Soul ties au vifungo vya nafsi

Soul ties au vifungo vya nafsi

Ujumbe mzuri.
Sijaelewa mantiki ya hapo red.

Sirias kabisa unaanza kutaja msururu wa watu waliokupak.ua/uliowapakua mbele za watu??!!!!!!!

How if wengine huwajui majina yao?
Ndio umalizie "wengine nimesahau majina yao" Isnt it?

How if wengine umewasahau?

How if miongoni mwa niliowapakua mmoja ni mtoto wa mchungaji????????

How if nilizini na ng'ombe?

Wangapi wanaanika uchafu wao makanisani baada ya siku mbili tatu wanarudia yale yale????????

Hapo red unaandika majina kwenye karatasi halafu unayapeleka mbele kama sadaka bila kuandika jina lako.

And then wakati wa kuvunja maagano unasema Baba navunja muunganiko na watu wote ambao majina yao nimeyaandika kwenye karatasi. Ni tendo la kiimani zaidi.

Kuhusu kusahau majina, it is okay kama unakumbuka sura au tukio hasa kwa one night stand au kubakwa nenda kwa Mungu wako aonaye sirini utafunguliwa.

Hii waweza fanya mwenyewe hata nyumbani sio lazima kwenye mkutano.

Kuhusu watu wanaotubu na kuanguka. Ni kitu cha kawaida, haijalishi umeanguka mara ngapi inajalisha umeweza simama tena. Yesu kwenye safari yake akiwa amebeba msalaba alianguka mara 3 kwa ajili ya udhaifu wa mwili. Nasi tunaanguka mara nyingi kwa ajili ya udhaifu wa moyo. Kujifungua na vifungo vya nafsi vitatuimarisha na kututia nguvu ya kuepuka vishawishi. Matamanio yetu yawe ktk kuuelekea utakatifu.
 
Wapendwa wana MMU.

Kumekuwa kukisemwa mara kadhaa kuwa ukifanya mapenzi na mtu mnatengeneza muunganiko fulani ambao unakuathiri kwa namna moja au nyingine.

Wengi wetu tulivyoambiwa tulibaki na mshangao ulioambatana na tafakari yenye kukata tamaa sababu tunajua misururu tuliyofungama nayo.

Na kwa kiasi kikubwa hatujui cha kufanya. Habari njema ni kwamba kuna jinsi ya kujifungua au kufunguliwa najaribu kutohubiri injili sana ili nipate wasomaji wengi.

Vifungo vingine ni vile vinavyofanyika tunapoenda kwa waganga wa kishirikina. Chale tulizochanjwa, dawa tulizooga,dawa tulizokunywa, hirizi tulizozika majumbani mwetu kwenye biashara maofisini.

Kifupi we have sold our souls to the devil. Maana nafsi zetu zimeunganika na nguvu au power behind the charms, chale, concoction au chochote tulichofanya.

Maneno na ahadi za kipindi cha mapenzi hapa nakumbuka kuna mpenzi wangu mmoja aliniambia niseme kuwa sitamuacha mpaka kufa.

Kuna meingine nilimwambia 'nitamsubiri hata ikiwa ni life time kweli natakiwa nibadilishe hizo kauli cause I guess I am still waiting for him.

Mwisho ni porn. Hii huleta uzezeta,uzembe,umaskini, infedality, ndoa kuvunjika, kupunguza umakini katika chumba cha ndoa etc.

So guys I have said hapo juu. Kama unajiona in a way nafsi yako imefungamana na nyingine. Au kuna vitu hupendi kufanya ila unajikuta huwezi acha kufanya basi kwa walioko Dar.

Jumamosi pale emaus center Ubungo kuna ibada kali ya kujifungua na hivyo vifungo ili tuwe huru. Note the word kujifungua ni kuwa wewe unayo nguvu na mamlaka ya kujifungua.

Mradi tu ujue unachokifanya na uwe na imani kuwa kwa Damu ya Yesu ambayo inatosha huitaji kuchinja mbuzi au kuku basi all chains hata kama ni za diamond zinayeyuka.

Nenda na majina ya watu wote uliosex nao kama unataka kutoka katika vifungo nao. Usisahau kujifungua na matambiko na waganga wote.

Kama una addiction ya porn basi unatolewa ushauri pamoja na maombi ya kufunguliwa. Ibada inaanza saa nane mchana,leo pia ipo kwa wenye muda.

Mbarikiwe sana.Cc: Ngotty for clarification. Kongosho for critic na wemgine wote.
Karibuni.

Hapo kwenye red hapo inaweza kuwa shida kidogo kwa wengine. Imagine senior bachelor mwenye miaka 35 alieanza sex na housegirl akiwa 8yrs...... Anaweza akawa na 'a too long list to remember'
otherwise, a very good idea
 
Kaunga Mungu akubariki kwa hili somo na jitihada ulizozionyesha kujaribu kusaidia jamii.
Kuna wengine wamekuja na mitazamo tofauti lakini nilichokifurahia ni kwamba karibia wote wamekubali kua kuna madhara yanayosababishwa na dhambi zetu.

Licha ya kutofautiana njia au jinsi ya kupambana na hivyo vifungo, lakini umeleta watu kuanza kutafakari matokeo ya matendo na mwenendo wa maisha yao.

Nitoe tu mfano wangu binafsi, nimeishi bila kua kwenye mahusiano tangu nikiwa shule hadi nilipokuja kuanza kazi, haikua rahisi lakini nilikua na misimamo yangu iliyokua inaniongoza, kwanza nilikua naamini kwamba kujiingiza kwenye mahusiano na mtu aisye mke wangu ni kuonyesha kutokumjali na haikua ishara kuwa nampenda, kwa maana hiyo kua na mahusiano ya tendo la ndoa kabla ya ndoa kwangu haikua ishara ya upendo.

Pili niliamini kwamba hilo jambo ni chukizo na ni dhambi, licha ya kujali nani anasema nini au watu wanalichukuliaje...nilibaki na msimao wangu.

Sikuwahi kujuta na hayo maamuzi hadi pale nilipokuja kuanza kufikiri mambo kibinadamu na kuiacha njia ya kweli, hadi sasa bado nalipa gharama za hayo maamuzi japo namshukuru Mungu nilirudi kwenye mstari wake. Nnachotaka kukisisitiza tupo kwenye kizazi ambacho kinataka kila kitu, kizazi ambacho uchaji wa Mungu sio tena kitu cha thamani.
Kizazi chenye kujivunia uovu na uasi. Kizazi ambacho machukizo, uasherati na yafananayo na hayo ndio yanayoonekana kua ya maana, kizazi ambacho kinawaza zaidi sasa hivi kama ndio mwisho wa haya maisha yetu na kama vile tutaishi hapa milele duniani...Mungu aturehem na kuwatuza watoto wetu.

Tunahitaji akina Eiyer, Kaunga Mkuu wa chuo, na wengine wa aina hiyo wenye kuamini kwenye uchaji wa Mungu kua ndio njia bora zaidi ya maisha ya binadamu kwa sasa na baadae.
 
Last edited by a moderator:
Hapo red unaandika majina kwenye karatasi halafu unayapeleka mbele kama sadaka bila kuandika jina lako.

And then wakati wa kuvunja maagano unasema Baba navunja muunganiko na watu wote ambao majina yao nimeyaandika kwenye karatasi. Ni tendo la kiimani zaidi.

Kuhusu kusahau majina, it is okay kama unakumbuka sura au tukio hasa kwa one night stand au kubakwa nenda kwa Mungu wako aonaye sirini utafunguliwa.

Hii waweza fanya mwenyewe hata nyumbani sio lazima kwenye mkutano.

Kuhusu watu wanaotubu na kuanguka. Ni kitu cha kawaida, haijalishi umeanguka mara ngapi inajalisha umeweza simama tena. Yesu kwenye safari yake akiwa amebeba msalaba alianguka mara 3 kwa ajili ya udhaifu wa mwili. Nasi tunaanguka mara nyingi kwa ajili ya udhaifu wa moyo. Kujifungua na vifungo vya nafsi vitatuimarisha na kututia nguvu ya kuepuka vishawishi. Matamanio yetu yawe ktk kuuelekea utakatifu.

Nimeelewa.
 
Ngoja nikuulize kitu kwasababu kuna mambo siyaelewi hapa,

Hiyo laana ya wazazi unayoizungumzia hapo ni ipi? Je, ni zile ambazo mtu anaweza kupewa na mzazi au ni baadhi ya maaganoi ambayo wazazi wanakuwa wameyafanya huko nyuma? Pia je,hapa unazungumzia madhara au kitu gani?,Lakini pia hapa unazungumzia madhara ya kimwili au ya kiroho?

Namba mbili naielewa

Hiyo namba tatu,kuna laana gani kwenye kutoa mimba?

Hiyo namba nne ina tofauti gani na namba mbili?

Laana za wazazi ilitakiwa isomeke vizazi. Generation curses. Babu yako alihangaika kupata watoto au mali, akaenda kwa mganga akachanjwa chale au kuchinja kuku au mbuzi (damu ikatoka) akapewa dawa na masharti. Ile damu ni dhabihu ambapo agano lilifanyika. Baba yaki akazaliwa, akaambiwa afuate masharti fulani lkn akawa mkristu akayafutilia mbali hayo masharti. The gods obvious wamekasirika na yale waliyosema yatawatokea wasipofuata masharti yanaanza kutokea, huenda sio kwa baba yako labda kwa watoto. Hata inaweza isiwe kwa watoto wote lkn kwa mtoto yule ambaye ana bright future. So bila kuvunja ile covenant kwa damu ya Yesu, sioni sala ya Our Father ikibreak hiyo bondage.

So sio ile mzazi kukulaani, ingawa hata hiyo unapaswa uende kinyume nayo kwani ni maneno yanayoumba.
 
Nakushukuru sana kwasababu umenijibu vizuri sana .....

Vipi kuhusu hiyo namba tatu niliyouliza?
 
Ngoja nikuulize kitu kwasababu kuna mambo siyaelewi hapa,

Hiyo laana ya wazazi unayoizungumzia hapo ni ipi? Je, ni zile ambazo mtu anaweza kupewa na mzazi au ni baadhi ya maaganoi ambayo wazazi wanakuwa wameyafanya huko nyuma? Pia je,hapa unazungumzia madhara au kitu gani?,Lakini pia hapa unazungumzia madhara ya kimwili au ya kiroho?

Namba mbili naielewa

Hiyo namba tatu,kuna laana gani kwenye kutoa mimba?

Hiyo namba nne ina tofauti gani na namba mbili?

Hakuna definition sahihi ya shedding innocent blood kama kutoa mimba.
Watoto wana hatia gani?
Fr. John Mireku anasema kutoa mimba ni ibada ya kutoa sadaka kwa shetani hii ni baada ya kumfanyia deliverance mdada mmoja ambaye pepo lilisema huyo dada alijikabidhi yeye na mtoto wake siku alipotoa mimba.

Haya madhara ya kutoa mimba,yapo ya kisaikolojia na ya kiroho. Ya kisaikolojia muulize mwanamke aliyetoa mimba au hata madaktari. Kwa wale wa Tabora wanajua nini kiliipata familia ya Marehemu Dr. Kobello.

Kutoa mimba kuna haribu mpango wa Mungu. Soma Yer.1:5
Haijalishi umepata mimba wakati wa uzinzi bado Mungu ana makusudi na huyo mtoto. Daud hakuwa mtoto wa mke wa ndoa vile vile suleiman.
Na hapo tunaona generation curse, ya kuzaabnje ya ndoa kuanzia baba wa Daudi, Daudi mwenyewe na King Solomon ambao wote walifanya dhambi ile ile (samahani nimeongezea mada nyingine).

Umwagaji wa damu isiyo na hatia unafanya Mungu afiche sura yake pindi tunyenyuapo mikono yetu iliyojaa damu kuomba Isaya 1:15. Na hii inaenda kwa vizazi Maombolezo 5:7 Yeremia anasema baba zetu walitenda dhambi hata hawako na sisi tumeyachukua maovu yao.
 
Namba nne inatofautiana na moja kwa vifungo vya nafsi kupitia kwa ngono, urafiki wa damu au maneno ya kuapizana. Pia vifungo na nafsi za waganga ambao tulienda wenyewe na sio wahenga wetu.

Cc: Eiyer
 
Last edited by a moderator:
Samaritan nashukuru sana kwa mchango wako. Na hongera sana kumjua Mungu na kuijua kweli tangu mdogo. Wengine ni tumemjua ukubwani sana. Ila kila kitu kwa sababu zake, mwanzoni nilikuwa najilaumu sana na nikatamani ningekuwa na uwezo ningerudi 16 tena ili nimpe Mungu the best part of my youth. Lakini of recently nimegundua huenda Mungu ametaka kunitumia kwa njia tofauti, maana nayaelewa maisha ya dhambi, naelewa kuwa kifungoni so huenda nikaongea kwa kueleweka zaidi kwa watu walio kwenye vita kuliko mtu ambaye hajui nini maana ya kuishi ktk kifungo.

So kwa namna zote nashukuru kwa kila kitu na ninatumaini nitamrudishia Mungu walau soul moja kwa ajili ya uponyaji wangu na Utukifu wa Mungu.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna definition sahihi ya shedding innocent blood kama kutoa mimba.
Watoto wana hatia gani?
Fr. John Mireku anasema kutoa mimba ni ibada ya kutoa sadaka kwa shetani hii ni baada ya kumfanyia deliverance mdada mmoja ambaye pepo lilisema huyo dada alijikabidhi yeye na mtoto wake siku alipotoa mimba.

Haya madhara ya kutoa mimba,yapo ya kisaikolojia na ya kiroho. Ya kisaikolojia muulize mwanamke aliyetoa mimba au hata madaktari. Kwa wale wa Tabora wanajua nini kiliipata familia ya Marehemu Dr. Kobello.

Kutoa mimba kuna haribu mpango wa Mungu. Soma Yer.1:5
Haijalishi umepata mimba wakati wa uzinzi bado Mungu ana makusudi na huyo mtoto. Daud hakuwa mtoto wa mke wa ndoa vile vile suleiman.
Na hapo tunaona generation curse, ya kuzaabnje ya ndoa kuanzia baba wa Daudi, Daudi mwenyewe na King Solomon ambao wote walifanya dhambi ile ile (samahani nimeongezea mada nyingine).

Umwagaji wa damu isiyo na hatia unafanya Mungu afiche sura yake pindi tunyenyuapo mikono yetu iliyojaa damu kuomba Isaya 1:15. Na hii inaenda kwa vizazi Maombolezo 5:7 Yeremia anasema baba zetu walitenda dhambi hata hawako na sisi tumeyachukua maovu yao.

Sounds good .......!!
 
Namba nne inatofautiana na moja kwa vifungo vya nafsi kupitia kwa ngono, urafiki wa damu au maneno ya kuapizana. Pia vifungo na nafsi za waganga ambao tulienda wenyewe na sio wahenga wetu.

Cc: Eiyer

Kwenye ngono nionavyo mimi hakuna kifungo kupitia ngono yenyewe bali kuna kuingia kwenye kushirikiana na unaefanya nae ngono kihisia hasa wakati wa kufanya lakini pia kuna mahusiano hadi kwenye mwili pia

Vifungo vinakuwepo pale ambapo utatamka mambo kuhusiana na uhusiano wenyewe na hapa ndipo unakuja kupata maana ya ndoa

Unapojamiiana na mtu kuna kuwa na maunganiko ya kihisia na kimwili pia na ndio maana kuna uwezekano mkubwa sana wa mtu mpole akabalidila na kuwa wa kisirani pale ambapo atakuwa na uhusiano na mtu mwenye kisirani

Pia kuna madhara ya kimwili,mfano kuna dada mmoja ambae alikuwa akikutana kimwili na mtu ni lazima huyo mtu akutane na majanga

Wa kwanza aliunguliwa nyumba
Wa pili alifikuzwa kazi
Wa nne alipata ajali

The list goes on ...

Kimsingi suala la kujamiiana linategemea zaidi unalifanya kwa namna gani ili kuwe na kifungo kama nilivyoeleza hapo juu

Ukifanya ngono kwa tahajudi ni lazima utanasika tu,sijui kama unaifahamu tahajudi vizuri!
 
Kaunga naomba kujua hapo emaus ni kanisa lenye mlengo gani kwa maana ya dhehebu
 
Happy New Year Kaunga!

Mie sio muumini wa hii dhana, labda uniambie wanawasaidia kisaikolojia ku move on.

Hapo kwenye list, kuna watu watakuja na makaunta buku.

Happy new year to you my dear.
Sijui kwanini nilikuwa sijajibu comment yako, mpaka sasa niliposoma utangulizi wa kitabu cha "kuvunja ushirikina, matambiko na ibada za kishetani" nikakumbuka mafundisho ya Pengo na of course nikakukumbuka na wewe.

Fr. Mareku amesema hivi ktk utangulizi
"Katika kipindi ambapo shetani hatajwi sana kwenye mahubiri, ambapo ni mtindo kwa wanatheolojia kukataa uwepo wake na kuona kama Shetani na mapepo kama ni mawazo ya uovu usiokuwepo, shetani kwa furaha anapata wanafunzi na kuweka watu vifungoni kupitia mpango wa....."

Maneno ya Pengo alisema Shetani anatumia mbinu 3 kujiimarisha. Mojawapo ni kufanya watu waone kama hayupo hivyo hata kazi zake zionekane ni za kawaida au ni watu tu hivyo yeye asishambuliwe.

Haya uwe na siku njema my dear.
 
Kaunga naomba kujua hapo emaus ni kanisa lenye mlengo gani kwa maana ya dhehebu

Emaus ni kituo cha sala na kujifunza neno la Mungu. Haichagui dhehebu wala dini ila kunafundishwa Habari Njema za Yesu Kristu. Jana waliokuwepo Jamila alitoa ushuhuda na wala hakulazimishwa kubadili dini ingawa alimkiri Kristu. Tunaamini Roho Mtakatifu atamfikisha ambapo Yesu amempangia.
 
Kwenye ngono nionavyo mimi hakuna kifungo kupitia ngono yenyewe bali kuna kuingia kwenye kushirikiana na unaefanya nae ngono kihisia hasa wakati wa kufanya lakini pia kuna mahusiano hadi kwenye mwili pia

Vifungo vinakuwepo pale ambapo utatamka mambo kuhusiana na uhusiano wenyewe na hapa ndipo unakuja kupata maana ya ndoa

Unapojamiiana na mtu kuna kuwa na maunganiko ya kihisia na kimwili pia na ndio maana kuna uwezekano mkubwa sana wa mtu mpole akabalidila na kuwa wa kisirani pale ambapo atakuwa na uhusiano na mtu mwenye kisirani

Pia kuna madhara ya kimwili,mfano kuna dada mmoja ambae alikuwa akikutana kimwili na mtu ni lazima huyo mtu akutane na majanga

Wa kwanza aliunguliwa nyumba
Wa pili alifikuzwa kazi
Wa nne alipata ajali

The list goes on ...

Kimsingi suala la kujamiiana linategemea zaidi unalifanya kwa namna gani ili kuwe na kifungo kama nilivyoeleza hapo juu

Ukifanya ngono kwa tahajudi ni lazima utanasika tu,sijui kama unaifahamu tahajudi vizuri!

Lazima nikiri sijui maana ya tahajudi.
Umemsoma Samaritan hapo mwanzo alipokupa mstari wa barua ya Paulo kwa waebrania. Kuwa ukifanya mapenzi na changudoa tayari umekuwa mwili mmoja naye? Je changudoa unafanya naye kwa hisia?

My dear Eiyer I real wish kwamba ingekuwa kama hivyo maana basi list yangu ingekuwa labda ya 3 badala ya (duh hadi aibu kutaja number sahih)
 
Jambo hili la kuunganika nae linaweza kuwa namaana zaidi ya moja,lakini hata nikitaka kulileta kwenye hiyo ya kuunganika nae kihisia na kimwili [hii ni tofauti na kifungo] kwa maana ya kupata matokeo kihisia [kufikiria kila wakati na kujihisi huna amani bila yeye] na kupata matokeo ya kimwili [kukumbana na majanga]

Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuwa mwili mmoja na kuwa na kifungo nae cha kiroho!
 
Bado Sijasoma kitabu husika, lkn kunganika na kuwa mwili mmoja mimi naona ni kifungo tayari. Na ni nafsi (soul) sio roho kwa sababu miili bado kila mtu anao wake. Sasa madhara yanakujaje? Umeunganika na C ambaye kwao ni wachawi (kuna roho ya uchawi) basi nawe kuna uwezekano mkubwa uradhurika kwasababu hiyo spirit itataka uiabudu na wewe hujui chochote juu ya uwepo wake. So unaweza hata usimkumbuke huyo C asiwe kabisa mawazoni mwako lkn kila unachokishika hakifanikiwi. Hiyo ndio soul bondage ninayouzungumzia ikiyotokana na kuzini one night na changudoa C
 
Siko kwenye utulivu nikipata utulivu nitajaribu kuelezea kwa namna ambayo nayajua haya mambo kisha tuone tunaweza kujifunza nini .....!!
 
Back
Top Bottom