Soul ties au vifungo vya nafsi

Soul ties au vifungo vya nafsi

Hii ya kulist watu ndio inanitia shaka,Mungu si anajua msululu nilioduu nao,by the way ni MSULULU 😂😂😂😂😂😂😉😉😉😉😉😉,sasa kwa nini niandike tena??..hii inakuwa km ritual fulani,lol....ila seriously km nitapata msaada wa kuacha kuangalia porn nitashukuru sana mwe!

Hili tatizo hili nitakusaidia kuomba.
 
Hapo utakuwa huna uhuru wowote, kwa sababu nafsi na mawazo haviwezi kutenganishwa! Labda kama unamaanisha mwili (physical body)!
Kwa hiyo mtu asiyekuwa na mawazo
ni sawasawa na kutokuwa na nafsi
 
aisee asante sana sister kaunga kwa ujumbe murua na wenye kuleta hofu ya Mungu ndani yetu
asante sana kwa hiizi taarifa

labda niwazungumizie watu wa mikoani mtawasaidiaje wapate maombi haya ya ufunguo toka kwa devil?
 
Very nice thread dada.

Ni kweli kabisa tunapenda kuwekeana maagano bila kujua effect yake. Na hasa kwenye mahusiano ni maagano ya kiroho ambayo kama hujayakana na kuyavunja yanaweza kukuhaunt for the rest of your life. its so important kujiweka huru na kila kifungo.

Imagine mtu una addiction na porn, unavifungo na ahadi na watu kumi kila mtu ulimwambia sikuachi mpaka kufa, "ukiniacha sitakuwa na furaha milele", " ukiwa na mwingine usiache kunikumbuka" and the list goes on .

Imagine all these promises ulizinena na mdomo na moyo wako na ukaachana na hawa watu -- is it not torturing your soul ukianza kukumbuka all these? na sio lazima maombi bali ni personal decision kuwa i want to be free and move on. Ila kwa kuwa our personal will is too weak ndio maana kuna washauri wa kiroho , etc

thanks Kaunga once again!!
 
Happy New Year Kaunga!

Mie sio muumini wa hii dhana, labda uniambie wanawasaidia kisaikolojia ku move on.

Hapo kwenye list, kuna watu watakuja na makaunta buku.
 
Sasa ziko migombani na effect zake si wanazipata huku? Ndivyo hivyo zikiwa destroyed huku basi zinapukutika huko huko. Ni vita ya kiroho na sio phisical. Hujaangaliaga movie za wanigeria?

Happy valentine babe...
stay blessed..........
 
Wakati mwingine watu hutofautiana katika tafsiri tu na huku wanaongelea kitu kimoja. I think it's safe to say kinachosemwa kuwa ni mapepo au vifungo can be attributed to our own minds.

Our conscious record everything and store it in our subconscious, lifetime of sadness, happiness, ups and downs of our lives.

Wengi wetu hatujui au hatujajifunza kuishi at the present, without all the baggage from our subconscious.

Kwahiyo utakuta we relate everything according to our past experience.

Kuna wengine kwa kutumia methods za kiimani au kisayansi uweza kuachana na yaliyopita na kujenga upya. Kuna wengine wapo so weak mentally hawawezi kumove on bila "divine intervention". Wanajiua wenyewe kwa kutumia their own mind.

What i'm trying to say is, it's all on your mind hakuna maajabu as such. You create your own World and your own illusions. Unaweza jitibu kisayansi au kiimani, whatever suits you.
 
Very useful thread.........missed you tho.... Kaunga......
Sasa fanya hivi.........mimi nipo mbali na wewe.........kiimani tunaweza kuwa karibu kabisa.........andika jina langu.......halafu nipelekee...........anayeona gizani ananijua.........so anajua atafanya nini.........thanks........

I did my dear.
Jana niliomba Mungu akupitie, nawe fanya hivi. And believe me it is very therapeutical.... andika list ya wote uliosex nao. Halafu anytime between 2pm and 6pm, basi vunja tie ya mmoja baada ya mwingine kwa damu ya Yesu Kristo ukimention jina lake with us. We will be connected thru faith.
Na hii kwa wote waliosema wako mbali na kuuliza watafanyaje.
I believe tutafunguliwa.
Later nitawaeleza kwa wale tuliowahi toa mimba (shedding innocent blood) na tulio miscarry tufanyaje. Tulitubu kweli tulisamehewa lkn madhara ya kumwaga damu isiyo na hatia bado yanatuandama na yatawaandama na watoto zetu.
 
Last edited by a moderator:
Ulimwengu wa Roho ni mpana sana, inahitaji msaada wa Mwenyezi Mungu ili kuuelewa!!! Barikiwa Kaunga kwa kugusia walau kidogo ila ni kweli kabisa yale yafanyikayo katika ulimwengu wa Roho ndiyo haya tukutanayo katika ulimwengu wa kimwili...

Amina. Tubarikiwe wote,na tumshukuru sana Mungu kutufunulia aliowaficha wenye hekima na ma maPHD wakafungulia watoto wachanga. Ni bahati kubwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom