annabrenda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 1,142
- 399
Mtumikie kwa nguvu na akili zako zoteee kama unaona anastahili kutumikiwa
hapo kwa kwenda na list nahisi wengine nitakua nimewasahau au unaniruhusu kila nikija siku ya maombi niwe na update list software?Ulimwengu wa Roho ni mpana sana, inahitaji msaada wa Mwenyezi Mungu ili kuuelewa!!! Barikiwa Kaunga kwa kugusia walau kidogo ila ni kweli kabisa yale yafanyikayo katika ulimwengu wa Roho ndiyo haya tukutanayo katika ulimwengu wa kimwili...
nimekumis thana 2015 ,tuziunganishe imani zet kiroho AmenVery useful thread.........missed you tho.... Kaunga......
Sasa fanya hivi.........mimi nipo mbali na wewe.........kiimani tunaweza kuwa karibu kabisa.........andika jina langu.......halafu nipelekee...........anayeona gizani ananijua.........so anajua atafanya nini.........thanks........
Je? inawezekana nafsi ikawa huru
lakini mawazo yakabaki kifungoni?