ties au vifungo vya nafsi

MAOMBI YA KUSAMBARATISHA UCHAWI NA NGUVU ZA GIZA
Baba katika Jina la Yesu.
Laana zote nilizo tupiwa na wabaya wangu zimeshindwa kwa jina la Yesu na nazivunja na kuzisambaratisha kwa Damu ya Yesu. Mshindwe wote mnao tuma laana kwangu katika Jina la La Yesu.
Nawavunja na kuwaharibu na kuwakatakata Wachawi wote kwa damu ya Yesu.


Nasambaratisha kila neno la uovu lililosemwa juu yangu na famila yangu katika jina la Yesu.
Naharibu na kuisambaratisha madhabahu yenu mliyo fanyia kafara kwa damu ya Yesu.


Navunjavunja na kubomoa kila uovu na uchawi mnaonifanyia katika jina la Yesu.


Nairudisha misukule yote na majini yote yawarudie nyie na kuwalipa dhambi zote mnazo fanya katika jina la Yesu.
Naharibu kila uchawi, kila urogi, kila ndumba kila aina ya uovu ambao mnaufanya ili uniumize mimi na familia yangu katika jina la Yesu.


Nawateketeza kupitia damu ya Yesu Wachawi wote walio tumiwa kunitumia uchawi katika jina la Yesu.
Nawateketeza na kuwaharibu majini yote yaliyo tumwa kuja kufanya kazi hiyo waliyo tumwa na Wachawi katika jina la Yesu.


Nawateketeza na kuwauwa Makuhani wote ambao walienda kunishitaki kwa Wachawi ili waniharibie maisha, nawateketeza kupitia damu ya Yesu. Nawachoma kwa Moto wa Roho Mtakatifu katika Jina la Yesu.


Nateketeza aina zote za vyombo vya kichawi vilivyo tumiwa kuja kunichunguza katika jina la Yesu.


Naharibu fikra zao zote ambazo wanazitumia kufanya kazi zao za kichawi katika jina la Yesu.


Nafuta kumbukumbu zoote zangu ambazo wamewapa Mashetani, Majini, Roho chafu, nafuta hizo kumbukumbu kwa kutumia damu ya Yesu, katika jina la Yesu aliye hai.


Nawateketeza waweka kumbukumbu wa kimashetani kupitia damu ya Yesu aliye hai. Naharaibu na kuchoma kupitia moto wa Roho Mtakatifu makabrasha yote yenye kumbukumbu zangu katika jina la Yesu.


Kila uchawi ulio fanywa ili uje kuharibu maisha yangu na ubomoa kupitia damu ya Yesu.


Kila uchawi ulio fanywa ili uje kuniua nauvunja na kuuteketeza kupitia damu ya Yesu.


Kila uchawi ulio fanywa ili kuja kuiba mali zangu, nauvunja na kuubomoa na kuuharibu kupitia damu ya Yesu.


Kila uchawi ulio fanya kuja kuniharibia familia yangu, nausambaratisha na kuuvunja na kuubomoa katika jina la Yesu.


Kila neno la kichawi lililo tumwa ili kuja kuniharibia, kunidhihaki, kunitendea mabaya nalirudisha kwa aliye lituma katika jina la Yesu.


Kila uovu, uchawi, wanga, ndumba, ramli, yaliyo tumwa kuja kwangu navunja yote hayo kupitia damu ya Yesu na katika Jina la Yesu.


Nyota yangu ambayo wanaita nairudisha kupitia damu ya Yesu. Nyota yangu ya baraka nailinda na kuzungushia na kuizingira na damu ya Mwana Kondoo katika jina la Yesu.


Namteketeza yule mtu aliye kuja kuiba nyota yangu katika jina la Yesu.


Nateketeza mbinu zote wanazo tumia ili kuja kuiba nyota yangu katika jina la Yesu.


Nateketeza wivu wao, chuki yao, laana zao, maovu yao na kila aina ya uchafu ambao wanao kwa ajili yangu katika jina la Yesu.


Naizungushia na kuizingira nyumba yangu na damu ya Yesu.


Naishungushia na kuizingira familia yangu na damu ya Yesu.


Nashungushia na kuzingira maisha yangu yote na damu ya Yesu.


Navunja laana zote zilizo semwa na mabau zangu katika jina la Yesu.


Navunja laana zato ambazo zilisemwa bila ya mimi kufahamu, nazivunja na kuziharibu kupitia damu ya Yesu na katika jina la Yesu.


Narudisha kila mali walizo ziiba kutoka kwangu katika jina la Yesu.


Narudisha kila baraka walizo ziiba kwangu katika jina la Yesu.


Narudisha amani na upendo katika familia yangu.


Damu ya Yesu ipo juu ya Maisha yangu na inasafisha kila uovu, kila uchawi unaaribiwa na damu ya Yesu katika jina la Yesu.


Leo hii mtaiona Nguvu iliyopo katika damu ya Yesu.


Katika Jina la Yesu aliye hai ninaomba.


Amen
 
A prayer for ungodly soul tie, call a situation by its name and send it away such as anger, diseases (mention the name of the disease) ect DO IT IN FAITH

____ you are not from God and I don't want you. You have no place in my life . Father God search my heart, search through every aspect of my being, through every cell of my body to the very root and core of this feeling of _____ and by your grace I expect the courage to forgive myself, to forgive others, to forgive every circumstance that has contributed to this problem. ________ I send you away and I forgive myself in the name of Jesus
I choose to feel loved, to speak love and by the grace of God I trust the love of God to manifest in my life Amen
I choose to be blessed, to speak blessing and by the grace of God I trust the blessing of God to manifest in my life Amen

Generation of sin and curses

God visit the iniquities of the fathers to the third and fourth generation. I renew the covenant by the blood of Jesus, I am a new generation in the name of Jesus. Amen

Lord who am i knit to , passed anger in me , in the name of Jesus I cut in soul tie between me and ___________(anyone who you had a sexual relationship, dominate,manipulation, control, ungodly violence, fear, abuse whatever can be passed to ) in the name of Jesus I send it away and I put on love etc Amen

Remember this is the act of FAITH , if you believe it will be done unto you according to His love.:smile-big:
 
Kiukweli mmenibariki sana. Namshukuru aliyeanzisha thread hii na mliochangia pia. Ishmael Ubarikiwe mno na endelea kumtumikia Mungu na wote mliosaidia kimawazo . Nawashukuru mno.
 
Kuna trend humu mtu akianzisha mada ya upishi kila mtu anajifanya mpishi mzuri,ukisema dini kila mtu anashuka mstari......mnashangaza... cc;Faiza Foxy

Jestina, hiyo ni typical Tanzanian way of life. Tunajua kila kitu, tunaweza kila kitu--> kwa mdomo. Ndio maana huwa wengi wetu ni "bendera fuata upepo"!!!
 
Last edited by a moderator:
Kaunga huyu Fr. John Mireku kutoka Ghana anakuja tena kwenye healing Camp inayoanza tarehe 26 January 2018 pale Emaus Centre ubungo nyuma ya stendi ya mabasi ya mikoani.
 
Ubongo hutunza kumbukumbu za wale tuliowahi kukutana nao maisha lakini MOYO huifadhi kumbu kumbu za wale tunaowapenda maishani mwetu..kwa sababu wale tuwapendao kutoka moyoni huwa wanaishi ndani yetu katika siku zote za maisha yetu...
Uko wapi wewe ndugu?
Kitambo sana sijakuona jamvini..
Nimekukumbuka sana na michango yako yenye akili ..
 
Yaani tungejua root cause ya relation nyingi kufeli kuwa ni soul zetu kufungamana na say waliotubikiri au msururu wa wapenzi tungekimbia sana kujifungua.
Mfumo dume unamfanya mtu kama mzabzab yeye atake mwanamke bikira ilhali yeye kila kukicha anagegeda wadada wengine. Hata akioa bikira bado ndoa yake yaweza isitulie maana yeye mzabzab hana ubikira wowote in fact anamsururu wa say wanawake 14 hivi.
Kaunga!
 
Back
Top Bottom