Soul ties au vifungo vya nafsi

Soul ties au vifungo vya nafsi

Mkuu,salama?

Mkuu hili jambo nilikuwa nalifikiria hata mimi

Kimsingi nadhani kuna haja ya kuelekezwa namna watu watakavyoweza kujifungua kwenye vifungo hivi wao wenyewe huko waliko na sio kulazimika kwenda kwenye hii semina

Hebu chukulia mfano watu ambao hawapo Dar,inakuwaje sasa? Wapo wale ambao wapo Dar lakini hawawezi kufika hapo,inakuwaje?

Kama hii ni elimu basi ni vyema watu wakaelekezwa namna ya kufanya na huu ndio utakuiwa msaada halisi na sio kuwaambia watu waende mahali fulani,naomba nisieleweke kwamba nasema Kaunga amefanya jambo baya hapana,ila ninacholenga hapa ni kuboresha zaidi jambo ambalo amelileta hapa
Samaritan nimekusoma mkuu

Namkaribisha pia Ishmael na Mkuu wa chuo wapitie pande hizi kutoa elimu zaidi!
Kiongozi nashukuru kwa kunikaribisha hapa kwenye mada tamu sana.
 
Emaus ni kituo cha sala na kujifunza neno la Mungu. Haichagui dhehebu wala dini ila kunafundishwa Habari Njema za Yesu Kristu. Jana waliokuwepo Jamila alitoa ushuhuda na wala hakulazimishwa kubadili dini ingawa alimkiri Kristu. Tunaamini Roho Mtakatifu atamfikisha ambapo Yesu amempangia.
Asante nashukuru
 
Jumamosi pale emaus center Ubungo kuna ibada kali ya kujifungua na hivyo vifungo ili tuwe huru. Note the word kujifungua ni kuwa wewe unayo nguvu na mamlaka ya kujifungua.

Mradi tu ujue unachokifanya na uwe na imani kuwa kwa Damu ya Yesu ambayo inatosha huitaji kuchinja mbuzi au kuku basi all chains hata kama ni za diamond zinayeyuka.

Nenda na majina ya watu wote uliosex nao kama unataka kutoka katika vifungo nao. Usisahau kujifungua na matambiko na waganga wote.

Kama una addiction ya porn basi unatolewa ushauri pamoja na maombi ya kufunguliwa. Ibada inaanza saa nane mchana,leo pia ipo kwa wenye muda.

Mbarikiwe sana.Cc: Ngotty for clarification. Kongosho for critic na wemgine wote.
Karibuni.
Kiongozi kaunga, nashukuru kwa wito wako ambao umeuleta hapa ili watu wapate ufunguo wa maisha yao.

Biblia ambayo ndio NENO LA MUNGU PEKEE HAPA DUNIANI inatuambia kuwa wale wote walio mpokea Yes kama Bwana na Mwokozi wao wanaweza ku self deliverance!!!! Hii ndio ya Raha ya kuwa na Roho Mtakatifu ndani yako.

Sasa nitaweka somo fupi hapa kuhusu self deliverance:

line1.gif

PROVERBS 6:5 "...DELIVER THYSELF..."

line1.gif

For any DELIVERANCE, the only requirements are:
1) You have repented and ask JESUS to save you. In other words, you must be a "TRUE WORSHIPER" (John 4-23);
2) You have forgiven everyone who has ever hurt you; and
3) You want DELIVERANCE from the demons.

You must forgive EVERYONE who has ever hurt you in any way. This is legal ground for the demons to be IN
you, and they do not have to come out, I don't care who calls them out.
Say, "Father, in JESUS' name I forgive my father, mother, brothers, sisters, relatives, (name anyone else now), and anyone else who has ever hurt me."

If you meet these requirements, then say the following prayer:
"Father, in JESUS' name I cover myself and this place with the Blood of JESUS. I bind up all my demons and the demons in this place. I ask for giant warrior angels to surround this place to protect me."

Pray the above prayer every time you start a new DELIVERANCE session.
Make a list of all the things in your life you want to get rid of (don't add your spouse to this list).
Now, for each demon say, "I command temper (or whatever) to come out of me now. Come out of my conscious, subconscious , unconscious mind, all parts of my body, will, emotions, and personality in JESUS' name. You can name the demons one by one or a few at a time. Almost anything you can imagine is a name of a demon. The power and authority are in the words "In JESUS Name," or any rendition of His name. If you haven't tried it, how can you say it doesn't work?

Don't ask JESUS to do it. He told you to do it, using His Name.
After calling each demon or group of demons out, take a deep breath and blow out though your mouth. Demons come out through tears, air passages like your mouth (coughing, yawning, mucus), nose running, passing gas, through the skin, or no visible signs at all. You don't have to feel or see anything to be set free. No one knows all the answers, but I know when you blow out it helps dislodge demons. When finished with each DELIVERANCE session, pray, "Father, in the name of JESUS, I ask you to fill me fuller with the Holy Spirit. Fill all the nooks and crannies where all the demons have left."

Remember that JESUS said the demons consider you their house. When the demons leave some of their "rooms" you must fill them with something. (Holy Spirit, praying, worship, reading your Bible). Here's why: Luke 11:24-26
24) "When the unclean spirit (demon) has gone out of a person, it roams through waterless (dry places in search of a place] of rest (release, refreshment, ease); and finding none it says, I will go back to my house from which I came. 25) And when it arrives, it finds [the place] (you) swept (rooms not filled with something) and put in order and furnished and decorated. 26) And it goes and brings other spirits (demons), seven [of them], more evil than itself, and they enter in, settle down, and dwell there; and the last state of that person is worse then the first."

These scriptures make it clear why it is necessary to do DELIVERANCE daily. Spiritual warfare is necessary all during the day. This just supplements the DELIVERANCE process. Spiritual warfare is designed to be OFFENSIVE and not DEFENSIVE.

You know you are free of a particular demon when you no longer do the demon's job (i.e. lie, curse, porno, steal, fear, etc.).

JESUS did DELIVERANCE daily, and so should you. Luke 13:32, "...I drive out demons and perform healings today and tomorrow...".

Even a satanist can be set free. In the name of JESUS, you can break any blood oath you made with the devil. I read that most homosexuals wished that they could stop being homosexual. DELIVERANCE can change you too. You really can stop doing things you don't want to do (except for paying taxes). JESUS loves you that much.

Be blessed and start delivering yourself from diabolical spirits now.

Bond Servant of Jesus Christ.
 
Waoh....
Aisee kwa Yesu kutamu hadi raha. Umeniongezea sana Ishmael najua umeaagusa wengi sana. Badala ya kutumia nguvu nyingi kugombana na watoto wa mamdogo ungetupa sisi elimu kama hii ungeokoa roho nyingi sana za wakristu wa majina kama sisi.
Please do this often.
Nilishaambiwa ya kujifungua na mara kadhaa nimeota napambana na mapepo lkn hiyo ni baada ya kudebate sana maana siku zote najiona sina nguvu wala uhalali wa kukemea. Lkn nikijipa moyo natasambaratisha mapepo ndotoni of course.

Nitakusumbua sana na PM.
 
Last edited by a moderator:
Waoh....
Aisee kwa Yesu kutamu hadi raha. Umeniongezea sana @Ishmae
l najua umeaagusa wengi sana. Badala ya kutumia nguvu nyingi kugombana na watoto wa mamdogo ungetupa sisi elimu kama hii ungeokoa roho nyingi sana za wakristu wa majina kama sisi.
Please do this often.
Nilishaambiwa ya kujifungua na mara kadhaa nimeota napambana na mapepo lkn hiyo ni baada ya kudebate sana maana siku zote najiona sina nguvu wala uhalali wa kukemea. Lkn nikijipa moyo natasambaratisha mapepo ndotoni of course.

Nitakusumbua sana na PM.
Kiongozi Kaunga, mashukuru sana kwa mada yako ambayo, nafikiri ingefaa iwekwe jukwaa la habari au watufungulie sisi Wakristo jukwaa letu ili tujifunze mengi kutoka kwa sisi wa sisi.

Anyway. at one point in light sikufahamu kuwa Mashetani na majini ningeweza kuyaoa kwangu au yafukuza huku nimelala. Lakini natoa asante kwa Yesu Krissto aliye tupa Roho Mtakatifu. Leo hii mahsetani yatambua kuwa ninayafahamu na hayasogei asilan.

Uwezo wakutoa Mashetani tunao.

Sababu ya kuyatoa tunayo.

Nguvu ya kuyatoa tunayo.

na Nia ya kuyatoa tunayao.

Kitu amabacho wengi hawafamu ni kuwa, Je, ninaweza kuyatoa mwenyewe? Yes, you can and it is Biblical.

Jesus commanded ALL Believers to CAST OUT demons (Mark 16:17) (Mathew 10:8). Jesus did not say to go to someone else to have your demons CAST OUT. Nor did Jesus say to CAST OUT everyone else's demons and leave yours IN.

Luke 6:46-49

46 And why call ye me, Lord, Lord, and do not the things which I say?

47 Whosoever cometh to me, and heareth my sayings, and doeth them, I will shew you to whom he is like:

48 He is like a man which built an house, and digged deep, and laid the foundation on a rock: and when the flood arose, the stream beat vehemently upon that house, and could not shake it: for it was founded upon a rock.

49 But he that heareth, AND DOETH NOT, is like a man that without a foundation built an house upon the earth; against which the stream did beat vehemently, and immediately it fell; and the ruin of that house was great.

Mathew 7:5 - Jesus speaking - Thou hypocrite, first CAST OUT the beam [demon] OUT of thine own eye; [SELF DELIVERANCE] and then shalt thou see clearly to CAST OUT the mote [demon] OUT of thy brother's eye.

Ndio maana nasikiaa rahaaaa pale ninapo soma mada kama hii. Mungu akubariki sana.

YES WE CAN SELF DELIVER AND CAST OUT DEMONS OUT OF THYSELF.
 
Mmh that right. Hiyo imeshapita but camp nyingine ingeandaliwa tena ili wengi wapate neema hii ya kufunguliwa. For me nimuona Mungu ktk camp hiyo
 
AAAh kumbe ni kwenye ibada? Nisije nikaokota kondoo mwingine wa bwana siku hiyo nikafungamana nae (wazuri hawa). Ngoja nitulie tu.
 
Mmh that right. Hiyo imeshapita but camp nyingine ingeandaliwa tena ili wengi wapate neema hii ya kufunguliwa. For me nimuona Mungu ktk camp hiyo
Camp nyingine itakuwa October
Lakini ukombozi na kufunguliwa ni kila siku. Umefundishwa jinsi ya kuchukua mamlaka na kupambana vita vya kiroho basi endelea hata bila kusubiri camp nyingine
 
Nataka kujua kwanza wote mliojibu hii thread hampitii jukwaa la.kikubwa??HONEST ANSWERS please lol
 
Kiongozi kaunga, nashukuru kwa wito wako ambao umeuleta hapa ili watu wapate ufunguo wa maisha yao.

Biblia ambayo ndio NENO LA MUNGU PEKEE HAPA DUNIANI inatuambia kuwa wale wote walio mpokea Yes kama Bwana na Mwokozi wao wanaweza ku self deliverance!!!! Hii ndio ya Raha ya kuwa na Roho Mtakatifu ndani yako.

Sasa nitaweka somo fupi hapa kuhusu self deliverance:

line1.gif

PROVERBS 6:5 "...DELIVER THYSELF..."

line1.gif

For any DELIVERANCE, the only requirements are:
1) You have repented and ask JESUS to save you. In other words, you must be a "TRUE WORSHIPER" (John 4-23);
2) You have forgiven everyone who has ever hurt you; and
3) You want DELIVERANCE from the demons.

You must forgive EVERYONE who has ever hurt you in any way. This is legal ground for the demons to be IN
you, and they do not have to come out, I don't care who calls them out.
Say, "Father, in JESUS' name I forgive my father, mother, brothers, sisters, relatives, (name anyone else now), and anyone else who has ever hurt me."

If you meet these requirements, then say the following prayer:
"Father, in JESUS' name I cover myself and this place with the Blood of JESUS. I bind up all my demons and the demons in this place. I ask for giant warrior angels to surround this place to protect me."

Pray the above prayer every time you start a new DELIVERANCE session.
Make a list of all the things in your life you want to get rid of (don't add your spouse to this list).
Now, for each demon say, "I command temper (or whatever) to come out of me now. Come out of my conscious, subconscious , unconscious mind, all parts of my body, will, emotions, and personality in JESUS' name. You can name the demons one by one or a few at a time. Almost anything you can imagine is a name of a demon. The power and authority are in the words "In JESUS Name," or any rendition of His name. If you haven't tried it, how can you say it doesn't work?

Don't ask JESUS to do it. He told you to do it, using His Name.
After calling each demon or group of demons out, take a deep breath and blow out though your mouth. Demons come out through tears, air passages like your mouth (coughing, yawning, mucus), nose running, passing gas, through the skin, or no visible signs at all. You don't have to feel or see anything to be set free. No one knows all the answers, but I know when you blow out it helps dislodge demons. When finished with each DELIVERANCE session, pray, "Father, in the name of JESUS, I ask you to fill me fuller with the Holy Spirit. Fill all the nooks and crannies where all the demons have left."

Remember that JESUS said the demons consider you their house. When the demons leave some of their "rooms" you must fill them with something. (Holy Spirit, praying, worship, reading your Bible). Here's why: Luke 11:24-26
24) "When the unclean spirit (demon) has gone out of a person, it roams through waterless (dry places in search of a place] of rest (release, refreshment, ease); and finding none it says, I will go back to my house from which I came. 25) And when it arrives, it finds [the place] (you) swept (rooms not filled with something) and put in order and furnished and decorated. 26) And it goes and brings other spirits (demons), seven [of them], more evil than itself, and they enter in, settle down, and dwell there; and the last state of that person is worse then the first."

These scriptures make it clear why it is necessary to do DELIVERANCE daily. Spiritual warfare is necessary all during the day. This just supplements the DELIVERANCE process. Spiritual warfare is designed to be OFFENSIVE and not DEFENSIVE.

You know you are free of a particular demon when you no longer do the demon's job (i.e. lie, curse, porno, steal, fear, etc.).

JESUS did DELIVERANCE daily, and so should you. Luke 13:32, "...I drive out demons and perform healings today and tomorrow...".

Even a satanist can be set free. In the name of JESUS, you can break any blood oath you made with the devil. I read that most homosexuals wished that they could stop being homosexual. DELIVERANCE can change you too. You really can stop doing things you don't want to do (except for paying taxes). JESUS loves you that much.

Be blessed and start delivering yourself from diabolical spirits now.

Bond Servant of Jesus Christ.

Kiongozi Kaunga, mashukuru sana kwa mada yako ambayo, nafikiri ingefaa iwekwe jukwaa la habari au watufungulie sisi Wakristo jukwaa letu ili tujifunze mengi kutoka kwa sisi wa sisi.

Anyway. at one point in light sikufahamu kuwa Mashetani na majini ningeweza kuyaoa kwangu au yafukuza huku nimelala. Lakini natoa asante kwa Yesu Krissto aliye tupa Roho Mtakatifu. Leo hii mahsetani yatambua kuwa ninayafahamu na hayasogei asilan.

Uwezo wakutoa Mashetani tunao.

Sababu ya kuyatoa tunayo.

Nguvu ya kuyatoa tunayo.

na Nia ya kuyatoa tunayao.

Kitu amabacho wengi hawafamu ni kuwa, Je, ninaweza kuyatoa mwenyewe? Yes, you can and it is Biblical.

Jesus commanded ALL Believers to CAST OUT demons (Mark 16:17) (Mathew 10:8). Jesus did not say to go to someone else to have your demons CAST OUT. Nor did Jesus say to CAST OUT everyone else's demons and leave yours IN.

Luke 6:46-49

46 And why call ye me, Lord, Lord, and do not the things which I say?

47 Whosoever cometh to me, and heareth my sayings, and doeth them, I will shew you to whom he is like:

48 He is like a man which built an house, and digged deep, and laid the foundation on a rock: and when the flood arose, the stream beat vehemently upon that house, and could not shake it: for it was founded upon a rock.

49 But he that heareth, AND DOETH NOT, is like a man that without a foundation built an house upon the earth; against which the stream did beat vehemently, and immediately it fell; and the ruin of that house was great.

Mathew 7:5 - Jesus speaking - Thou hypocrite, first CAST OUT the beam [demon] OUT of thine own eye; [SELF DELIVERANCE] and then shalt thou see clearly to CAST OUT the mote [demon] OUT of thy brother's eye.

Ndio maana nasikiaa rahaaaa pale ninapo soma mada kama hii. Mungu akubariki sana.

YES WE CAN SELF DELIVER AND CAST OUT DEMONS OUT OF THYSELF.

Nabarikiwa sana na mjadala huu
 
Na kwa sababu ya hivyo vifungo vya kiroho wengine vimewasabishia migogoro kwenye ndoa, hasa pale mtu anapokutana na ex wake na kushindwa kujizuia . Lkn Mungu ni mwema anauwezo wa kurudi nyuma hadi siku ya tendo na kulinulify . Jambo la msingi ni kukubali Mungu afanye kazi ndani yetu.
 
Nabarikiwa sana na mjadala huu

SPIRITUAL WARFARE PRAYER

One Recommended Spiritual Warfare Prayer to pray at least daily

This is an anti-evil Prayer.
Father in the name of JESUS, I cover myself and the one reading this with the Blood of JESUS. I ask for giant warrior angels to protect us. As your war club and weapons of war, I break down, undam, and blow up all walls of protection around all witches, warlocks, wizards, satanists, sorcerers, and the like, and I break the power of all curses, hexes, vexes, spells, charms, fetishes, psychic prayers, psychic thoughts, all witchcraft, sorcery, magic, voodoo, all mind control, jinxes, potions, bewitchments, death, destruction, sickness, pain, torment, psychic power, psychic warfare, prayer chains, incense and candle burning, incantations, chanting, blessings, hoodoo, crystals, root works, and everything else being sent my way, or my family member's way, or any Deliverance Ministries way, and I return it, and the demons to the sender, SEVENFOLD, and I bind it to them by the Blood of Jesus, and I cut and burn their ungodly silver cord and lay lines, in JESUS' Name.

Short version -FATHER IN THE NAME OF JESUS, I BREAK AND RETURN ALL EVIL BEING SENT MY WAY, AND I RETURN IT AND THE DEMONS TO THE SENDER ONE HUNDRED FOLD.
 
Barikiwa sana mtumishi
Amen
 
Iandike kwa kiswahili mtumishi ili iwanufaishe wengi zaidi.
 
Nataka kujua kwanza wote mliojibu hii thread hampitii jukwaa la.kikubwa??HONEST ANSWERS please lol

Itasaidia nini? Hakuna alijitangazia utakatifu hapa. Wote tuwadhambi ndio maana tunatafuta na kufundishana jinsi ya kujifungua na vifungo vya dhambi.
 
Na kwa sababu ya hivyo vifungo vya kiroho wengine vimewasabishia migogoro kwenye ndoa, hasa pale mtu anapokutana na ex wake na kushindwa kujizuia . Lkn Mungu ni mwema anauwezo wa kurudi nyuma hadi siku ya tendo na kulinulify . Jambo la msingi ni kukubali Mungu afanye kazi ndani yetu.

Ndio mwaya, na ametupa uwezo na mamlaka ya kufunga na kufungua chochote kwa Jina la Yesu. Hivyo tusiwe wavivu tukemee na kukataa na kujitakasa.
Wanasemaje waingereza...do your part and God will do the rest...
 
Itasaidia nini? Hakuna alijitangazia utakatifu hapa. Wote tuwadhambi ndio maana tunatafuta na kufundishana jinsi ya kujifungua na vifungo vya dhambi.

Kuna trend humu mtu akianzisha mada ya upishi kila mtu anajifanya mpishi mzuri,ukisema dini kila mtu anashuka mstari......mnashangaza... cc;Faiza Foxy
 
Back
Top Bottom