Sophia Mjema: Rais Samia ni hadi 2035

Habari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome.

Kwa mujibu wa Sophy Mjema ni kuwa mama Samia ni hadi 2035.

Ndani ya chama wewe kama humtaki basi andaa panadol za kutosha.

Hiyo ni kwa mijibu wa gazeti la Nipashe likimnukuu boss Mjema.
View attachment 2777273
Fear of the unknown..! Hawajiamini na wanajua hawaaminiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome.

Kwa mujibu wa Sophy Mjema ni kuwa mama Samia ni hadi 2035.

Ndani ya chama wewe kama humtaki basi andaa panadol za kutosha.

Hiyo ni kwa mijibu wa gazeti la Nipashe likimnukuu boss Mjema.
View attachment 2777273
VERY VERY GOOD, NIMEFURAHI MNO, NA TAIFA LITAKWENDA MBALI KWELI, KWA KASI YAKE HII, I CAN'T IMAGINE.
 
Habari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome.

Kwa mujibu wa Sophy Mjema ni kuwa mama Samia ni hadi 2035.

Ndani ya chama wewe kama humtaki basi andaa panadol za kutosha.

Hiyo ni kwa mijibu wa gazeti la Nipashe likimnukuu boss Mjema.
View attachment 2777273
Chawa jike at best. Nani kampitisha na kashindana na nani au ni mpango wa kuiba kura hata kabla ya uchaguzi? Shame on you mjema katafute wa kukuwowa utulie chawa nkubwa we
 
Habari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome.

Kwa mujibu wa Sophy Mjema ni kuwa mama Samia ni hadi 2035.

Ndani ya chama wewe kama humtaki basi andaa panadol za kutosha.

Hiyo ni kwa mijibu wa gazeti la Nipashe likimnukuu boss Mjema.
View attachment 2777273
Hiyo mbona inajulikana kabisa na ni obvious Rais Dkt Samia a.k.a jembe letu, mzalendo wetu ni mpaka 2045, yaani akimaliza 10 hapo 2035 tutamuomba aongeze tena 10 atufikishe nchi ya ahadi 2045!
 
Habari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome.

Kwa mujibu wa Sophy Mjema ni kuwa mama Samia ni hadi 2035.

Ndani ya chama wewe kama humtaki basi andaa panadol za kutosha.

Hiyo ni kwa mijibu wa gazeti la Nipashe likimnukuu boss Mjema.
View attachment 2777273
Hawa ndo vilaza ndani ya nchi hii na ndani ya ccm, kwannza yeye ni nani kuwapangia wanzania nani wa kuwaongoza, ni Mungu, ?

Alafu kwa akili yake anafikili tz yenye wananchi mil zaidi ya 60 basi ni SSH tu mwenye uwezo wa kuliongoza basi,

By the way kimamlaka ccm ilishafutwa , na hakuna wa kubadilisha hili asema Bwana, hawa wakina Mwijaku acha waendelee jitoa ufaham,
 
Ni sawa, tumeambiwa tuende chuo miaka mitatu tupate digri hatujaanza kujiandikisha, sasa wenye nchi wameamua hivyo.
 
Hawa ndo vilaza ndani ya nchi hii na ndani ya ccm, kwannza yeye ni nani kuwapangia wanzania nani wa kuwaongoza, ni Mungu, ?

Alafu kwa akili yake anafikili tz yenye wananchi mil zaidi ya 60 basi ni SSH tu mwenye uwezo wa kuliongoza basi,

By the way kimamlaka ccm ilishafutwa , na hakuna wa kubadilisha hili asema Bwana, hawa wakina Mwijaku acha waendelee jitoa ufaham,
Kimamlaka CCM ilikwisha futwa, kwa katiba ipi wakati Tanzania ni nchi pekee duniani isiyo na katiba!
 
Habari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome.

Kwa mujibu wa Sophy Mjema ni kuwa mama Samia ni hadi 2035.

Ndani ya chama wewe kama humtaki basi andaa panadol za kutosha.

Hiyo ni kwa mijibu wa gazeti la Nipashe likimnukuu boss Mjema.
View attachment 2777273
Hiyo 2035 kama Mola akijalia atakuwa amefikisha umri wa miaka mingapi? Hii tu kufikia mpaka 2025 kwa mtazamo mpana na kwa maslahi mapana ya Tanganyika ni sawa tkabisa na "has over stayed her welcome in a political arena"

Ebu fanya tu utafiti upate mtazamo halisi kutoka katika jamii za Kimaasai, wafanyakazi wa kada za chini, makundi ya vijana, wanawake, na wazee, wanaharakati, na hata ndani ya chama chake.
 
Habari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome.

Kwa mujibu wa Sophy Mjema ni kuwa mama Samia ni hadi 2035.

Ndani ya chama wewe kama humtaki basi andaa panadol za kutosha.

Hiyo ni kwa mijibu wa gazeti la Nipashe likimnukuu boss Mjema.
View attachment 2777273
 
Hajui kuwa katiba inahesabu KWA 2021/2025 ni kipindi cha kwanza kwake?

Angeanzia uraisi mwaka guy mpaka 2025 ndio katiba 'isingehesabu' hivyo kumruhusu kuanza kuhesabu 2025/2030 kama kipindi cha Kwanza
Sasa mzee wewe na huyo Mjema nani yupo jikoni?
 
Back
Top Bottom