Sophia Mjema: Rais Samia ni hadi 2035

Sophia Mjema: Rais Samia ni hadi 2035

Habari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome.

Kwa mujibu wa Sophy Mjema ni kuwa mama Samia ni hadi 2035.

Ndani ya chama wewe kama humtaki basi andaa panadol za kutosha.

Hiyo ni kwa mijibu wa gazeti la Nipashe likimnukuu boss Mjema.
View attachment 2777273
Sasa mbona wanatuchanganya sasa huyu mhe. Sahivi ni rais wa awamu ya ngapi?
 
Kwani Katiba inasemaje bwashee? Katiba ni biblia au Quran?
1696900708200.png
 
Uzuri wa CCM wote wapo kimkakati wanakitolea mate kiti chake………?!!
 
Kwani si Lema! mbona uchagani wapo lema wengi otherwise mbadilishe katiba hana tofauti na Jiwe ndio maana kila kitu mnasifia na anapenda hata mvua ukinyesha hamkawii kusema mama kaleta mvua!mmekuwa majuha sana na wanafiki sana.
Katiba haibadilishwi na Rais ataheshimu katiba
 
Ni aibu kuwa na kiongozi kama Mjema katika nafasi nyeti kama hiyo ndani ha Chama.

Nasikitika sana, kadri miaka inavyozidi kusonga ndivyo taifa letu linavyozidi kupoteza watu/viongozi makini. Nikifikiria aina ya viongozi tuliokuwa nao japo hata miaka ya 2005 kurudi nyuma na hawa akina Mjema tulionao leo, kuna siku hili taifa litakosa viongozi.

Kama Mjema ni mtu aliyeaminika na chama, akawa Mkuu wa wilaya hadi katibu wa itikadi na uenezi wa Chama halafu ndio anatapika pumba kama hizi sijui hao ambao hata hawajaaminika kupewa nafasi nyeti wana hali gani.
 
Back
Top Bottom